Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Na kama pia ni wale panya wa kutumwa bado ni kinga bora sanaAsante kwa elimu hii

Wina mukila mtituWaalike wahehe waku saidie
tafuta pakaWakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani.
Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado hawafi. Wakila tu wanasepa, kesho nawaona wanakimbia tu kama kawaida na kuniharibia vitu ndani.
Naomba kama kuna mtu amewahi kutumia dawa kali na yenye matokeo ya haraka anisaidie jina au picha ya hiyo dawa. Sitaki tena 'mchezo wa paka na panya', nataka suluhisho la kweli.
Nitashukuru sana kwa msaada.
Wakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani.
Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado hawafi. Wakila tu wanasepa, kesho nawaona wanakimbia tu kama kawaida na kuniharibia vitu ndani.
Naomba kama kuna mtu amewahi kutumia dawa kali na yenye matokeo ya haraka anisaidie jina au picha ya hiyo dawa. Sitaki tena 'mchezo wa paka na panya', nataka suluhisho la kweli.
Nitashukuru sana kwa msaada.
Kuna dawa ya binadamu ya mifupa ni kiboko,niliwapa nimekuta panya kibao wamekufa.. mpaka leo hakuna tena panyaWakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani.
Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado hawafi. Wakila tu wanasepa, kesho nawaona wanakimbia tu kama kawaida na kuniharibia vitu ndani.
Naomba kama kuna mtu amewahi kutumia dawa kali na yenye matokeo ya haraka anisaidie jina au picha ya hiyo dawa. Sitaki tena 'mchezo wa paka na panya', nataka suluhisho la kweli.
Nitashukuru sana kwa msaada.
Hii inasaidia?Mwaga chumvi ya mawe kwenye mapito yao yote
Hii ni uhakika 100%Indocid inamaliza tatizo. Nenda duka la dawa inauzwa 1000 vidongo kama 10 au 20 hivi vya njano vina unga mweupe ndani. Changanya na dagaa au hata nyanya. Usiweke maji karibu. Week tu utakuwa humiliki tena panya
tupe mrejeshoNenda duka la pembejeo waambie wakupe kidonge cha kuhifadhia mahindi.
kinauzwa tsh500, mia tano.
Megua kipande kiduchu(kinaharufu kali hiki kidonge) pondaponda kiwe unga, kisha weka kweny dagaa wa kukaanga au nyanya ama mchele mix.
Kawawekee kweny njia yao, wakila ndo bas tena dakika mbil hawamalzi ni chali tu.
Hii hata wakinywa maji hawaponi, tofaut na dawa zingne
Wakinywa maji huwa wanapata nafuu.
Ila hyo hawatoboi. Sema harufu ndan ya mizoga ya panya jiandae kuwaokota
Weka paka hapo hamna dawaWakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani.
Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado hawafi. Wakila tu wanasepa, kesho nawaona wanakimbia tu kama kawaida na kuniharibia vitu ndani.
Naomba kama kuna mtu amewahi kutumia dawa kali na yenye matokeo ya haraka anisaidie jina au picha ya hiyo dawa. Sitaki tena 'mchezo wa paka na panya', nataka suluhisho la kweli.
Nitashukuru sana kwa msaada.
BasiPaka hapana, ntamuua bure nipate dhambi, wanakula sana mboga na kuku hao niliamka nikakuta manyoya kuku hamna