STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
[emoji23] [emoji23]Kwa Urusi papa ni samaki analiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Kwa Urusi papa ni samaki analiwa.
Unataka kuwachokoza "Regional Commissioner " shauri yako.Amesolve ishu ya mapadri wake walawiti?
Vicarius Filii Deify=666
V=5
I=1
C=100
A=0(haipo kwenye kirumi)
I=1
U=V=5
S=0
F=0
I=1
L=50
I=1
I=1
D=500
I=1
E=F=Y=0
Jumla 666
Aache use....
Weusi lakini ni wadini yake.Msiwe mashabiki vipofu, wale weusi tii wa Sudan ya kusini si aliwaita na kuwapigia magoti kabisa na kuwashika vichwa vyao kuwa ugomvi wao usiwatese wananchi?
Kanunua smartphone[/QUOTkanunua smart phone hivi karibuni na 1 kwa 1 kaonesha rangi ya unafki wake kuwa duniani kuna Watu na Kenge.
Kenge - Palestine, Vietnam, Syria, Iraq, Yemen, Afghanistan, Libya na wafe tu hakuna namna.
Watu - Ukraine na hawapaswi kufa sababu wana hadhi ya juu sana hata kama ni wachokozi hawastahili kufa [emoji847][emoji23]
Aste aste sheikh.Bikira maria nae kawasusa, atasaidiaje watu wanaolawiti waumini wao tena watoto, abariki kanisa la magharibi lenye uswahiba na mashoga na lililotumika kukandamiza waafrika.........nyie labda muombeni amba ruti tu aje kuwasaidia
Hilo ndilo pumbavu no I, limebembelezwa weeee na Russia hata kabla ya kuvamiwa lakini lilishupaza shingo, sasa hivi limebaki kulalamikia USA na EU kuwa wamemsaliti[emoji34]Mimi ninamlaum raisi wa Ukraine kwa kutokuwa msikivu angeachia madalaka,na jeshi la Ukraine nawalaum kwa kutochukua madaraka ili vita iishe,wajipange upya,ona Sasa wanao pata shida ni raia wasio kuwa na hatia yoyote,Wana siasa nawachukia sana,raisi kajificha shimoni na raia wanakifa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Pope na vatcan Ni Matapeli tu , utapeli wao hauna nafasi ktk Karne hiii watu wengi tumeshtuka natunajua kuwa Ni weziPapa angetulia kabisa kushindwa kuonya mapadri wanao lawiti watoto wadogo na wanao mega wale za watu ,atuache na oparetion yetu who is papa by the way?
Huyo naye!!!Katika waraka uliosomwa live na Pope Francis
Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu
Source: skynews ikimwonyesha Pope akisoma statement
Sasa jiji la bikira Maria Lina shambuliwa na Mungu yupo kimya tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na warusi kumuweka meya mpya ni ,jiji lenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine
Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni Bikira Maria
Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima aseme kitu hawezi kaa kimya wakati jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani
Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku
Msanii huyo mpigaji tu asiku brainwasheHana ubaguzi, juzi tu alibusu miguu ya mahasimu wa Sudan Kusini kama ishara ya kuwasihi waache kupigana vita, hadi wenyewe wakapigwa butwaa. Kumbuka Sudan Kusini sio wazungu, ni weusi tii
View attachment 2149385
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Bikira maria nae kawasusa, atasaidiaje watu wanaolawiti waumini wao tena watoto, abariki kanisa la magharibi lenye uswahiba na mashoga na lililotumika kukandamiza waafrika.........nyie labda muombeni amba ruti tu aje kuwasaidia
Mwizi + tapeli + mpigajiMsanii tu huyo kwenye sanaa...............
Wezi [emoji16]Msipumbazwe na maigizo ya hao watu. Wamejaa Viini Macho na Unafiki.
Ww2 kanisa lilikua pamoja na fascist benito musolini na kilichotokea kinaelewekaKama kweli amesema hivyo, ni wazi kwamba Russia ina mitihani mzito, Since Hitler & gladio operations the papacy haijawahi kufail missions, hivyo Putin inabidi aongeze umakini sana.
Source bbc ya wa magharibi.....China help: Moscow has reportedly asked Beijing for both military supplies and economic assistance. A top US official has warned that China will face "severe consequences" if it helps Russia evade sanctions.
Kama ni KWELI russia kafikia kuomba misaada kwa china basis ana hali tete sana.
Hizi dini hizi ngoja tunyamazeMwenyewe kashalaaniwa halafu anamlaan mtu Kwan vita kaiona Ukraine tu huko Yemen haoni libya marekan ilivyomuua GADDAFI halikua haoni,mnafiki tu