Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

we

wewe c z.uzu na ch.izi huwezijua mambo ya Illuminati conspiracy yapo nje ya uwezo wako,tulia
Ahhh! Kumbe ni conspiracy....au hujui maana ya Conspiracy...?

Kwahiyo wewe naishi kwa conspiracy...?
 
Ushaanza kuleta habari za madhehebu.
Tatizo mkishalishwa hizi imani za kabisa basi hamtaki kusikia
Haya we yapite tu.
Yaani mpaka Leo kuna mkristo hajui kuhusu chapa ya 666 kuwa no chip itakayokuwa planted kwa binadamu!?
Imani kitu kibaya. Soma vzr ufunguke
 
Itakuwa planted kwa binadamu lini..? Na nani..?
 
Hizi habari za kipuuzi za chip maraa nyingi huwa tunazisikia kwa Wasabato.....

Wewe ni Msabato..?
 
ku

labda kama ulivyowahi kusikia kuna uhusiano gani kati ya Wasabato na hizo chip?
Unaijua historia ya uanzishwaji wa hili dhehebu tokea Millerite Movement mpaka SDA na mpaka kuja kumeguka na kutengeza pacha wake Jehova Witness..?
 
Ehhh! Sasa mbona hujajibu nilichokuuliza....?? Huko shuleni mlienda kusomea ujinga...?
Siongei na watu vichaa. Naongea na werevu tu. Sihitaji kuyajua ya wapumbavu. Mtu anaejishindwa kujisoma huwa na hulka ya kufwatilia mambo yasiyo na tija. Maisha yao ni ya kanjanja kanjanja. Hawaishi kuzusha mambo ya kikekike kwa maana ndivyo walivyo.

Hivyo jifunze hekima kama huna la kuongea. Busara kukaa kimya.
 
Labda nirudie swali....Acha kuwa na hasira bana .

Nimekuuliza hivi... Unamjua William Miller, Joseph Bates, Hiram Edson...?

Jibu lako latikiwa kujikita "Nawajua au Siwajui"

Sasa povu la nini..? Daah
 
Labda nirudie swali....Acha kuwa na hasira bana .

Nimekuuliza hivi... Unamjua William Miller, Joseph Bates, Hiram Edson...?

Jibu lako latikiwa kujikita "Nawajua au Siwajui"

Sasa povu la nini..? Daah
Nashukuru mkuu kwa kuwasuuza hawa ***** .afu nashangaa hawataki kujibu hili swali hata mleta mada naye kakimbia.hahaha so funny
 
Nashukuru mkuu kwa kuwasuuza hawa ***** .afu nashangaa hawataki kujibu hili swali hata mleta mada naye kakimbia.hahaha so funny
Hakuna hata mmoja aliyetaka kujibu...Maaana wakijib tu wamekwisha..Nitawanyongea hap na thread inafungwa... Ukitaka mkamata Msabato we muulize kama anajua historia ya SDA...Maana haya mambo wanayoyafanya Wasabato yote yameasisiwa na waanzilishi wao....So ukitaka wakukimbie we watajie jina kama Wlliam Miller na tukio la mauaji mkubwa kule marekani ( Great Disappointment).....Hakika utaachiwa thread mwenyewe kama ulivyoona wameniacha mwenyewe...
 
Adui mkubwa namba moja wa wasabato ni Pope. Na ukiona mada kama hizi ujue wafuasi wa yule mama mhuni Hellen White.
 
Adui mkubwa namba moja wa wasabato ni Pope. Na ukiona mada kama hizi ujue wafuasi wa yule mama mhuni Hellen White.
Huyu Kibibi Hellen G White kwanza yupo Jehanam anateketea akilipia mauaji makubwa aliyosababisha mwaka 1844 (Great Disappointment)
 
Ukweli upi...?
Kwamba viongoz wakubwa wa dini nao ni ma agent wa shetani,,,,
Mbaya zaidi wana millions of followers ,,,,, shetani anauwezo mkubwa sanaaaa,,,, ukiwa na imani dhaifu utakuwa mfuasi wake tu,,,, kama aliweka ahadi kwa mungu lazima awapoteze wanadam wote wenye nyoyo dhaifu sio ajabu kazi zake ndo zishaanza HV,,
 
Hiyo ndo kweli...?

Halafu ni viongozi wapi hao wadini unawazungumzia...? Halafu dini zipo nyingi ujue... kuwa specific ili tunapoamua kuchambua kauli yako tujue tunaanzia wapi...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…