Wacha imani za kishenzi.Kwani huyo aliyekufa alimkashifu nani?Death is a natural process in humans nature.Wacha imani za kipumbavu.leo usiku lazima ufe , aga mapema, Pope huwa na nguv za ajabu kwa kashifa hii unayoifanya. Ufe salama rafiki yangu
Rip Pope FrancisKiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.
Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.
======================================
Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.
The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.
He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.
View attachment 3310884
View attachment 3310870
Source: BBC
Inasemekana alikufa Mwezi wa pili wakafichaKafa leo au alishakufa siku nyingi? Tuliambiwa jana papa alishindwa kuhutubia ibada ya pasaka, mara tukaambiwa alijitokeza kidogo na kiti mwendo kumbe ni mfu tangu siku nyingi, walisubiri pasaka ipite watangaze msiba
Kwani hukuona jana alihudhuria misa ya pasaka na akatoa baraka pale st Peter's basilicaWaliona pasaka ipte kwanza ndio watangaze
Kwani hukuona jana alihudhuria misa ya pasaka na akatoa baraka pale st Peter's basilicaInasemekana alikufa Mwezi wa pili wakaficha
Hizo ni propaganda tu ukweli wakatoliki hawawezi kuwaonea huruma jamii za kiislamHadi jana kwenye misa ya Pasaka aliongelea suala la kusitishwa vita ya Gaza, kabla ya hapo amekuwa akisisitiza hilo mara nyingi sababu ya watoto wengi wanaouliwa na Israel.
Palipo na ukweli na sifa zake tumpe bila kuleta mambo ya udini.
unaota mkuu, samawani lkn unaota ndoto ya mchana kweupeeeeRIP Papa sasa ni wakati sahihi kumpata Papa Mweusi kutoka Africa
Karibu sana, ila kwa sasa kwa wanaona ni kama aibu na wanakanusha sanaShukrani sana.
Umenipa chanzo cha kuongeza maarifa,nitachimbua zaidi kulifahamu.
Ulitaka aishi kidogo kakaAmeishi sana hata hivyo.... apumzike
Kama umeelewa hivyo ni kheri pia.Ulitaka aishi kidogo kaka