Panya road warudi Tena mchana huu

Panya road warudi Tena mchana huu

Halafu hawa wanaenda sehemu kwa watu maskini wanajuwa sehemu za matawi ya juu lazima watu wana camera na silaha za moto watakula shaba tu hakuna atayekubali nyumba ziko na security waende mitaa kama ya Masaki au Mikocheni wanajuwa watakutana na nini kuna watu watazipiga tu, Wanaenda mitaa ya watu maskini na kuwapora hicho kidgo walichonacho huu ni ushenzi wa kupitiliza naomba kusikia kama kumi wamechapwa risasi mbwa hawa.
 
We siyo great thinker bana tusidanganyane[emoji1787]! Kama hata kujibu maswali uliyoulizwa hujui unaropoka mambo usiyoulizwa unawezaje kujiita great thinker? Swali langu lilikuwa dogo sana lakini maelezo rundo unayotoa wala hayajibu swali hata kidogo!

Mimi nimeuliza, haya yalikuwepo wakati wa awamu iliyopita?????? Jibu ni rahisi sana! Ndiyo au Hapana. Kwa maelezo unayotoa nalazimika kuamini kuwa HAYAKUWEPO! YALIDHIBITIWA KIKAMILIFU KWA SABABU UONGOZI ULE ULIKUWA MADHUBUTI! KUNA WAKATI WALIRUHUSU MABASI KUSAFIRI MPAKA USIKU KWA SABABU WALITULINDA KWA NGUVU ZAO ZOTE!
Swali ulilouliza linaonyesha kuwa una uelewa mdogo kwahiyo nimekujibu na kukupa maelezo zaidi ili uelewe lakini hata jibu sahihi bado hulielewi
 
Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es Salaam kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.

Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya Mtongani .

Jambo la ajabu kituo cha polisi kipo karibu kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.

Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.

Polisi kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Wananchi tuwaue tu hawa panya maana serikali imewashinda
 
Hivi awamu ya Hayati Magufuli hii kitu ilikuwepo?
Awamu ya Mheshimiwa Magufuli kulikua na ahueni ya maisha,watu wa kipato cha chini walikua na uhakika wa mkate wao wa kila siku.Machinga walikua huru kumove popote, uwajibikaji ulikuwepo kiasi kwamba police walikua wanarespond haraka kwenye matukio kama hayo.sasa hivi mambo yamekua vice versa, hali ngumu ya maisha na kutowajibika kwa mamlaka husika kumechangia hawa vibaka kurudi.
 
We siyo great thinker bana tusidanganyane[emoji1787]! Kama hata kujibu maswali uliyoulizwa hujui unaropoka mambo usiyoulizwa unawezaje kujiita great thinker? Swali langu lilikuwa dogo sana lakini maelezo rundo unayotoa wala hayajibu swali hata kidogo!

Mimi nimeuliza, haya yalikuwepo wakati wa awamu iliyopita?????? Jibu ni rahisi sana! Ndiyo au Hapana. Kwa maelezo unayotoa nalazimika kuamini kuwa HAYAKUWEPO! YALIDHIBITIWA KIKAMILIFU KWA SABABU UONGOZI ULE ULIKUWA MADHUBUTI! KUNA WAKATI WALIRUHUSU MABASI KUSAFIRI MPAKA USIKU KWA SABABU WALITULINDA KWA NGUVU ZAO ZOTE!
Yalikuwepo sana kipindi cha late JPM. Ni balaa
 
Swali ulilouliza linaonyesha kuwa una uelewa mdogo kwahiyo nimekujibu na kukupa maelezo zaidi ili uelewe lakini hata jibu sahihi bado hulielewi
Wewe kweli nduza! Kuanzia sasa hivi mtu akishindwa kujibu swali au akinijibu maswali yangu kijinga nitamwita nduza!🤣🤣🤣🤣
 
Awamu ya Mheshimiwa Magufuli kulikua na ahueni ya maisha,watu wa kipato cha chini walikua na uhakika wa mkate wao wa kila siku.Machinga walikua huru kumove popote, uwajibikaji ulikuwepo kiasi kwamba police walikua wanarespond haraka kwenye matukio kama hayo.sasa hivi mambo yamekua vice versa, hali ngumu ya maisha na kutowajibika kwa mamlaka husika kumechangia hawa vibaka kurudi.
Kwahiyo tumfufue?
 
Iwe wameua au hawajaua ni wahalifu!!! Awamu ya Magufuli uhalifu ulipungua kwa kiwango kikubwa sana! Sasa hivi umerudi kwa kasi kubwa! Kuanzia matapeli kwenye simu mpaka majambazi!
LAKINI YALE MAUAJI YA WATU KUUAWA NA KUTUPWA KWENYE VIROBA BAHARI HAYAPO KABISA NA YAMEONDOKA,INFACT UALIFU HATARI ZAIDI DUNIANI UMEONDOKA WAMEBAKI VIBAKA TU.
 
Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es Salaam kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.

Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya Mtongani .

Jambo la ajabu kituo cha polisi kipo karibu kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.

Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.

