Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu nao ni mtindio wa ubongo kila kitu USA ,kwamba USA ndio anaamua maamuzi ya kanisa katoliki ? ,Serikali zote duniani under USA democracy influence zinatakuwa kutambua na kuwalinda jamaa wa upinde kwa namna yoyote ile, na kinachokuja kutoka hivi karibuni haya madhehebu yatakua yanarenew vile vibali vyao, na sharti mojawapo la kupewa kile kibali ni kuukubali ushoga ndani ya jumuiya zao, sasa je kuna wachungaji/mapdre/mashekhe n.k wenye ujasiri wa kukata hizo mambo ili wakose sadaka na zaka, huku wakipewa back up ya fedha nyingi katika kuwasupport upunga?
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woyoooooooo,
Najiandaa leo unipe tena ile style ya 'ndege yavutwa na kamba' [emoji1787]
Babeeee hawa straight uchwara ni wa kuwapuuza tyuuh.Nenda kasome watu walioibadilisha Dunia na sexual preferences zao,
Utashangaa ukiambiwa aliyegundua Simu alikua shoga, aliyegundua mavazi alikua shoga na mengineyo,
Nakusahisha uliposema Mashoga akili zao sio nzuri wakati ukijiangalia juu hadi chini unachokitumia kimetengenezwa kwa akili za shoga [emoji38]
Kuhusu kuzaana wala lisikupe tabu, jamii ya Lgbt+ wanazaa na wana adopt.
Mtu akifirwa we inakuhusu nini au njaa zinakusumbua?Wee msenge nn, yaani unaafiki mwanaume kuinamishwa apumliwe, wee punga kabisa yaani, so privacy gani unayoiongelea hapa, kwamba na akili zetu hizi na sie tukubali upumbavu huo au unafikiri kila cha mzungu ni chema kwetu waafrica?
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Sasa kama mungu hawapendi mashoga si awaue?Yesu alituambia anakuja mtu mmoja na kanzu yake huko VATICAN anasema "God can't disown his child because he's LGBTQ"!
Tuma picha tuone.Naskia papa anatinduliwa na Biden
Nipo pamoja na wewe,nitakwenda hata kwa ndugu zetu ktk imaniWakipitishi hii kitu mm naama ukatoriki yani nitakuwa mkristu ambae sina zehebu....
Nenda ukawaue.Mashoga hawana haki ya kuishi
Mna kipi cha maana nyie wapuuz mpaka mkae kila muda kuhisi kila agenda ni kwa ajili yenu ,nyie wajengewa vyoo vya misaada , mxieew .Unataka kusema watapeleka mswaada wa mabadiliko? hivi hawa mashoga hizi nguvu wanazitoa wapi? nani kiongozi wa hili kundi na hawa wazungu wanataka nini kwetu mbwa hawa? natukana sababu wanakera sana ni wakati wa mataifa ya Africa+Asia kuwa wamoja na kusema kwa kauli moja haya ni yetu msilazimishe watu na ujinga wenu huu. Kama unataka kuwa shoga kuwa shoga na familia yako hakuna atakaye kuuliza, mbona hapa kwetu wako wamejaa lakini kama hawavunji sheria za nchi wapo hatuwakati vichwa ila kulazimishana tuone jambo la kawaida wewe mzazi anakuja mwanao nyumbani shoga halafu wewe mzazi" mwanangu mimi nakuunga mkono tu unachotaka wewe sawa tu" pumbavu wakubwa hawa
Ni policy ya jeshi la Marekani , recruitment na promotion kwenye army ,Navy au marine hakuna ubaguzi wa sexual orientation whether you are a lesbian ,gay ,quiy , Transgender , bisexual ,male ,Marekani wana Jenerali wa Jeshi aliyebadili jinsia kuwa mwanamke, kuna mambo ya ajabu sana.
