Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Unataka kumaanisha nini Mkuu?Hata mavi yakiwa sehemu yana inzi wengi zaidi, so ubora au ukweli wa kitu haupimwi kwa wingi wa waumini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kumaanisha nini Mkuu?Hata mavi yakiwa sehemu yana inzi wengi zaidi, so ubora au ukweli wa kitu haupimwi kwa wingi wa waumini
Popote pale ambapo Mungu atamuweka mja wake.Ampokee kwenda wapi?
Sijamuombea aingie Mbinguni wala motoni. Nimemuomba Mungu ampokee mja wake.Hata usipo muombea huyo ni moja kwa moja kwa Mungu
Hakika mwenyezi Mungu amjalie pumziko la milele .
Duhhh! Namuona akitangazwa mwenye heri sio siku nyingi, maybe anaweza kuwa mtakatifuImagine hivi ni sehemu ndogo ya vitabu alivyoandika! Ndio maana anaaminika kuwa mwalimu bora wa Kanisa Katoliki kwa karne 20 na 21! Very Genius [emoji848]View attachment 2464698
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ficha ujing
www.jw.orgPope ukiwa na mguvu ya kidini unapaswa ukataze vita cha ajabu italy ilihusika na vita za dunia..huu ni uthibitisho kwamba hizi ni dini za uwongo zisizo na upendo
Mbona mmemuombea na bado akafa?Papa Benedict VI afariki dunia ikiwa ni siku mbili tangu papa Francis kuwataka waumini wote duniani tumuombee.
Pope Benedict XVI has passed away at age 95.
He held the apostolic see from 2005 to 2013, when he unexpectedly announced his decision to abdicate.
In recent years, he lived in a small monastery, Mater Ecclesiae, in the Vatican Gardens.
Nini ilikua Motive ya Huyu Papa kujiuzulu 2013 ?
============
Kiongozi huyo wa zamani wa Kanisa Katoliki amefikwa na mauti akiwa katika makazi yake Vatican baada ya kuwa mgonjwa mwa muda mrefu.
Aliliongoza Kanisa Katoliki kwa miaka 8, ambapo Mwaka 2013 alikuwa Papa wa kwanza kujiuzulu tangu Gregory XII alipofanya hivyo Mwaka 1415.
Jina lake kamili ni Joseph Ratzinger, mzaliwa wa Ujerumani ambaye alipata nafasi ya kuwa Papa wakati akiwa na umri wa miaka 78 Mwaka 2005.
===== ==========
Former Pope Benedict XVI dies at 95
Former Pope Benedict XVI has died at his Vatican residence, aged 95, almost a decade after he stood down because of ailing health.
He led the Catholic Church for less than eight years until, in 2013, he became the first Pope to resign since Gregory XII in 1415.
Benedict spent his final years at the Mater Ecclesiae monastery within the walls of the Vatican.
His successor Pope Francis said he had visited him there frequently.
The Vatican said in a statement: "With sorrow I inform you that the Pope Emeritus, Benedict XVI, passed away today at 9:34 in the Mater Ecclesiae Monastery in the Vatican.
"Further information will be provided as soon as possible."
Although the former pontiff had been ill for some time, the Holy See said there had been an aggravation in his condition because of advancing age.
On Wednesday, Pope Francis appealed to his final audience of the year at the Vatican to "pray a special prayer for Pope Emeritus Benedict", whom he said was very ill.
Born Joseph Ratzinger in Germany, Benedict was 78 when in 2005 he became one of the oldest popes ever elected.
For much of his papacy, the Catholic Church faced allegations, legal claims and official reports into decades of child abuse by priests.
Earlier this year the former Pope acknowledged that errors had been made in the handling of abuse cases while he was archbishop of Munich between 1977 and 1982.
Jana alishiriki ibada halafu wewe unatuletea speculation zako hapa, mmezoa huko Tanganyika maccm huwa yanawadanganya basi unahisi kila jamii ina matapeli.Siku wanatangaza yuko mahutiti hali yake ni mbaya aombewe ilikuwa ni ishara tosha kuwa amefariki. Ndivyo ilivyo kwa vifo vya wakubwa haitangazwi wakati huo huo anapofariki dunia mapaka maandalizi ya kutangaza msiba yakamilike
Aliyekwambia ni bora ni nani ?Hata mavi yakiwa sehemu yana inzi wengi zaidi, so ubora au ukweli wa kitu haupimwi kwa wingi wa waumini
Asante brother, Mungu awe nawe2023
Happy New Year
Ameen brother, awe nawe piaAsante brother, Mungu awe nawe
inawezeka huyo aliyehudhuria misa alikuwa wa mchongoJana alishiriki ibada halafu wewe unatuletea speculation zako hapa, mmezoa huko Tanganyika maccm huwa yanawadanganya basi unahisi kila jamii ina matapeli.