Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Iluminat ikianza mwaka 1700
Kanisa katoliki likianza mwaka wa 30 bk hoja yako nini sasa
RC (Vatican church) ni miongoni mwa waanzilishi wa Illuminat. Kwa taarifa yako huo mwaka unaotangazwa Illuminat kuanzishwa ni wa vitabuni tu. Kimsingi walishaanza kutenda kazi miaka mingi kabla yake.
Nikupe mfano: RC ilirasimisha ubatizo wa kunyunyiza maji (contrary to the Bible) kwenye mkutano wa Ravenna, mwaka 1311 BK lakini walikuwa wakitumia ubatizo wa aina hiyo miaka mingi kabla (rejea waraka wa Papa Kornelio I akizungumzia kifo cha Novatian (Novatus)). Pia walimu kama Hippolytus wa Rumi, mwaka 215 BK, Fabius wa Antiokia; mwaka 250 BK; Cyprian, mwaka 255 BK; na wengine walitetea ubatizo wa kumwagia na kunyunyiza.
Kanisa Katoliki ni wapinga Kristo namba moja kwa sababu mnaipinga Biblia na kufundisha uongo, mfano:
1. Hakuna kuokoka duniani (Luka 19:9-10)
2. Hakuna watakatifu duniani (Zaburi 16:3)
3. Mnakunywa pombe (kileo)- (1Petro 4:2-5, Waefeso 5:18)
4. Mnabatiza kwa kunyunyiza kinyume na maana ya neno ubatizo (baptisma (noun), baptizo(verb)). Yesu alibatizwa kwa maji mengi (Mathayo 3:13-17)
5. Mnabatiza watoto wachanga (Marko 16:16 - Mtoto hajui chochote hivyo hawezi kuamini)
6.Mnapinga kunena kwa lugha mpya (Matendo 2:1-4)
7. Mnaombea marehemu ili Mungu awasamehe dhambi zao (Waebrania 9:27)
8. Mmejenga kanisa la Vatican juu ya kaburi la Petro ili kufanania kauli ya Yesu kwenye Mathayo 16:18 kumbe Yesu hakumaanisha hivyo
.
.
.
n.k
 
Nimegundua hujielewi wala hujui unachozungumza
 
www.theepochtimes.com/n3/687952-pope-francis-rfid-hoax-goes-public-with-support-of-rfid-micro-chip-implantation-is-fake/?utm_expvariant=D002_02&utm_expid=21082672-12.InTAp1P_QWuf9wSnIRJAqg.1
 
Mkuu, hawa watu wanapaswa kuonewa huruma. Wana ujinga mkubwa juu ya uelewa wa maandiko matakatifu hasa hiyo namba 666
Hamna kibaya kujifanya unatafsiri kilichoandikwa sawa sawa ati maana yake ni tofauti.. Wewe ubadilishe kivipi na walioandika si wangeandika unavyotaka wewe... Someni na msibadilishe neno au maneno imeandikwa ole wao watakaobadilisha neno au kuongeza... Kama mnaona biblia kilichoandikwa maana yake ni nyingine basi andikeni mpya kama mtakavyo kama Roman wanayao... Me huwa nachukia sana watu wanaojidai kitafsiri tofauti na story ya bible... Kama mnaiweza isomeni na msipotoshe wengine... Amueni na mseme biblia imekosewa na sio biblia ina mafumbo... Hiyo 666 kwenye paji kama itakuja basi ni hivyo hivyo kama ilivyo... Mbona Manchester united ipo wazi red devil
 
Maandiko yanatimia !! Hatuwezi kuzuia kutimia kwa unabii. Yesu alisema, " Mbingu na nchi zitapita lakini Maneno yangu hayatapita" Cha msingi usiwe mmojawapo wa watakaoyatimiza maandiko !!
 
mimi sijui unalolisema ndugu yangu ila naamini kilichoandikwa kwenye BIBLIA (UNION VERSION) na kinanitosha. hayo mengine wala sitahangaika nayo
 
Huu tunasema ni umbumbumbu katika usomaji na uelewa wa maandiko. Huyu haelewi hata tafsiri ya namba 666.
 
 

Nakubaliana na wewe kwamba kuna mambo mengi makubwa na ya kushangaza yanafanywa na Pope francis. Mimi ni mkatoliki lakini kuwa mkatoliki hamaanishi nisifanye utafiti taarifa inayoonyesha negatice side ya kanisa langu. Badala ya mtu kutukana au kukejeli fanya utafiti wako.

Go to Google, Youtube, na sehemu nyingine ambapo taarifa zaweza kupatikana upate ukweli. Personally I believe we are at the end of times. Pope Francis and Obama are doing a lot to fulfill the prophecy.

>The Obama care
>Human trafficking done by Rome
>Engineering of eliminating Religious boundaries between Catholics, Lutheran(took place in US by pope francis), Muslims and Jews then to pray under one roof(one religion) na vitu vingi vya kushangaza vinavyofanywa na Pope na Obama.
>Pope kusema hawezi kuwakemea au kuwatenga Mashoga (Hata picha yake ilitokea kwenye from page ya jarida la taasisi ya Mashoga pindi alipotoa hiyo kauli; go find it)

Analysts are saying kwamba kazi ya Pope is to bring one religion while ya Obama is to bring One world government (the new world order). Sikushawishi uamini maneno yangu, go find yourself

I respect somebody who bring challenges, new ideas; but I ignore people whom their job is to criticize or argue with no point of reference.
This is real and it is happening now. Do your homework so that you can make right decisions
 
mkuu upo sahihi sana...asikiae na afahamu!
 
Umeandika vizuri ila hapo kwenye namba 6.

Mmh, kasome tena....
 
Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini..?
 
unajua aya mambo yapo kwenye biblia hasa kitabu cha ufunuo kama mtoa Uzi alivyo toa mfano wa ufunuo kiukwel biblia ukisoma ufunuo wa yohana akiwa katika kisiwa cha patmo alifunuliwa na mungu mambo ambayo ayana budi kutokea siku za uson kama ayo
Kitabu cha Apokalpse cha Yohana hakukiandikwa kwaajili ya nyakati hizi...Huu upuuzi umeutolea wapi..
 
Wengi humu hawataki ukweli huo lakini kweli ni kweli tu ata kama hautaki, papa ni mwanachama wa Jesuit group ambao ndio wamejenga institutions nyingi ikiwamo shule ya Loyola, ni kitengo cha freemasonry aka illuminants.
Dada yangu hebu muulize mzazi wako kama alishawahi kukuangusha ukapigiza kichwa chini...Maana inaonekana kama akilizako hazipo...

Labda nikuulize Jesuit Group ndio nini...?
 
Hivi mkuu, naomba nikuulize swali, Hivi unamfahamu William Miller pamoja na Millerite Group...? Maana mambo mengine kazima ujue chanzo,, Nijibu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…