Panya Road wavamia Bunju Magengeni, maduka yafungwa kwa kuhofia usalama

Kundi la watu 100 mnakimbia watoto 8? Mkuu wewe ni wahovyo kabisa
 
Nafikiri huhitaji go ahead kujilinda unapovamiwa na hawa majambazi, inabidi watu waanze kufikiria investment kwenye guns kwa ajiri ya usalama wao, wale mbwa wakishajua kuna chamoto mtaa fulani sijui kama wanaweza kusogea
 
Mnalipa kodi halafu hamlindwi na mali zenu na roho zenu zinachukuliwa

Hivi hamna uchungu? Na mtakuwa hivyo wa hewala mpaka lini
Hapa siyo kwenu uingereza bana. Hivi kesi ya Nicola Bulley imefikia wapi? Wiki ya pili hii polisi bado hawajampata mama wa watu. Hadi kuna amateur sleuths investigators wanasaidia.
 
Hili kundi linatesa sana watu jmn hao hao waliokamatwq wapigwe mpk wataje wenzao
 
RC Makalla kupitia taarifa ya habari usiku huu amesema Panya road wanatokea mkoa wa Pwani na wamewakamata wote wakiwa wametoka Mapinga
Nimemsikia ndo nikajua dar mna RC wa hovyo sana. Eti anasema wametoka mkoa wa Pwani ili kuaminisha kwamba yeye amemaliza tatizo na haliko mkoani kwake. Ujinga huu.wa kiwango cha juu sana... tukio limetokea mkoani kwake anataka kujivua nini. Kwamba yeye ameimarisha ulinzi kwa wahalifu walioko mkoani kwake tu, kwamba wanaotoka mikoa mingine ulinzi wao haujaimarishwa wanaweza kuja kufanya uhalifu tu
 
Juz juz tu Arusha mmesimbuliwa na mtu mmoja
Arusha mitaa ya kihuni Sinoni miaka ya 80 kuna mbabe alikuwa akipita demu mkali hatongozi anaweka begani anatokomea nae migombani! Demu hata apige kelele vipi hakuna mtu anasogea!

Kuna siku alibeba sister mmoja namfahamu akaokolewa na polisi wa doria walikuwa wanakunywa baa ya jirani.

Sasa imagine mtu zaidi ya 30 wavamie mtaa na mapanga si vita hiyo?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Matumizi ya kawaida hayawezi kupungua kidogo ?
 
Muliro anasema wamekamata Panya road 6 wakiwa na vitu walivyoiba ,kama ni kweli basi "wawataiti" hao 6 wataje mnyororo wao wote ,wajiridhishe kama ni kweli wamehusika ,wakisha confirm uhusika wao wote na mnyororo wao then wawapeleke msitu wa Pande Kibaha wawapige vyuma wote.
 

Napenda kuwapa update kwamba askari wamefanya yao ,wamewapa vyuma panya road walioshiriki na kuleta taharuki maeneo ya boko na bunju....wote wameuawa.

Big Up sana ,hakuna kucheka na Panya road wala jambazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…