Papa Francis amteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Iringa

Binafsi ni mwl wangu?!
 
Hongera kwake padre Mihali.
Askofu ngalalekumtwa ni askofu mwenye misimamo mikali sana ya kidini.
Shukurani kwa huduma yake ya kichungaji.
Sio misimamo mikali ni askofu wa kanisa, tuwaombee maaskofu wetu
Hongera kwake padre Mihali.
Askofu ngalalekumtwa ni askofu mwenye misimamo mikali sana ya kidini.
Shukurani kwa huduma yake ya kichungaji.
 
Kampa na yale maelekezo ya kuwabariki wale wazee wa upinde?
 
Kama kachaguliwa na papa, basi ana baraka zote kuwabariki wabarikiwa......
 
Very Young...
 
Kumbe unacheza na piano keys!!

Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu

Asema bwana

Hu ukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake!

Njoooni enyi wenye njaa

Njoooni enyi wenye kiu

Njoooni kwangu niwashibishe

Aulaye mwili wangu......
Aniaminiye Mimi,

Na Kuyashika nisemayooo

Nitamfufua siku ya mwisho
 
Attachments

Kila la Heri Baba Romanus Mihali🙏
 
kwani vicar general ni nani au hujui kuwa ndiye makamu wa askofu kwa wakatoliki?
Wewe hapo juu umesema alikuwa vicar general wa jimbo la mafinga..
Kitu ambacho sio sahihi askofu alikuwa jimboni Iringa kama makamu wa askofu na paroki wa ujewa.

Hilo la kuwa vicar general wa Mafinga si kweli, otherwise unapingana na taarifa ya TEC.
 
"Mhashamu Askofu Mteule Romanus Elamu Mihali tangu mwaka 2024 hadi sasa, amehudumu nafasi ya Makamu wa Askofu kwa Waklero Jimboni Mafinga."

kasome vizuri andiko la TEC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…