TANZIA Papa Benedict XVI afariki akiwana umri wa miaka 95

Usipende kuweka kichwani vitu vya kusikia sikia, siku utakuja kusikia kwamba kuna ametangaza nia ya kukuoa, tumia simu yako vizuri kujipatia taarifa zilizo sahihi sio kutwa nzima kutembelea page za udaku mwisho ndio unaambiwa jamaa alikuwa freemason
Naielewa Roman Empire na Roman Catholic kuliko unavyodhani. Am very well informed in history my friend
 
kuna mambo haitaji umri mkubwa au mdogo au uzoefu kung'amu ukweli na uhalisia wa mambo hata kama ni nje na mazoea. Mazoea ndiyo desturi katika maisha ya jamimi fulani, kama hiyo jamii inabadili desturi zake ghafla hilo suala jipya na itazoeleka kuwa mtu akifa ghafla on the spot kifo chake kinatangazwa itakuwa kawaida
 
 
Hivi papa ni nani?
Maana anatukuzwa sana
Kitu cha ajabu kuhusu pope ni kuwa traditional yao ili kuthibitisha kafa lazima agongwe na nyundo kichwani mara Tatu huku wakiita Jina lake la ubatizo

Asipoitika basi kafa huyo
Maajabu ila ni kweli
 
Born Joseph Ratzinger in Germany, Benedict was 78 when in 2005 he became one of the oldest popes ever elected
Joseph Ratzinger (Papa Benedicto wa 16) upumzike kwa amani ni bahati mbaya umefariki bila kuona ndoto yako ya Maaskofu na Mapadri wanaoa. Umewaachia Kanisa Katoliki utaratibu wa Papa kujiuzulu, waendeleze hilo.
Poleni Kanisa Katoliki, pole ya kupoteza
 
Duuuhhh
Hata kama Yu hai akigongwa na nyundo mara 3 si wanammalizia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana daa

Kumbe ndio taratibu zao hizo
Kila kitu kiko wazi siku hizi, tulikuwa hatujui kuwa kuna adhabu inamsubiri kabla kuzika

Nyundo Tatu za kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…