Ngoja wenyewe waje huku...Wanaukumbi.
NDANI TU: ๐ฎ๐ฑ ๐ต๐ธ Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."
"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda chooni. Ni ugaidi."
View: https://x.com/bricsinfo/status/1824470915104526615?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wanaukumbi.

Kwani shoga uwa anakatazwa kusema ukweli? ateendelea na ushoga wake kwa hiyo leo umemkana Papa kisa kasema ukweli dhidi ya Israel wanachofanya huko Gaza.Papa huyuhuyu shoga ama mwingine? Leo Kawa mtamu?
Papa huyuhuyu shoga ama mwingine? Leo Kawa mtamu?
Christians must pressure their governments not to support the genocide of the Zionist Jews. They must not be complicit in the crimes of this heretical people who have been their enemies for thousands of years, starting with Mary before Jesus was born. They must not prepare their own hell by believing the Zionist Jews' absurd manipulations of religion.Hiyo ni vita ya kisiasa na mipaka sio krusedi. Kwanini ukristo uingizwe kwenye mzozo usio husiana na imani. Hakuna namna ukristo utaingia mkenge huo
Lini kawa shoga?Papa huyuhuyu shoga ama mwingine? Leo Kawa mtamu?
Fortunately some of us tend to look at this conflict through geopolitical lenses, although i understand some prefer the religious ones. Matter of fact most of very brutal conflicts in history have been fought between states or nations of the same faith e.g The Eritrea vs Ethiopia, somalia conflict, iraq vs Iran, Russia vs Ukraine, and northern Ireland conflict just to name a few. So bringing religious faith to explain, support or mediate these conflicts is just insanity.Christians must pressure their governments not to support the genocide of the Zionist Jews. They must not be complicit in the crimes of this heretical people who have been their enemies for thousands of years, starting with Mary before Jesus was born. They must not prepare their own hell by believing the Zionist Jews' absurd manipulations of religion.
Can you believe this is happening in the 21st century? Just think about the countless kids enduring torture and displacement every day.Fortunately some of us tend to look at this conflict through geopolitical lenses, although i understand some prefer the religious ones. Matter of fact most of very brutal conflicts in history have been fought between states or nations of the same faith e.g The Eritrea vs Ethiopia, somalia conflict, iraq vs Iran, Russia vs Ukraine, and northern Ireland conflict just to name a few. So bringing religious faith to explain, support or mediate these conflicts is just insanity.
Hahahaha nimecheka hii post ya kinafiki wagalatia wengi wanajiona ni sehemu ya Israel hata kama wanatemewa mate.Hakuna mkristo anapenda Israel anachofanya. Labda waprotestanti ambao kimsingi kule mashariki ya kati hakuna anaona kama ata ni wakristo by the way.
Ila hamasi ile kuvamia Israel na kuua Mayahudi.1200 sio ugaidi??Wanaukumbi.
NDANI TU: ๐ฎ๐ฑ ๐ต๐ธ Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."
"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda chooni. Ni ugaidi."
View: https://x.com/bricsinfo/status/1824470915104526615?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Huyu huyu mlisema karuhusu ushoga ndio mnampongezaWanaukumbi.
NDANI TU: ๐ฎ๐ฑ ๐ต๐ธ Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."
"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda chooni. Ni ugaidi."
View: https://x.com/bricsinfo/status/1824470915104526615?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hayo maneno kamwambie Papa.Ila hamasi ile kuvamia Israel na kuua Mayahudi.1200 sio ugaidi??
Sisi watz tunajua uchungu na athari ya kuvamiwa.
Hata idi Amini alipo tuvami Kwa akili Zako tungekaa kimya tu bila kiivamia Uganda.....