Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

Jiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na warusi kumuweka meya mpya ni ,jiji lenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine

Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni Bikira Maria

Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima aseme kitu hawezi kaa kimya wakati jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani

Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku
Hii mbuzi imeandika nini hapa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Utakuwa msabato mpuuzi nikusaidie tu orthodox na catholic wanatambuana vizuri tu acha chuki za kisabato hazitakusaidia
Uzuri nimeshakua huko orthodox....kutambuana ni unafiki tu wa nje ila ndani wa orthodox wanawachukulia warumi kama ni waongo na matapeli tu..wanawaita "heretics"
Screenshot_20220314-065738_Samsung Internet.jpg
 
Sikumbuki alikemea lini US kuhusu Afghanistan, etc
ngoja nikukumbushe

"'It is necessary to put an end to the irresponsible policy of intervening from outside and building democracy in other countries, ignoring the traditions of the peoples.' Concise and conclusive," the pontiff said, thinking he was quoting Merkel. "I think this says a lot; and everyone can interpret it as they wish. But there I felt a wisdom in hearing this woman say this."

Papa tunamuheshimu sana ila hili lakuhusu vita atuache kidogo,sisi pro-warusi tunajambo letu
 
Syria,Iraq,myammar walikuwa watu hawauliwi?Wazungu ni wabaguzi
Tuache ujuaji, hata huko Pope aliomba kuacha mapigano.Syria alienda kabisa kuhimiza amani, Libya ndio usiseme, mpaka aliomba mamlaka za Italia zisiwaziue wakimbizi wa Libya waliokuwa wanafika eneo la Lampedusa. Saa nyingine tutafute ukweli kwanza kabla ya kulaumu.
 
Amesolve ishu ya mapadri wake walawiti?

Vicarius Filii Deify=666
V=5
I=1
C=100
A=0(haipo kwenye kirumi)
I=1
U=V=5
S=0
F=0
I=1
L=50
I=1
I=1
D=500
I=1
E=F=Y=0

Jumla 666

Aache use....
Huu ni ujinga wa standard gauge, hii "Deify" imeiokota wapi?
 
Katika waraka uliosomwa live na Pope Francis

Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine . Amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu.

Source: skynews ikimwonyesha Pope akisoma statement
Papa kachagua upande
 
Jiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na warusi kumuweka meya mpya ni ,jiji lenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine

Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni Bikira Maria

Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima aseme kitu hawezi kaa kimya wakati jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani

Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji28][emoji1787][emoji23]Jiji la bikira mariam
 
Back
Top Bottom