BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,043
RC (Vatican church) ni miongoni mwa waanzilishi wa Illuminat. Kwa taarifa yako huo mwaka unaotangazwa Illuminat kuanzishwa ni wa vitabuni tu. Kimsingi walishaanza kutenda kazi miaka mingi kabla yake.Iluminat ikianza mwaka 1700
Kanisa katoliki likianza mwaka wa 30 bk hoja yako nini sasa
Nikupe mfano: RC ilirasimisha ubatizo wa kunyunyiza maji (contrary to the Bible) kwenye mkutano wa Ravenna, mwaka 1311 BK lakini walikuwa wakitumia ubatizo wa aina hiyo miaka mingi kabla (rejea waraka wa Papa Kornelio I akizungumzia kifo cha Novatian (Novatus)). Pia walimu kama Hippolytus wa Rumi, mwaka 215 BK, Fabius wa Antiokia; mwaka 250 BK; Cyprian, mwaka 255 BK; na wengine walitetea ubatizo wa kumwagia na kunyunyiza.
Kanisa Katoliki ni wapinga Kristo namba moja kwa sababu mnaipinga Biblia na kufundisha uongo, mfano:
1. Hakuna kuokoka duniani (Luka 19:9-10)
2. Hakuna watakatifu duniani (Zaburi 16:3)
3. Mnakunywa pombe (kileo)- (1Petro 4:2-5, Waefeso 5:18)
4. Mnabatiza kwa kunyunyiza kinyume na maana ya neno ubatizo (baptisma (noun), baptizo(verb)). Yesu alibatizwa kwa maji mengi (Mathayo 3:13-17)
5. Mnabatiza watoto wachanga (Marko 16:16 - Mtoto hajui chochote hivyo hawezi kuamini)
6.Mnapinga kunena kwa lugha mpya (Matendo 2:1-4)
7. Mnaombea marehemu ili Mungu awasamehe dhambi zao (Waebrania 9:27)
8. Mmejenga kanisa la Vatican juu ya kaburi la Petro ili kufanania kauli ya Yesu kwenye Mathayo 16:18 kumbe Yesu hakumaanisha hivyo
.
.
.
n.k