Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
- Thread starter
- #21
Hahahahaha dah umejua kuniacha hoi kwa kicheko we jamaa 😃😃😃Ndugu mleta Uzi, mm ni polisi nipo karibu hapo, ila kwa Varangati la hao "panya" siwezi peleka pua yangu, kwanza nmetoka kuoa Juzi na mke wangu ana mimba changa.