Panya wamenishinda, kuna dawa kiboko ya kumaliza changamoto hii ya panya?

Kama walio vamia sasa hivi ni wale panya wa kisasa waupe kazi unayo mkuu kwanza ukiweka mtego au sumu hawafi kamwe.
 
Kaa nao muelewane tu…. Hawana gubu wala nongwa

Wakikuzingua wageuze chakula tu
 
Mwaga chumvi ya mawe kwenye mapito yao yote
 
Nenda duka la pembejeo waambie wakupe kidonge cha kuhifadhia mahindi.
kinauzwa tsh500, mia tano.

Megua kipande kiduchu(kinaharufu kali hiki kidonge) pondaponda kiwe unga, kisha weka kweny dagaa wa kukaanga au nyanya ama mchele mix.

Kawawekee kweny njia yao, wakila ndo bas tena dakika mbil hawamalzi ni chali tu.
Hii hata wakinywa maji hawaponi, tofaut na dawa zingne
Wakinywa maji huwa wanapata nafuu.
Ila hyo hawatoboi. Sema harufu ndan ya mizoga ya panya jiandae kuwaokota
 
Panya anakupita kwenye miguu huku kanyanyua mkia juu aisee nilishangaa mi najua panya akimuona binadamu anakimbia,Niliweka ule mtego wa ulimbo panya katoka nilichoka toka hapo nikasema hawa si panya wa kawaida😬
Umenifanya nicheke 😁😁 nikiwa kwenye hasira ndugu, kama hawa waliopo hapa kwangu wanacheza kama vile wako kwenye mapango yao😁🙌
 
Indocid inamaliza tatizo. Nenda duka la dawa inauzwa 1000 vidongo kama 10 au 20 hivi vya njano vina unga mweupe ndani. Changanya na dagaa au hata nyanya. Usiweke maji karibu. Week tu utakuwa humiliki tena panya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…