Panya wamenishinda, kuna dawa kiboko ya kumaliza changamoto hii ya panya?

Duuh Geita huko c kuna mambo ya kamati sanaa?isija ikawa wanafugwa hao....
 
Jaribu kuweka mazingira yako safi. Hakikisha unaondoa vitu visivyo na ulazima ndani ya nyumba ambavyo vinawapa mazingira ya kujificha.
 
tafuta paka
 
 
Kuna dawa ya binadamu ya mifupa ni kiboko,niliwapa nimekuta panya kibao wamekufa.. mpaka leo hakuna tena panya
 
Indocid inamaliza tatizo. Nenda duka la dawa inauzwa 1000 vidongo kama 10 au 20 hivi vya njano vina unga mweupe ndani. Changanya na dagaa au hata nyanya. Usiweke maji karibu. Week tu utakuwa humiliki tena panya
Hii ni uhakika 100%
 
tupe mrejesho
 
Weka paka hapo hamna dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…