Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Tecknologia na Dunia iko mbali sana mkuu......hapana, jana kama uliangalia BBC na CNN aliwasalimia waumini na kuhudhuria misa ingawa alikuwa kwenye kiti
Hili nilisoma miaka ya nyuma sana, ingawq kwa sasa wanakanusha kabisa kwa kusema ni uzushi.Kama inakuingia wewe akilini mimi inakataa,mkuu kweli unaamini maneno uliyoandika hapo juu nilipo-bold?
Nisaidie pakuyasoma niongeze maarifa na mimi.
Tujifunze sheria za Mungu:Haukumuelewa tu,wenye dhambi hawatengwi wenye dhambi unatakiwa ukae nao karibu ili wakuige wewe yale mazuri uliyo nayo na ndicho alichokuwa anajaribu kukisema ila alikosa lugha sahihi ya kukiambia kizazi hiki kinachotafsiri maneno jinsi kinavyotaka ili kipate maana kinayoitaka.
Imani ya kweli ni ku-stick na wale unaohisi wana dhambi ili waanze kubadilika kuja kwenye hali yako unayohisi wewe ni nzuri zaidi yao,kuna haja gani kukaa wote mliokamilika mtasahihishana nini wakati wote mpo perfect?
Yani watu wangetulia sahivi yangekua mengineTunamshukuru Mungu kwa kifo chake maana aliku ni fitina hapa duniani, Adhabu kali ya moto iwe juu yake mzee wa kubariki ushoga
Waende kumsalimia wakati wao pale Vatcan ni nyumbani! Wageni ndio wanaoenda kumsalimiaJamaa zake wa Tanzania hawana habari, wanapambana kuingiza mtu wao ikulu, hata kwenda kumsalimia aaahhh... Hovyo kabisa
Hukuona ile clip yule Bishop mweusi alietaka kumbusu PopeNataka nigombee hiyo nafasi ndugu zangu Watanzania naombeni sapoti yenu basi..
R.I.PKiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.
Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.
======================================
Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.
The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.
He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
View attachment 3310884
View attachment 3310870
Source: BBC
MamboNdio alikua anaaga mara ya mwisho mwisho
leo usiku lazima ufe , aga mapema, Pope huwa na nguv za ajabu kwa kashifa hii unayoifanya. Ufe salama rafiki yanguTunamshukuru Mungu kwa kifo chake maana aliku ni fitina hapa duniani, Adhabu kali ya moto iwe juu yake mzee wa kubariki ushoga
Hapo zamani kabla ya kukua kwa ufahamu wa binadamu hii ilitumikaKama inakuingia wewe akilini mimi inakataa,mkuu kweli unaamini maneno uliyoandika hapo juu nilipo-bold?
Nisaidie pakuyasoma niongeze maarifa na mimi.
Usiende mbali, hapa hapa nchini hata miezi minne haijaisha aliyekuwa shoga maarufu nchini ameokoka na ameomba akasomee uchungaji. Hilo ndilo alilosisitiza Ftancis, kuwa hawa watu wasitengwe kwani nao ni binadamu, bahati nzuri kanisa la kilokole limetekeleza kwa vitendo. Je, wewe unachukuliaje kitendo hicho?Tujifunze sheria za Mungu:
“Kamwe usilale na mwanamume mwenzio kana kwamba ni mwanamke. Hilo ni chukizo. Soma Walawi 18:22
“Je, hamkusoma kwamba Muumba tangu mwanzo ‘Aliwaumba mwanamume na mwanamke,’ akasema, ‘Kwa sababu hii, mtu atamwacha baba na mama yake na kuambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’?”. Mathayo 19:4
Sio kirahisi hivoRIP Papa sasa ni wakati sahihi kumpata Papa Mweusi kutoka Africa
Habari ya kidunia unaiomba uthibitisho jamiiforums mkuujamii forums tunaomba uthibitisho wa hii taarifa.
Inaleta tofauti gani kama ni leo au lastweek mkuu?Hilo la kufa leo siamini.
aya twambie alifariki lini ila wakatuficha na kama usemayo ni kweli mbona hukuleta uzi hapa kwamba amesha kata moto wanasubiri pasaka ipite ndio watqngazeWaliona pasaka ipte kwanza ndio watangaze