Labrujita
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 399
- 126
Bila shaka maombi yetu yatamfanya apumzike kwa amani.Mbona mmemuombea na bado akafa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka maombi yetu yatamfanya apumzike kwa amani.Mbona mmemuombea na bado akafa?
Naielewa Roman Empire na Roman Catholic kuliko unavyodhani. Am very well informed in history my friendUsipende kuweka kichwani vitu vya kusikia sikia, siku utakuja kusikia kwamba kuna ametangaza nia ya kukuoa, tumia simu yako vizuri kujipatia taarifa zilizo sahihi sio kutwa nzima kutembelea page za udaku mwisho ndio unaambiwa jamaa alikuwa freemason
kuna mambo haitaji umri mkubwa au mdogo au uzoefu kung'amu ukweli na uhalisia wa mambo hata kama ni nje na mazoea. Mazoea ndiyo desturi katika maisha ya jamimi fulani, kama hiyo jamii inabadili desturi zake ghafla hilo suala jipya na itazoeleka kuwa mtu akifa ghafla on the spot kifo chake kinatangazwa itakuwa kawaidaSijajua una miaka mingapi ila mtu mzima mwenye experience ya maisha anajua fika kwamba kifo kinaweza kumpata mtu dakika yoyote tu, haijalisha dakika kadhaa nyuma alikuwa wapi. Hata wewe hapo unajiona mzima lakini nikwambie tu unaweza kata moto na waliokaribu yako wakabaki wanashangaa imekuwaje.
kuna mambo haihitaji umri mkubwa au mdogo au uzoefu kung'amu ukweli na uhalisia wa mambo hata kama ni nje na mazoea. Mazoea ndiyo desturi katika maisha ya jamimi fulani, kama hiyo jamii inabadili desturi zake ghafla hilo suala jipya na itazoeleka kuwa mtu akifa ghafla on the spot kifo chake kinatangazwa itakuwa kawaida
Acha uzembe wewe kula mbususu acha ujinga yaani warembo wote hawa unasema the world is meaningless!Rip who is next
prepare ur self world is meaningless bravo
Kitu cha ajabu kuhusu pope ni kuwa traditional yao ili kuthibitisha kafa lazima agongwe na nyundo kichwani mara Tatu huku wakiita Jina lake la ubatizoHivi papa ni nani?
Maana anatukuzwa sana
Joseph Ratzinger (Papa Benedicto wa 16) upumzike kwa amani ni bahati mbaya umefariki bila kuona ndoto yako ya Maaskofu na Mapadri wanaoa. Umewaachia Kanisa Katoliki utaratibu wa Papa kujiuzulu, waendeleze hilo.Born Joseph Ratzinger in Germany, Benedict was 78 when in 2005 he became one of the oldest popes ever elected
DuuuhhhKitu cha ajabu kuhusu pope ni kuwa traditional yao ili kuthibitisha kafa lazima agongwe na nyundo kichwani mara Tatu huku wakiita Jina lake la ubatizo
Asipoitika basi kafa huyo
Maajabu ila ni kweli View attachment 2465625
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Duuuhhh
Hata kama Yu hai akigongwa na nyundo mara 3 si wanammalizia
kwani kalikua ka_dada kako ?Wakati Mudi anawatungia hizi habari, anakafukunyua kabinti ka miaka 8.