Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."

Nani kampongeza? Tumesema Papa kasema Israel ni magaidi huo ushoga mtabakia nao wenyewe.
Ushoga upo Zanzibar nenda kwenye data uchunguz wa kitaifa mwaka huu
 
Fungua uzi wa ushoga tutakuja kujadili hoja. hapa Papa anasema Israel ni magaidi wanauwa watoto Gaza. Soma na hii

Israeli inaangamiza mojawapo ya vijiji vya mwisho vya Kikristo huko Palestina, ili walowezi wa Israeli waweze kujenga makazi juu ya magofu yake.

Ni lini Wakristo kote ulimwenguni watasimama kupinga mauaji haya ya Kimbari?

View: https://x.com/kahlissee/status/1824513636557263149?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanaukumbi.

NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."

"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda chooni. Ni ugaidi."

View: https://x.com/bricsinfo/status/1824470915104526615?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Unatapa tapa sana shekhe, kweli kifo Cha nyani atadandia Kila mti. Sasa papa si kafiri huyo?? Unamsikilizaje kafiri kwa mfano🤔
 
Watakuja wayahudi toka Kabuku kukanusha wakati Israel anaendelea kubomoa Makanisa na kujenga makazi ya walowezi
 
Attachments

  • IMG_20240817_031247.jpg
    IMG_20240817_031247.jpg
    177.2 KB · Views: 1
Wanaukumbi.

NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."

"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda chooni. Ni ugaidi."

View: https://x.com/bricsinfo/status/1824470915104526615?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

I continue to receive!!!! what does he think he is?? He think he is the head of the world? he speaks like he in charge of everything🤔 He must speak anyway, his office is few steps away from becoming in charge of everything.
 
Hayo maneno kamwambie Papa.

Angalia ulivyokuwa mjinga kati ya Israel na Palestina nani kamvamia mwenzake.
Hamas amemvamia Yahudi na kuwauwa Mayahudi na kuwateka wengine! HUYAJUI HAYO?
 
Wanaukumbi.

NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."

"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda chooni. Ni ugaidi."

View: https://x.com/bricsinfo/status/1824470915104526615?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ugaidi au waliolianzisha wameshindwa kulimaliza (Hamas wajinga kama nini)
 
Wanaukumbi.

NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."

"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda chooni. Ni ugaidi."

View: https://x.com/bricsinfo/status/1824470915104526615?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Unamuongelea yule Papa anayehubiria ushoga?Nadhani atakuwa anatetea mashoga menzie Israel
 
Ufike mahali ukubali

Israel ni taifa teule la Bwana. Ndio uteule wao wa kumsulubu Yesu,na kumvalisha nepi,na kumuua, na kumuita mpaka leo mtoto wa nje ya ndoa,hawa hawatauona ufalme wa mbinguni.Ni magaidi,watakwenda kuzimu.
 
Unatapa tapa sana shekhe, kweli kifo Cha nyani atadandia Kila mti. Sasa papa si kafiri huyo?? Unamsikilizaje kafiri kwa mfano🤔
Hawa magaidi wa Israel,walimsulubu Yesu,wakamvalisha nepi,wakamuua,mpaka leo wanamuita Yesu,mtoto wa nje ya ndoa Hawa hawatauona ufalme wa mbinguni,watakwenda kuzimu
 
Ukweli usemwe hata kama unahusiana nawe, wahanga wa hii vita ni wasio na hatia kabisa lakini kwa sababu ya pande za kidini tunashabikia. Hii sio sawa kabisa kushangilia damu za binadamu wenzetu kumwagika bila hatia.
Lakini kuna damu za wanadamu wenzetu zinamwagwa kule Bangladeshi na wewe uko kimya!
Tarehe 07 Oktoba hukusema kitu wakati mayahudi wanauwawa.
Au wenye haki ya kumwaga damu bila kuhojiwa ni Waislamu tuu?
 
Back
Top Bottom