Unataka afufuke akemee hili?Hivi awamu ya Hayati Magufuli hii kitu ilikuwepo?
Huyo jamaa yako nadhani ni mhusika mie naongea na mdogo wangu wa kike, na mza mdogo wapo huko ndio wananiambia wamejifungia maana jamaa wamepita mtaani kwao we unakuja kubisha tu.Kuna jamaa yangu anaishi hapo mtongani, tena anafanyia biashara zake hapo barabarani na kurudi kwaje ndani kidogo, njmempigia anaxhangaz tu kusikia swala hilo kwani halipo tu. Labda km mna agenda yenu ktk uzushi huu!
Jifunze kuandika kwanza afu mwanaume una tumiaje (x) badala ya (s) kwenye sentence zakoKuna jamaa yangu anaishi hapo mtongani, tena anafanyia biashara zake hapo barabarani na kurudi kwaje ndani kidogo, njmempigia anaxhangaz tu kusikia swala hilo kwani halipo tu. Labda km mna agenda yenu ktk uzushi huu!
🤣🤣🤣🤣🙌Ndugu mleta Uzi, mm ni polisi nipo karibu hapo, ila kwa Varangati la hao "panya" siwezi peleka pua yangu, kwanza nmetoka kuoa Juzi na mke wangu ana mimba changa.
Mama asisikilize maneno ya watu wa zamani. Changamoto zao sio za zama hizi.Huu upumbavu ulipotea kabisa kipindi cha Magufuli hawa viongozi wetu wa sasa sijui wamekula maharage ya wapi mpaka wanashindwa kutumia Task force ambayo tunayo , kipindi cha Magufuli huu ujinga ulikufa maana price ya kumess na the system ilikuwa ni maisha yako , sasa hv Oya Oya nyingi plus maisha kupanda ,machinga kuvunjiwa vibanda vyao naona vijana wamerudia zama zao
Mnaomba muambiwe na polisi au mnatakiwa mjiambie wenyewe nini cha kuwafanya hao mende. Hizi habari kama ni za kuzushwa mitandaoni ili kuleta tafrani kwa wananchi zitasababisha vijana wengi kukamatwa mitandaoni kwa ajili ya kueneza uvumi usiokuwa na maana yoyote.Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es salaam Kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.
Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya mtongani .
Jambo la ajabu kituo Cha polisi kipo karibu Kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja Kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.
Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.
Polisi Kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Dawa ni moja tu ili kukomesha hilo jambo.Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es salaam Kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.
Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya mtongani .
Jambo la ajabu kituo Cha polisi kipo karibu Kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja Kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.
Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.
Polisi Kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Ngoja tusubiri. Ni mapema san kupingaKuna jamaa yangu anaishi hapo mtongani, tena anafanyia biashara zake hapo barabarani na kurudi kwaje ndani kidogo, njmempigia anaxhangaz tu kusikia swala hilo kwani halipo tu. Labda km mna agenda yenu ktk uzushi huu!
Ah saa ngap mkuu? Jiwe alituliza mpira kifuani akaweka chini🤣🤣Hivi awamu ya Hayati Magufuli hii kitu ilikuwepo?
Mbona unajibu kwa hasira mzee wakati jamaa kauliza swali simple tu!?Kwani hii ni awamu ya Magufuli?
Ndiyo maana zito alisema mkalale nae pale
Mambo hayawezi kufanana na hamuwezi kulazimisha hilo
Kama akili zako hazitoshi kutambua hilo basi una matatizo ya akili
Kila mtu ana ubora wake
Ilikuwepo enzi za kikwete, alipoingia Magufuli Kila mtu akaenda kutafuta kazi ya kufanya. Sasa karudi madarakani na panya road wamerudia kazi yao.Hivi awamu ya Hayati Magufuli hii kitu ilikuwepo?