Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

Tunafanana,
Nishaacha kusali
 
Building a Bridge: How the Catholic Church and the LGBT Community Can Enter into a Relationship of Respect, Compassion, and Sensitivity” and frequently speaks on issues pertaining to homosexuality and Catholicism.
kichefuchefu kimetokea hapa
 
Moja ya kuujiudhuru MWALIMu wa makadinali waliopo kwasasa duniani na wakihudumu PAPA Benedict


HIVYo...ushoga nilazima uidhinishwe katolic ili kuthibiti kesi za mapadri mahakamani za ubakaji
Hii haiwezi kuwa ni sababu maana kubaka ni kosa. Na pia kuwaingilia watoto bado ni kosa.
 
Uzi umeanza vizuri sana na hoja watu wanatoa za kueleweka ila sasa wenyewe naona washaanza kuja kuvuruga uzi
 
Wakipitishi hii kitu mm naama ukatoriki yani nitakuwa mkristu ambae sina zehebu....
Madhehebu yote ya kikrsto ni waunga mkono ushoga, na mashoga wengi wanapatikana kanisani.
 
Ukiwa Muislam usishangae kuitwa "Gaidi".
Na ukiwa mkristo, wewe na ushoga ni kama suti na tai.

Bora niwe Muislam.
 
Ukiwa Muislam usishangae kuitwa "Gaidi".
Na ukiwa mkristo, wewe na ushoga ni kama suti na tai.

Bora niwe Muislam.
Naomba uniambie kati ya bara na pwani wapi kumejaa mashoga..?

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…