Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Kuna watu Huwa naawaambia Mimi mwenzenu nishajitoa kwenye huu utumwa wa dini wananibeza Sana, Mimi naishi Kwa kuzingatia zile amri 10 tu za Mungu! Siendi nyumba yeyote ya ibada! Sometimes hua natamani Sana hata hili jina langu lingekuwa la kiafrica maana nikimtajia tu mtu jina langu anajua Mimi ni dini gani ingawa in reality Mimi nimeacha kwenda church 2005.
Tunafanana,
Nishaacha kusali
 
Building a Bridge: How the Catholic Church and the LGBT Community Can Enter into a Relationship of Respect, Compassion, and Sensitivity” and frequently speaks on issues pertaining to homosexuality and Catholicism.
kichefuchefu kimetokea hapa
 
Moja ya kuujiudhuru MWALIMu wa makadinali waliopo kwasasa duniani na wakihudumu PAPA Benedict


HIVYo...ushoga nilazima uidhinishwe katolic ili kuthibiti kesi za mapadri mahakamani za ubakaji
Hii haiwezi kuwa ni sababu maana kubaka ni kosa. Na pia kuwaingilia watoto bado ni kosa.
 
Uzi umeanza vizuri sana na hoja watu wanatoa za kueleweka ila sasa wenyewe naona washaanza kuja kuvuruga uzi
 
Ukiwa Muislam usishangae kuitwa "Gaidi".
Na ukiwa mkristo, wewe na ushoga ni kama suti na tai.

Bora niwe Muislam.
 
Ukiwa Muislam usishangae kuitwa "Gaidi".
Na ukiwa mkristo, wewe na ushoga ni kama suti na tai.

Bora niwe Muislam.
Naomba uniambie kati ya bara na pwani wapi kumejaa mashoga..?

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom