kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Utakuwa msabato mpuuzi nikusaidie tu orthodox na catholic wanatambuana vizuri tu acha chuki za kisabato hazitakusaidiaHuyu ndie papa wa warusi.........Muorthodox hatambui mamlaka yeyote ya papa wa kirumi...........Huyo papa wa roma kwa mrusi analiwa tu............Hilo ni kama dua la kuku tuView attachment 2149302View attachment 2149303View attachment 2149304
Hii mbuzi imeandika nini hapaJiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na warusi kumuweka meya mpya ni ,jiji lenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine
Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni Bikira Maria
Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima aseme kitu hawezi kaa kimya wakati jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani
Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku
Uzuri nimeshakua huko orthodox....kutambuana ni unafiki tu wa nje ila ndani wa orthodox wanawachukulia warumi kama ni waongo na matapeli tu..wanawaita "heretics"Utakuwa msabato mpuuzi nikusaidie tu orthodox na catholic wanatambuana vizuri tu acha chuki za kisabato hazitakusaidia
ngoja nikukumbusheSikumbuki alikemea lini US kuhusu Afghanistan, etc
sawa lete source ya masharikiSource bbc ya wa magharibi.....
sawa lete source ya mashariki
WameshakanushaChina help: Moscow has reportedly asked Beijing for both military supplies and economic assistance. A top US official has warned that China will face "severe consequences" if it helps Russia evade sanctions.
Kama ni KWELI russia kafikia kuomba misaada kwa china basis ana hali tete sana.
Wamekanusha huo uvumi
Wanaume hapana?Nawalilia wanawake na watoto wa Ukraine
Tuache ujuaji, hata huko Pope aliomba kuacha mapigano.Syria alienda kabisa kuhimiza amani, Libya ndio usiseme, mpaka aliomba mamlaka za Italia zisiwaziue wakimbizi wa Libya waliokuwa wanafika eneo la Lampedusa. Saa nyingine tutafute ukweli kwanza kabla ya kulaumu.Syria,Iraq,myammar walikuwa watu hawauliwi?Wazungu ni wabaguzi
Huu ni ujinga wa standard gauge, hii "Deify" imeiokota wapi?Amesolve ishu ya mapadri wake walawiti?
Vicarius Filii Deify=666
V=5
I=1
C=100
A=0(haipo kwenye kirumi)
I=1
U=V=5
S=0
F=0
I=1
L=50
I=1
I=1
D=500
I=1
E=F=Y=0
Jumla 666
Aache use....
Labda kule walikuwa wanageuza kuwa majumba ya kung'aa[emoji1787][emoji1787]. Wazungu ni wabaguzi haijalishi ni kiongozi wa dini au la.Syria,Iraq,myammar walikuwa watu hawauliwi?Wazungu ni wabaguzi
Papa kachagua upandeKatika waraka uliosomwa live na Pope Francis
Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine . Amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu.
Source: skynews ikimwonyesha Pope akisoma statement
Unafiki wa kanisa hewani.[emoji23][emoji23][emoji23]Syria,Iraq,myammar walikuwa watu hawauliwi?Wazungu ni wabaguzi
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji1787][emoji23]Jiji la bikira mariamJiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na warusi kumuweka meya mpya ni ,jiji lenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine
Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni Bikira Maria
Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima aseme kitu hawezi kaa kimya wakati jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani
Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku