Panya road warudi Tena mchana huu

Hivi panya road si Watanzania? Wanaishi mitaani kwetu? Kuna sababu ya kuandaa makaburi kwa ajili ya hawa vijana.
Polisi ndio chanzo cha haya mambo kabisa, unafika mitaani kuna vibaka wanafanya uhalifu wa hadharani na wakipelekwa polisi baada ya masaa wapo mtaani wanasumbua tena watu, pia jamii au wazazi wao ni tatizo.
Hebu tuvipige kibiriti hivi vitoto, kila familia ikizika vitoto vyao hakuna mzazi atajaribu kutetea ujinga huu
 
Kama uwezo unao mbona umejificha? [emoji1787][emoji1787]
 
Ilibidi clip ya panya road ionekane huko kwenye roho tua, hawa ni mashujaa sana.
 
Panya Road ni a.planned Substage dhidi ya Mama Samia, ionekane ame Fail
 
NAUNGA MKONO HOJA,AWE NA INTELEGENSIA YAKE NDANI YA INTELEGENSIA YA WASAIDIZI WAKE.
ISTOSHE HAWA VIJANA TUNAISHI NAO MITAANI NI LAZIMA NGAZI ZA WAJUMBE,KATA NA SEREKALI ZA MITAA KUWEPO NA INTELEGENSIA DESK,KUJUA MTAA KWA MTAA, NA NYUMBA KWA NYUMBA,LOCATIONS ZA WAHUNI,WAVUTA BANGI,MASKANI ZA HOVYO,NK...!
 
Kuna jamaa yangu anaishi hapo mtongani, tena anafanyia biashara zake hapo barabarani na kurudi kwaje ndani kidogo, njmempigia anaxhangaz tu kusikia swala hilo kwani halipo tu. Labda km mna agenda yenu ktk uzushi huu!
mtongani vs mtoni mtongani, unachangaya madesa
 
...Dah!...hao vijana wanazidi kuwa tatizo.
 
Hili jambo tunaweza kulichukulia kimzaa lakini lina hatari kubwa mno
 
""NASHAURI WAKIKAMATWA WASIACHIWE WAPELEKWE KWENYE MAGEREZA YENYE SHULE NA KILIMO KWA SANA TU""
WALE WATAKACHOLIMA HAPO SHAMBANI NA HUKU WAKIENDELEA NA MASOMO.NADHANI HILI ENDAPO KAMA HALIPO LIFANYIKE HARAKA SANA WASIRUDI TENA MITAANI.
maana hata kuvitwanga risasi roho inaumia sana,wazazi wao watajulishwa tu watakuwa wanakwenda kuwatembelea.
 
Hili jambo tunaweza kulichukulia kimzaa lakini lina hatari kubwa mno
NI MAJAMBAZI WAKUBWA NA HATARI KWELI KWA SIKU ZA USONI ENDAPO GOOD TREATMENTS HAIKUFANYWA KWA NYAKATI HIZI MAPEMA ASUBUHI./WATAKUJA KUSUMBUA SANA HAPO BAADAE KIDOGO!....!AU HATA KUTUMIKA NA MAADUI WA TAIFA LETU AMBAO MNAWAFAHAMU.
 
Tafuteni mishale wavizieni washoot

Hao kuna mkubwa atakuwa anawafadhili sio bure
 
We bwege kweli!! Kwani nimekwambia hii ni awamu ya Magufuli?? Kama huna jibu si uwaache great thinkers wajibu??? Umelazimishwa kujibu?
Ma great thinker tunasema Samia hawezi kuwa Magufuli na Magufuli hawezi kurudi
Kuwaza habari zake kwa matukio yanayotokea sasa ni kuishiwa mawazo
 
Uko sahihi Mkuu, hii awamu inaelekea inaubora wa kipekee. Maana imejawa na huruma kwa panya wetu.
Tatizo lazima litokee alafu ndiyo lifanyiwe ufumbuzi
Kibiti ya Magufuli iliuwa watu wangapi
Mpaka walipokuja kuifix au hamkuwa mmezaliwa au mmejisahaulisha tu

Panya rodi wa samia sidhani kama wameuwa mtu zaidi ya kujeruhi watu na kutoka sasa hawawezi kuwa na matukio zaidi ya mawili kabla habari yao haijaisha
Sasa Magufuli anaingiaje hapo ndiyo swali
 
Ma great thinker tunasema Samia hawezi kuwa Magufuli na Magufuli hawezi kurudi
Kuwaza habari zake kwa matukio yanayotokea sasa ni kuishiwa mawazo
We siyo great thinker bana tusidanganyane🤣! Kama hata kujibu maswali uliyoulizwa hujui unaropoka mambo usiyoulizwa unawezaje kujiita great thinker? Swali langu lilikuwa dogo sana lakini maelezo rundo unayotoa wala hayajibu swali hata kidogo!

Mimi nimeuliza, haya yalikuwepo wakati wa awamu iliyopita?????? Jibu ni rahisi sana! Ndiyo au Hapana. Kwa maelezo unayotoa nalazimika kuamini kuwa HAYAKUWEPO! YALIDHIBITIWA KIKAMILIFU KWA SABABU UONGOZI ULE ULIKUWA MADHUBUTI! KUNA WAKATI WALIRUHUSU MABASI KUSAFIRI MPAKA USIKU KWA SABABU WALITULINDA KWA NGUVU ZAO ZOTE!
 
Iwe wameua au hawajaua ni wahalifu!!! Awamu ya Magufuli uhalifu ulipungua kwa kiwango kikubwa sana! Sasa hivi umerudi kwa kasi kubwa! Kuanzia matapeli kwenye simu mpaka majambazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…