Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 563
- 1,567
Dawa ni paka tuWakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani. Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado hawafi. Wakila tu wanasepa, kesho nawaona wanakimbia tu kama kawaida na kuniharibia vitu ndani.
Naomba kama kuna mtu amewahi kutumia dawa kali na yenye matokeo ya haraka anisaidie jina au picha ya hiyo dawa. Sitaki tena 'mchezo wa paka na panya', nataka suluhisho la kweli.
Nitashukuru sana kwa msaada.
Jaribu kutumia kidonge fulani iv cheusi kinauzwa kwenye maduka ya kilimo,unaweza kwenye nyanya,wataishaDawa ni paka tu
Ingia YouTube angalia ile mitego halafu tafuta mtu akutengenexee kwa siku utakuwa unawanasa hata 100.Wakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani.
Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado hawafi. Wakila tu wanasepa, kesho nawaona wanakimbia tu kama kawaida na kuniharibia vitu ndani.
Naomba kama kuna mtu amewahi kutumia dawa kali na yenye matokeo ya haraka anisaidie jina au picha ya hiyo dawa. Sitaki tena 'mchezo wa paka na panya', nataka suluhisho la kweli.
Nitashukuru sana kwa msaada.
Paka wameshindwa wanakula mboga tuDawa ni paka tu
Hii vipi ni nzuri sana naweza pata picha jinsi ilivyo ma muonekano nisikosee?RATOX ndo kiboko yao..
Paka vipi huwapendiWakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani.
Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado hawafi. Wakila tu wanasepa, kesho nawaona wanakimbia tu kama kawaida na kuniharibia vitu ndani.
Naomba kama kuna mtu amewahi kutumia dawa kali na yenye matokeo ya haraka anisaidie jina au picha ya hiyo dawa. Sitaki tena 'mchezo wa paka na panya', nataka suluhisho la kweli.
Nitashukuru sana kwa msaada.
Nipo Katoro,Uko wapi? Mradi wa panya pale Sua wana tambi zile zinauzwa sh 1000 tuu wiki nyingi utasahau.
Nina hasira nao hawa panya basi tuIngia YouTube angalia ile mitego halafu tafuta mtu akutengenexee kwa siku utakuwa unawanasa hata 100.
Halafu unaenda kuwachoma moto tu
Yaani wanakula nakuondoka shenzi kabisa, nilivyo na hasira nao basi tuHao panya ni wale wa midomo mirefu hao mkuu kazi unayo kama majini hawafi kirahisi😁😁😁
Paka hapana, ntamuua bure nipate dhambi, wanakula sana mboga na kuku hao niliamka nikakuta manyoya kuku hamnaPaka vipi huwapendi
Kama ni hao wanao lia wana midomo mirefu mkuu mimi nilimaliza dawa nikaketa paka eti wao wanamtisha paka tena paka hawali hata kama akifanikiwa kuuwa walinisumbua sana dukani kwangu mpaka walipo amua wenyewe kuondoka.Yaani wanakula nakuondoka shenzi kabisa, nilivyo na hasira nao basi tu