TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Hao viongozi au yeyote awae even you unajua kabisa kwamba kufa ni lazima uwe unataka au hutaki mbona kuna watu wakihisi wana ugonjwa fulani huchukua hatua za kujiua?ni kwa sababu huwa wanaziogopa hizo process za kukisubiri hicho kifo.

Kinachotufanya binadamu pamoja na imani zetu tutapetape tukiugua ni hiyo hiyo hali ya kuogopa hatua za kuvingoja vifo vyetu,ulishawahi kumuona mgonjwa wa cancer?figo?hata UTI tu namna mwili unavyosumbuka utaacha kwenda hospital(tunakoamini vilivyomo ni Mungu aliwapa watu fulani ufahamu ili tukipata mitihani ya maradhi tupone tujue yeye yupo?),japo kupata nafuu huku ukingoja siku zako?kukaa na kusubiri kufa siyo rahisi kama unavyodhani
 
Naona mambobya movie moja iliyotoka hivi karibuni yakienda kutimia.


Conclave
 
Sio shida zako, shida kama hizi zinakuaga zinasababishwa na malezi....with time unaweza kuwa sawa kama utaamua.

Sikulaumu sikuchukulii serious ✌️
Sasa wewe mboni unamhukumu Papa ungekaa wewe kwenye kiti chake ungetoa maamuzi gani kuwaua wote au ungefanyaje ndugu Hitler wayahudi wote wauliwe sababu walimuua Yesu hio ndio ingekua hukumu yako?
 
Duuh,sad news!
 
Raha Ya Milele Umpe Ee Bwana
Na Mwanga Wa Milele Umwangazie
Apumzike Kwa Amani

Amen
 
Upo sahihi kabisa,ok ndiyo mimi sasa nimekengeuka kama wengine wanavyokengeuka wakawa wezi,wazinzi (kuziniana mwanaume kwa mwanamke) mfitini,mnafiq,yote mabaya wanafanya then nipo mimi shoga!

Mkuu unataka kuniambia ni haki wewe kuruhusu hao wenzangu hapo juu waliotoka nje ya mstari wa Mungu kama mimi kujumuika na wewe kwenye mambo ya Kimungu bila kuzingatia udhaifu wao wa dhambi huku mimi ukiniacha?obviously utakapotaka kukaa nao hao ni ili waache dhambi so unaona kabisa ilikuwa haki mimi nife na dhambi yangu wakati ulikuwa na uwezo wa kuniita kama wadhambi wengine na mimi niokoke?

Check your facts,imani siyo hasira wote sisi tuna dhambi qualities tunaziweka sisi ila Mungu ikiwa tu alishawahi kuonya kitu basi hicho moja kwa moja akitendaye hana tofauti na aliyetenda kingine alichokataza.
 
Upo sahihi kabisa,ok ndiyo mimi sasa nimekengeuka kama wengine wanavyokengeuka wakawa wezi,wazinzi (kuziniana mwanaume kwa mwanamke) mfitini,mnafiq,yote mabaya wanafanya then nipo mimi shoga!

Mkuu unataka kuniambia ni haki wewe kuruhusu hao wenzangu hapo juu waliotoka nje ya mstari wa Mungu kama mimi kujumuika na wewe kwenye mambo ya Kimungu bila kuzingatia udhaifu wao wa dhambi huku mimi ukiniacha?obviously utakapotaka kukaa nao hao ni ili waache dhambi so unaona kabisa ilikuwa haki mimi nife na dhambi yangu wakati ulikuwa na uwezo wa kuniita kama wadhambi wengine na mimi niokoke?

Check your facts,imani siyo hasira wote sisi tuna dhambi qualities tunaziweka sisi ila Mungu ikiwa tu alishawahi kuonya kitu basi hicho moja kwa moja akitendaye hana tofauti na aliyetenda kingine alichokataza
 
Watu haya mambo ya imani kuna muda wanajifyatua akili tu🤣, kwamba viongozi wa dini wakiugua wasijitibu wafe wawahi majuu🤣 huyo jamaa anazingua sana.

Amenikumbusha hii post ya asubuhi watu walivyotoana akili mjini twita


View: https://x.com/DrOaikhena/status/1913745180185723012
Kwenye comments humo ni vita tupu
 
Shukrani sana.

Umenipa chanzo cha kuongeza maarifa,nitachimbua zaidi kulifahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…