TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

Mwaka mpya iepushe akili yako na mawazo ya kijinga jinga la sivyo utazidi kubaki hapo hapo.
inaingiaje akilini mtu mkubwa kama huyo muda mfupi dunia itangaziwe ni mgonjwa hali yake ni mbaya kisha saa chache mbeleni ahudhurie misa, kisha muda mchache mbeleni itangazwe amefariki dunia!? Umekazana kuona watu wajinga wakati kiitifaki kulingana na hadhi ya mtu huyo si jambo la kawaida kutangaza msiba bila maandalizi kwa waumini wake. Wewe ndio una akili mgando isiyeweza kutafuta ukweli na uhalisia wa mambo
 
Huyu mzee nasikia ni Freemason wa kutupwa. Ndo kilichomponza mpaka akalazimishwa kujiuzulu.

Screenshot_20230101-061527_1.jpg

The handshake
 
Aliamua kujiuzulu baada ya kuona hawezi endana na matakwa ya freemason atakuwa anamkosea MUNGU wake akaona bora akae pembeni. Heri Mungu kuliko wanadamu.
 
inaingiaje akilini mtu mkubwa kama huyo muda mfupi dunia itangaziwe ni mgonjwa hali yake ni mbaya kisha saa chache mbeleni ahudhurie misa, kisha muda mchache mbeleni itangazwe amefariki dunia!? Umekazana kuona watu wajinga wakati kiitifaki kulingana na hadhi ya mtu huyo si jambo la kawaida kutangaza msiba bila maandalizi kwa waumini wake. Wewe ndio una akili mgando isiyeweza kutafuta ukweli na uhalisia wa mambo
Mambo hayaendi kimazoea inawezekana hivyo,kwani ujaona mgonjwa aliyekuwa hoi kawa mzima na matumaini tele then baada ya mda kaondoka.
Alihudhuria misa Ili kuwaaga waumini wake.Kwa umri ule ni umri wa ziada wa kuishi duniani.
 
Huyu mzee nasikia ni Freemason wa kutupwa. Ndo kilichomponza mpaka akalazimishwa kujiuzulu.

View attachment 2465024
The handshake
Hakuwa freemason bali hakukubaliana na matakwa ya kanisa kuwa chini ya freemason, documentary ipo.
Dini zote zipo chini ya freemason,hata wasabato waliokuwa wabishi tayari wapo under freemason thus walibadilisha hata nembo yao ya ujumbe wa malaika wa tatu,wakaweka nembo ya msalaba chini juu
 
inaingiaje akilini mtu mkubwa kama huyo muda mfupi dunia itangaziwe ni mgonjwa hali yake ni mbaya kisha saa chache mbeleni ahudhurie misa, kisha muda mchache mbeleni itangazwe amefariki dunia!? Umekazana kuona watu wajinga wakati kiitifaki kulingana na hadhi ya mtu huyo si jambo la kawaida kutangaza msiba bila maandalizi kwa waumini wake. Wewe ndio una akili mgando isiyeweza kutafuta ukweli na uhalisia wa mambo
Sijajua una miaka mingapi ila mtu mzima mwenye experience ya maisha anajua fika kwamba kifo kinaweza kumpata mtu dakika yoyote tu, haijalisha dakika kadhaa nyuma alikuwa wapi. Hata wewe hapo unajiona mzima lakini nikwambie tu unaweza kata moto na waliokaribu yako wakabaki wanashangaa imekuwaje.
 
Huyu mzee nasikia ni Freemason wa kutupwa. Ndo kilichomponza mpaka akalazimishwa kujiuzulu.

View attachment 2465024
The handshake
Usipende kuweka kichwani vitu vya kusikia sikia, siku utakuja kusikia kwamba kuna ametangaza nia ya kukuoa, tumia simu yako vizuri kujipatia taarifa zilizo sahihi sio kutwa nzima kutembelea page za udaku mwisho ndio unaambiwa jamaa alikuwa freemason
 
Huyu mzee nasikia ni Freemason wa kutupwa. Ndo kilichomponza mpaka akalazimishwa kujiuzulu.

View attachment 2465024
The handshake
freemason ni washenzi katika ushenzi wao, wanataka utekeleze agenda zao kikamilifu kama hutaki unalizimishwa ujiuzulu au upinduliwe madarakani. Hata huyu aliyeko madarakani ni mwanachama wa freemason wa daraja la juu tawi la jesuit. Huyu wa sasa ni mtekelezaji mzuri wa agenda zao hatua kwa hatua na amekuwa mtata sana kwenye uongozi wake
 
Back
Top Bottom