Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Papa anadai kuwa takwa la mapadri kutooa lilikuwa ni la muda tu(Takwa hilo lilianza karne ya 11). Anasema hakuna utata wowote iwapo watawa wataoa. Anadai mapadri wa kanisa la mashariki wanaoa na hakuna shida yoyote. Anafanya mpango kureview suala hilo.
Kwahiyo mapadre wanaoowa siyo mapadre?Useja = upadre
Hhhhhhhh dini ya mabadiliko hiiPapa anadai kuwa takwa la mapadri kutooa lilikuwa ni la muda tu(Takwa hilo lilianza karne ya 11). Anasema hakuna utata wowote iwapo watawa wataoa. Anadai mapadri wa kanisa la mashariki wanaoa na hakuna shida yoyote. Anafanya mpango kureview suala hilo.
Chanzo?Papa anadai kuwa takwa la mapadri kutooa lilikuwa ni la muda tu(Takwa hilo lilianza karne ya 11). Anasema hakuna utata wowote iwapo watawa wataoa. Anadai mapadri wa kanisa la mashariki wanaoa na hakuna shida yoyote. Anafanya mpango kureview suala
Papa FrancisChanzo?
Ukawahi MirembePapa Francis
Episode ya 120 hii nahisiHhhhhhhh dini ya mabadiliko hii
Agano jipya part ngapi hili ?
Siyo dini, ni kanisa.Hhhhhhhh dini ya mabadiliko hii
Agano jipya part ngapi hili ?
Katika hili, namuunga mkono. Na iwe ni sharti mojawapo la kupata upadri. Na Maaskofu nao waishi maisha ya kifamilia, ya mke na mume. Maisha ya useja yana majaribu mengi. Na bahati nzuri nimeishi seminarini kwa miaka 4! Hivyo ninaongea through experience.Papa anadai kuwa takwa la mapadri kutooa lilikuwa ni la muda tu(Takwa hilo lilianza karne ya 11). Anasema hakuna utata wowote iwapo watawa wataoa. Anadai mapadri wa kanisa la mashariki wanaoa na hakuna shida yoyote. Anafanya mpango kureview suala hilo.
HhhhhhhhhhhhhSiyo dini, ni kanisa.
Biblia haijakataza Watawa kuowa au kuolewa, hizo ni Roman Catholic administration tu, usichanganye mambo.
Ugumu uko wapiLabda baada ya miaka 50 ijayo lakini sio kwa sasa asilani!
Kesho kutwa tu hilo linafanyika. Maana miaka kumi iliyopita papa mwenyewe alisema maneno kama yako. Kwamba useja ni suala la lazima.Labda baada ya miaka 50 ijayo lakini sio kwa sasa asilani!