Polisi kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Unasubiri uambiwe kujilinda?

wanaume wa Dar bana mna mambo flani ya kishosti shosti sana
 
LAKINI YALE MAUAJI YA WATU KUUAWA NA KUTUPWA KWENYE VIROBA BAHARI HAYAPO KABISA NA YAMEONDOKA,INFACT UALIFU HATARI ZAIDI DUNIANI UMEONDOKA WAMEBAKI VIBAKA TU.
Kuna mauaji ya muhimu na mauaji yasiyomuhimu! Yaani kama waliuwawa kwa manufaa ya umma naomba usilalamike! Hata Yesu aliuwawa kwa manufaa ya wengi!

Kuna majambazi wanakamatwa wakipelekwa kunakohusika wanaachiwa! Tuwafanyaje? Maana mtaani wanasumbua wanyonge!! Ni bora tuwapoteze!! Kuna watu wanatumika kuhujumu uchumi wa taifa letu! Tuwafanyaje? Bora wapotee ili wanyonge waliowengi wapate maisha! Hayo mambo yapo mataifa mengi na yanafanywa na usalama wa taifa! Nenda popote hata Marekani utayakuta! Ndiyo maana nasema usilinganishe panya road ambao wanawadhuru wananchi wanyonge na wasiojulikana ambao wanauwa kwa faida ya wananchi wanyonge! Hata hivyo yote ni maovu!
 
Mahali nchi ilipofikia tulihitaji uongozi wa aina ile! Siyo kuchekeanachekeana! Mataifa yote yaliyoendelea yameendelea kihivyo! Li China lile limefika hapo lilipofika kwa mkono wa damu! Watu walinyimwa Uhuru kila kona! Sisi Uhuru ulipitiliza! Watu wanakula mishahara saba pasipokufanya kazi! Unafananisha panya road na wasiojulikana??? Kwanini wasiojulikana hawakukuchukua wewe??? Mi nadhani walifanya waliyofanya kwa sababu! Unaweza kuta miongoni mwa waliopotezwa na wasiojulikana walikuwa ni viongozi wa panya road!!! Hao wa nini mtaani? Wapotezwe tu! Hawana faida kwetu!
 
Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es Salaam kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.

Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya Mtongani .

Jambo la ajabu kituo cha polisi kipo karibu kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.

Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.

Polisi kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Mama aliwaomba PanyaRoad waache hizo tabia. Nilidhani ni Wasikivu kumbe Bado? Tutamwambia Mama awaombe tena...nadhani ni Wasikivu wataacha
 
Kuna mauaji ya muhimu na mauaji yasiyomuhimu! Yaani kama waliuwawa kwa manufaa ya umma naomba usilalamike! Hata Yesu aliuwawa kwa manufaa ya wengi!

Kuna majambazi wanakamatwa wakipelekwa kunakohusika wanaachiwa! Tuwafanyaje? Maana mtaani wanasumbua wanyonge!! Ni bora tuwapoteze!! Kuna watu wanatumika kuhujumu uchumi wa taifa letu! Tuwafanyaje? Bora wapotee ili wanyonge waliowengi wapate maisha! Hayo mambo yapo mataifa mengi na yanafanywa na usalama wa taifa! Nenda popote hata Marekani utayakuta! Ndiyo maana nasema usilinganishe panya road ambao wanawadhuru wananchi wanyonge na wasiojulikana ambao wanauwa kwa faida ya wananchi wanyonge! Hata hivyo yote ni maovu!
Waliuwawa kwa manufaa ya umma _ hii mpya kabisa Elisha
 
🤣🤣🤣🤣 Unadhani wangewauwa hawana kosa lolote mkuu? Yaani sijakukosea lolote unaniua kweli? Sina madhara yoyote kwa usalama wa taifa unaloliongoza uniue? Maadui wa taifa siku zote huwa wanapotezwa kwa style hizi! Tembelea popote duniani! Marais karibu wote hufanya hayo kupitia usalama wa taifa! Wote wanafanya hayo! Hata wewe ukipewa urais leo hii nakuhakikishia utasaini watu fulani wafe! Akina Obama waliua Osama! Kwao alikuwa kikwazo cha usalama wa taifa lao!
 
Polisi kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Huo uwezo hamna acha kudanganya mkuu.

Yaani siko zote hizo madogo wanawazingua halafu useme polisi waseme kama wameshindwa( kitu ambacho unajua hawawezi kusema)😂😂😂.

Watu wa dar wengi wenu shughuli mnazofanya sio za kutumia nguvu nyingi na zinawaingizia pesa nzuri, hivyo miili yenu imekua midebwedo saana + uoga mwingi.
Wale wanaofanya kazi ngumungumu sio wakaaji huko mitaani wengi ni wataftaji huko mijini na wengi wanakaa uswazi wanakotoka hao mapanya.
Sasa vijana wa maofisini kazi mnayo, acha wawafunze adabu hadi mjue kitu inaitwa UMOJA.
 
Si mkuu wa mkoa kasema jana ndio mwisho wao? Imekuaje tena?
 
Back
Top Bottom