Swali ulilouliza linaonyesha kuwa una uelewa mdogo kwahiyo nimekujibu na kukupa maelezo zaidi ili uelewe lakini hata jibu sahihi bado hulielewiWe siyo great thinker bana tusidanganyane[emoji1787]! Kama hata kujibu maswali uliyoulizwa hujui unaropoka mambo usiyoulizwa unawezaje kujiita great thinker? Swali langu lilikuwa dogo sana lakini maelezo rundo unayotoa wala hayajibu swali hata kidogo!
Mimi nimeuliza, haya yalikuwepo wakati wa awamu iliyopita?????? Jibu ni rahisi sana! Ndiyo au Hapana. Kwa maelezo unayotoa nalazimika kuamini kuwa HAYAKUWEPO! YALIDHIBITIWA KIKAMILIFU KWA SABABU UONGOZI ULE ULIKUWA MADHUBUTI! KUNA WAKATI WALIRUHUSU MABASI KUSAFIRI MPAKA USIKU KWA SABABU WALITULINDA KWA NGUVU ZAO ZOTE!
Wananchi tuwaue tu hawa panya maana serikali imewashindaNdugu wanabodi, nipo town posts Dar es Salaam kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.
Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya Mtongani .
Jambo la ajabu kituo cha polisi kipo karibu kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.
Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.
Polisi kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Awamu ya Mheshimiwa Magufuli kulikua na ahueni ya maisha,watu wa kipato cha chini walikua na uhakika wa mkate wao wa kila siku.Machinga walikua huru kumove popote, uwajibikaji ulikuwepo kiasi kwamba police walikua wanarespond haraka kwenye matukio kama hayo.sasa hivi mambo yamekua vice versa, hali ngumu ya maisha na kutowajibika kwa mamlaka husika kumechangia hawa vibaka kurudi.Hivi awamu ya Hayati Magufuli hii kitu ilikuwepo?
Yalikuwepo sana kipindi cha late JPM. Ni balaaWe siyo great thinker bana tusidanganyane[emoji1787]! Kama hata kujibu maswali uliyoulizwa hujui unaropoka mambo usiyoulizwa unawezaje kujiita great thinker? Swali langu lilikuwa dogo sana lakini maelezo rundo unayotoa wala hayajibu swali hata kidogo!
Mimi nimeuliza, haya yalikuwepo wakati wa awamu iliyopita?????? Jibu ni rahisi sana! Ndiyo au Hapana. Kwa maelezo unayotoa nalazimika kuamini kuwa HAYAKUWEPO! YALIDHIBITIWA KIKAMILIFU KWA SABABU UONGOZI ULE ULIKUWA MADHUBUTI! KUNA WAKATI WALIRUHUSU MABASI KUSAFIRI MPAKA USIKU KWA SABABU WALITULINDA KWA NGUVU ZAO ZOTE!
Okay! Nashukuru kwa jibu!Yalikuwepo sana kipindi cha late JPM. Ni balaa
Wewe kweli nduza! Kuanzia sasa hivi mtu akishindwa kujibu swali au akinijibu maswali yangu kijinga nitamwita nduza!π€£π€£π€£π€£Swali ulilouliza linaonyesha kuwa una uelewa mdogo kwahiyo nimekujibu na kukupa maelezo zaidi ili uelewe lakini hata jibu sahihi bado hulielewi
Kwahiyo tumfufue?Awamu ya Mheshimiwa Magufuli kulikua na ahueni ya maisha,watu wa kipato cha chini walikua na uhakika wa mkate wao wa kila siku.Machinga walikua huru kumove popote, uwajibikaji ulikuwepo kiasi kwamba police walikua wanarespond haraka kwenye matukio kama hayo.sasa hivi mambo yamekua vice versa, hali ngumu ya maisha na kutowajibika kwa mamlaka husika kumechangia hawa vibaka kurudi.
Kuna kitu nyuma ya pazia sio bure.
LAKINI YALE MAUAJI YA WATU KUUAWA NA KUTUPWA KWENYE VIROBA BAHARI HAYAPO KABISA NA YAMEONDOKA,INFACT UALIFU HATARI ZAIDI DUNIANI UMEONDOKA WAMEBAKI VIBAKA TU.Iwe wameua au hawajaua ni wahalifu!!! Awamu ya Magufuli uhalifu ulipungua kwa kiwango kikubwa sana! Sasa hivi umerudi kwa kasi kubwa! Kuanzia matapeli kwenye simu mpaka majambazi!
Unasubiri uambiwe kujilinda?Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es Salaam kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.
Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya Mtongani .
Jambo la ajabu kituo cha polisi kipo karibu kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.
Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.
Polisi kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Kuna mauaji ya muhimu na mauaji yasiyomuhimu! Yaani kama waliuwawa kwa manufaa ya umma naomba usilalamike! Hata Yesu aliuwawa kwa manufaa ya wengi!LAKINI YALE MAUAJI YA WATU KUUAWA NA KUTUPWA KWENYE VIROBA BAHARI HAYAPO KABISA NA YAMEONDOKA,INFACT UALIFU HATARI ZAIDI DUNIANI UMEONDOKA WAMEBAKI VIBAKA TU.
Mahali nchi ilipofikia tulihitaji uongozi wa aina ile! Siyo kuchekeanachekeana! Mataifa yote yaliyoendelea yameendelea kihivyo! Li China lile limefika hapo lilipofika kwa mkono wa damu! Watu walinyimwa Uhuru kila kona! Sisi Uhuru ulipitiliza! Watu wanakula mishahara saba pasipokufanya kazi! Unafananisha panya road na wasiojulikana??? Kwanini wasiojulikana hawakukuchukua wewe??? Mi nadhani walifanya waliyofanya kwa sababu! Unaweza kuta miongoni mwa waliopotezwa na wasiojulikana walikuwa ni viongozi wa panya road!!! Hao wa nini mtaani? Wapotezwe tu! Hawana faida kwetu!LAKINI YALE MAUAJI YA WATU KUUAWA NA KUTUPWA KWENYE VIROBA BAHARI HAYAPO KABISA NA YAMEONDOKA,INFACT UALIFU HATARI ZAIDI DUNIANI UMEONDOKA WAMEBAKI VIBAKA TU.
Mama aliwaomba PanyaRoad waache hizo tabia. Nilidhani ni Wasikivu kumbe Bado? Tutamwambia Mama awaombe tena...nadhani ni Wasikivu wataachaNdugu wanabodi, nipo town posts Dar es Salaam kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji.
Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya Mtongani .
Jambo la ajabu kituo cha polisi kipo karibu kama mita Mia tu na hakuna kinachofanyika pamoja kuna amri pia ya mkuu wa mkoa Ila hakuna polisi wanaoonekana kuchukua hatua zozote.
Nadhani tutachoka tutaamua kuingia na mapanga na kila aina ya silaha ili tukamate hao vijana maana kila mtu anaweza uhuni it's a matter of choice.
Polisi kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.
Waliuwawa kwa manufaa ya umma _ hii mpya kabisa ElishaKuna mauaji ya muhimu na mauaji yasiyomuhimu! Yaani kama waliuwawa kwa manufaa ya umma naomba usilalamike! Hata Yesu aliuwawa kwa manufaa ya wengi!
Kuna majambazi wanakamatwa wakipelekwa kunakohusika wanaachiwa! Tuwafanyaje? Maana mtaani wanasumbua wanyonge!! Ni bora tuwapoteze!! Kuna watu wanatumika kuhujumu uchumi wa taifa letu! Tuwafanyaje? Bora wapotee ili wanyonge waliowengi wapate maisha! Hayo mambo yapo mataifa mengi na yanafanywa na usalama wa taifa! Nenda popote hata Marekani utayakuta! Ndiyo maana nasema usilinganishe panya road ambao wanawadhuru wananchi wanyonge na wasiojulikana ambao wanauwa kwa faida ya wananchi wanyonge! Hata hivyo yote ni maovu!
π€£π€£π€£π€£ Unadhani wangewauwa hawana kosa lolote mkuu? Yaani sijakukosea lolote unaniua kweli? Sina madhara yoyote kwa usalama wa taifa unaloliongoza uniue? Maadui wa taifa siku zote huwa wanapotezwa kwa style hizi! Tembelea popote duniani! Marais karibu wote hufanya hayo kupitia usalama wa taifa! Wote wanafanya hayo! Hata wewe ukipewa urais leo hii nakuhakikishia utasaini watu fulani wafe! Akina Obama waliua Osama! Kwao alikuwa kikwazo cha usalama wa taifa lao!Waliuwawa kwa manufaa ya umma _ hii mpya kabisa Elisha
Huo uwezo hamna acha kudanganya mkuu.Polisi kama mmeshindwa kazi tunaomba mtuambie tuanze kupambana nao wenyewe maana uwezo tunao tatizo mnawalinda hao wahuni na tukiwaua mnakuja kutupatia kesi ya mauaji.