Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

Amesolve ishu ya mapadri wake walawiti?

Vicarius Filii Deify=666
V=5
I=1
C=100
A=0(haipo kwenye kirumi)
I=1
U=V=5
S=0
F=0
I=1
L=50
I=1
I=1
D=500
I=1
E=F=Y=0

Jumla 666

Aache use....
Unataka kuwachokoza "Regional Commissioner " shauri yako.
 
Kwanza Urusi wana Papa wao so sidhani kama wanafata madhehebu yao

Papa wa Italy atulie kwanza apambane na kuwachukulia hatua wachungaji watovu wa nidhamu
 
Msiwe mashabiki vipofu, wale weusi tii wa Sudan ya kusini si aliwaita na kuwapigia magoti kabisa na kuwashika vichwa vyao kuwa ugomvi wao usiwatese wananchi?
Weusi lakini ni wadini yake.
Kule kusikokua kwake anaamua ku mute. Ni ishara ya kukubaliana na kinachoendelea au haungi mkono upande wowote.
 
Kanunua smartphone[/QUOTkanunua smart phone hivi karibuni na 1 kwa 1 kaonesha rangi ya unafki wake kuwa duniani kuna Watu na Kenge.

Kenge - Palestine, Vietnam, Syria, Iraq, Yemen, Afghanistan, Libya na wafe tu hakuna namna.

Watu - Ukraine na hawapaswi kufa sababu wana hadhi ya juu sana hata kama ni wachokozi hawastahili kufa [emoji847][emoji23]
 
Bikira maria nae kawasusa, atasaidiaje watu wanaolawiti waumini wao tena watoto, abariki kanisa la magharibi lenye uswahiba na mashoga na lililotumika kukandamiza waafrika.........nyie labda muombeni amba ruti tu aje kuwasaidia
Aste aste sheikh.
 
Mimi ninamlaum raisi wa Ukraine kwa kutokuwa msikivu angeachia madalaka,na jeshi la Ukraine nawalaum kwa kutochukua madaraka ili vita iishe,wajipange upya,ona Sasa wanao pata shida ni raia wasio kuwa na hatia yoyote,Wana siasa nawachukia sana,raisi kajificha shimoni na raia wanakifa
Hilo ndilo pumbavu no I, limebembelezwa weeee na Russia hata kabla ya kuvamiwa lakini lilishupaza shingo, sasa hivi limebaki kulalamikia USA na EU kuwa wamemsaliti[emoji34]
 
Papa Ni mwehu tu apaleke utapeli wao wa kidini na kiimani kwa wehu wenzake huko Hana jipya , [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Papa angetulia kabisa kushindwa kuonya mapadri wanao lawiti watoto wadogo na wanao mega wale za watu ,atuache na oparetion yetu who is papa by the way?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Pope na vatcan Ni Matapeli tu , utapeli wao hauna nafasi ktk Karne hiii watu wengi tumeshtuka natunajua kuwa Ni wezi
 
Jiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na warusi kumuweka meya mpya ni ,jiji lenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine

Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni Bikira Maria

Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima aseme kitu hawezi kaa kimya wakati jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani

Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku
Sasa jiji la bikira Maria Lina shambuliwa na Mungu yupo kimya tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe hauoni kuwa huo Ni usanii kwanini Kama kweli Hiyo Ni dini ya mungu ,mungu mwenyewe asiwazuie warusi kushambulia Hilo jiji na badala yake anatokea binaadamu tu Kama wewe ndiye anajifanya kukemea !?
 
Bikira maria nae kawasusa, atasaidiaje watu wanaolawiti waumini wao tena watoto, abariki kanisa la magharibi lenye uswahiba na mashoga na lililotumika kukandamiza waafrika.........nyie labda muombeni amba ruti tu aje kuwasaidia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
China help: Moscow has reportedly asked Beijing for both military supplies and economic assistance. A top US official has warned that China will face "severe consequences" if it helps Russia evade sanctions.


Kama ni KWELI russia kafikia kuomba misaada kwa china basis ana hali tete sana.
 
Aendelee tu kuiombea ukraine...
 
Back
Top Bottom