Ukiona watu wanavyotokwaga na mapovu kukaa na kutetea maupumbavu ya dini zao za kiislamu na ukristo ,ni nawaonaga misukule ++ , we kama una imani yako hiyo kaa nayo usimjudge mtu mwingine kisa umekariri hayo makaratasi na upuuzi wako wa kuabudu rosali ,masanamu ,misahafu na matakataka mengine huko . Put that shit to yourself .Mkuu yani ukifuatilia Sana hizi dini utajikuta huendi kabisaa, wanaoujua ukweli ni walio na vyeo vikubwa wengine huku chini wanafuata maelekezo, Vatican ikisema dunia inafuata !
Anglican tayar wameshapisha Sera la LBGTQ , Roman Catholic church walikuwa wanasubiriwa kupitisha, NI swala la muda,Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii ya mashoga (LBGTQ).
ikumbukwe kuwa mwezi May mwaka huu, papa Francis alinukuliwa akisema "God doesn't disown his child because they are LBGTQ"
Inashangaza kuona agenda hizi zikijadiliwa tena Vatican! Unaweza kuisoma habari hii kwa urefu katika tovuti ya Catholic news agency CNA.
Ama kweli, ukistaajabu ya Musa,je kanisa linaelekea kusapoti agenda hizi ovu?
======
Pope Francis received Father James Martin, SJ, in a private audience in the apostolic palace inside the Vatican on Friday.
In a tweet published after the encounter, Father Martin wrote he was “was deeply grateful to meet with Pope Francis in the Apostolic Palace this morning for 45 minutes.”
The conversation covered “the joys and hopes, the griefs and anxieties, of LGBTQ Catholics,” Martin added, writing: “It was a warm, inspiring and encouraging meeting that I’ll never forget.“
The Vatican does not customarily comment on papal meetings with individual priests or bishops.
Martin is the author of “Building a Bridge: How the Catholic Church and the LGBT Community Can Enter into a Relationship of Respect, Compassion, and Sensitivity” and frequently speaks on issues pertaining to homosexuality and Catholicism.
Pope Francis met with Father Martin in 2019 and expressed support for the American Jesuit’s ministry in a letter a year later, encouraging him to “continue this way.“
Chanzo: CNA > Pope Francis meets with Father James Martin at Vatican
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnawapiga kwenye mshonooooo.Mna kipi cha maana nyie wapuuz mpaka mkae kila muda kuhisi kila agenda ni kwa ajili yenu ,nyie wajengewa vyoo vya misaada , mxieew .
Recognition ya LGBTQ ni world wide agenda na si kwamba watu wa Afrika ndio wamelengwa .Muwe mnatumia akili ,hizo dini mmeletewa na hao hao wanaosambaza hizo agenda za new age mbona huwa hamtoi mapovu mkienda kwenye misikiti na makanisa yenu huko kuabudu hiyo miungu ambayo hata hamjawahi kuiona
Mlishamuona huyo mwamedi ,yesu au mungu wenu huyo mliyekaririshwa ?
Kuwa open minded , sio kitu unakuwa too brainwashed mpaka ukitoa hoja unaonekana taahira .
Idiots
Ningekutukana tusi wewe lakini wala hustahiliMna kipi cha maana nyie wapuuz mpaka mkae kila muda kuhisi kila agenda ni kwa ajili yenu ,nyie wajengewa vyoo vya misaada , mxieew .
Recognition ya LGBTQ ni world wide agenda na si kwamba watu wa Afrika ndio wamelengwa .Muwe mnatumia akili ,hizo dini mmeletewa na hao hao wanaosambaza hizo agenda za new age mbona huwa hamtoi mapovu mkienda kwenye misikiti na makanisa yenu huko kuabudu hiyo miungu ambayo hata hamjawahi kuiona
Mlishamuona huyo mwamedi ,yesu au mungu wenu huyo mliyekaririshwa ?
Kuwa open minded , sio kitu unakuwa too brainwashed mpaka ukitoa hoja unaonekana taahira .
Idiots
Huna akili ,tukana hamna shidaNingekutukana tusi wewe lakini wala hustahili
Hakuna haja unaweza kutukana kumbe mtu yuko mirembe sasa ya nini?Huna akili ,tukana hamna shida