Panya Road wavamia Bunju Magengeni, maduka yafungwa kwa kuhofia usalama

Habarini za usiku huu, wakazi wa Bunju tupo kwenye sintofahamu ya kuvamiwa na hao vijana wanaojiita panya road, leo ikiwa ni mara ya tatu, ya kwanza ilikuwa wiki liyopita usiku wa kuamkia jumamosi.

Mara ya pili ni usiku wa kuamkia jana ambapo pia wamejeruhi watu vibaya, leo tena usiku huu walikuwa Bunju A wakikimbiza watu na kutishia maisha ingawa polisi wameshafika maeneo hayo na wanawakimbiza hao vijana ambao ni kundi kubwa mno.

Nipo nyumbani tena ndani,sina raha na sijui kama nitaweza kulala, msidai picha maana sina....!

Huu mwandiko uacheni tu....
 
Inawezekana kuna nguvu kubwa nyuma yao.
 
Hivi hakuna hata kambi ya jeshi karibu huko, naona kama polisi kazi ya panyaroad imekuwa ngumu kwao...
 
Kwa mazingira ya dar huko bunju si ndio luna ng'ombe zote za wenye Dolari( dola)
 
Wananchi wa Dar es Salaam wachukue hatua gn?
Waoga, wabinafsi, Wajuaji.
Mnaishi kama vile mko New York kumbe mko Dunia ya tatu, uswahilini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…