Jiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na warusi kumuweka meya mpya ni ,jiji lenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine
Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni Bikira Maria
Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima aseme kitu hawezi kaa kimya wakati jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani
Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku