Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."

Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."

Mtukane Papa maana wagalatia uwa wapo radhi kuachana na Ukisrto wao wakiguswa ukitaja Ugaidi wa Israel.

Wewe kichwa chako kazi yake kufugia nywele tu, tatizo unashindwa kutofautisha kati ya Hamas na wapalestina, Israel haijaenda Gaza kuua wapalestina au raia, Israel imeenda Gaza kuwamaliza magaidi wa Hamas, hilo utofautishe vema, maana una kichwa kikubwa ila kazi kufugia nywele na ndevu ndefu chafu kama za beberu.

Kama Israel kwa bahati mbaya wameua raia wa kipalestina hilo ni kosa kubwa, kuu raia katika vita yoyote ile duniani ni kosa..!! Na usijifanye kusahau chanzo cha vita hivi ni Magaidi Hamas walivamia na kuua raia wengi wa Israel na mataifa mengine Oct 7, 2023 wakiwa katika sherehe, na ndio Israel ikaenda kuwafuata hao Hamas huko Gaza ambao wanajificha katikati ya raia wa kipalestina, yaani Hamas wanatumia raia wa kipalestina kama shield yao kujificha, hivyo Israel ikaamua kuwafuta huko Gaza na kuanza kuwateketeza, usijifanye hujui au kusahau, nyoko wewe..!!
 
Iran anajibu lini mapigo?
Can you believe this is happening in the 21st century? Just think about the countless kids enduring torture and displacement every day.

The biggest advocates for human rights are the ones sponsoring and supporting i
 
Hahahaha nimecheka hii post ya kinafiki wagalatia wengi wanajiona ni sehemu ya Israel hata kama wanatemewa mate.
Sio sisi wakatoliki. Sisi tunaamini wabatizwa wote katika kanisa ndio taifa teule la Mungu. Hao wengine baada ya kuukataa ufalme wa Yesu walitupwa kule. Takataka. Ukiona mkristo hajui hilo ujue ni maamuma tu wankiprotestanti.
 
Christian wenyewe wanajua position ya JEWS...njoo sasa kwa Christian wa bongoland itafikia ni taifa la Mungu na vibendera vyao...hawajui kubwa leo US anachotaka ku - achieve..
 
Israel inatakiwa kuongeza uzito wa kichapo, hapo bado wamewapapasa tu.
 
Kama Leo huko bbc nimeona wanasema Israel wanevunja sehemu kanisa ili watanue makazi yao katika eneo la palestina dunia kama hatuoni akijitetea Kwa kurusha hata jiwe anaitwa gaidi na majina mengine ya hovyo ili kuhalalisha kuuliwa kwao juu ya ardhi yao.
 
Watakuja wayahudi toka Kabuku kukanusha wakati Israel anaendelea kubomoa Makanisa na kujenga makazi ya walowezi
Si mlishaleta picha na video humu mmenunua makanisa UK NA usa?

In his speech at the University of Regensburg on Tuesday, Benedict quoted criticism of Islam and the Prophet Mohammad by 14th century Byzantine Emperor Manuel II Palaeologus, who allegedly said: "'Show me just what Mohammed brought that was new and there you will find things only evil and inhuman, such as his command to spread by the sword the faith he preached."
 
Wanaukumbi.

NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."

"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda chooni. Ni ugaidi."

View: https://x.com/bricsinfo/status/1824470915104526615?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

UMEUKIMBIA ULE UZI WAKO. BADO UNA MHAHO. LEO HADI PAPA ANAANDIKWA KWA WEMA..... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Fungua uzi wa ushoga tutakuja kujadili hoja. hapa Papa anasema Israel ni magaidi wanauwa watoto Gaza. Soma na hii

Israeli inaangamiza mojawapo ya vijiji vya mwisho vya Kikristo huko Palestina, ili walowezi wa Israeli waweze kujenga makazi juu ya magofu yake.

Ni lini Wakristo kote ulimwenguni watasimama kupinga mauaji haya ya Kimbari?

View: https://x.com/kahlissee/status/1824513636557263149?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

MOTO UNATEMBEZWA KINYAMA.....MPAKA PAPA LEO ANAKUWA MWEMA KWENU... WABOMOE HATA MAKANISA KAMA YANAFICHA MAGAIDI.
 
Unarudia rudia hizi picha mbona na ulishazileta humu miezi kadhaa iliyopita?.. akili za kudanganya zimeisha?
Anahainga.kuna uzi kaukimbia alisema waarabu wamewakamata Mossad kumbe hakuelewa ni Israel wamewakamata waarabu..kaukimbia. huwa haya anaambiwa na Sheikh Kitinku na Kundecha ndo wanamlisha ujinga
 
Tutugemee siku zajazo Gaza kuwa mojawapo ya vyanzo vikubwa vya mapato ya mafuta ya wanaojiita wakubwa wa Dunia.
 
Lakini kuna damu za wanadamu wenzetu zinamwagwa kule Bangladeshi na wewe uko kimya!
Tarehe 07 Oktoba hukusema kitu wakati mayahudi wanauwawa.
Au wenye haki ya kumwaga damu bila kuhojiwa ni Waislamu tuu?
Sishabikii vita ya aina yeyote ile kwa sababu wanaoumia ni wasio na hatia. Hizi vita zinanisikitisha sana ni vile uwezo wa kuzimaliza sina.
 
Fungua uzi wa ushoga tutakuja kujadili hoja. hapa Papa anasema Israel ni magaidi wanauwa watoto Gaza. Soma na hii

Israeli inaangamiza mojawapo ya vijiji vya mwisho vya Kikristo huko Palestina, ili walowezi wa Israeli waweze kujenga makazi juu ya magofu yake.

Ni lini Wakristo kote ulimwenguni watasimama kupinga mauaji haya ya Kimbari?

View: https://x.com/kahlissee/status/1824513636557263149?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Tunawaunga mkono wayahud kurud kwenye nchi yao ya asili waliyonyang'anywa n waarabu
 
Wanaukumbi.

NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."

"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda chooni. Ni ugaidi."

View: https://x.com/bricsinfo/status/1824470915104526615?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wenye akili mmeona maana ya ugaidi
Na kma mlijua wakristo wenzenu wanafuraia huu ujinga wa Israel bhc mtaendelea kua mazezeta ivo ivo
Maana mna chuki mpk ukweli hamuutaki
 
Back
Top Bottom