Me pia nawashangaa xnaa hawa jamaa cjui akili zao zikoje ?Hahahaha nimecheka hii post ya kinafiki wagalatia wengi wanajiona ni sehemu ya Israel hata kama wanatemewa mate.
Mambo ayajaanza tarehe 7 mkuu mbona una kichwa panziLakini kuna damu za wanadamu wenzetu zinamwagwa kule Bangladeshi na wewe uko kimya!
Tarehe 07 Oktoba hukusema kitu wakati mayahudi wanauwawa.
Au wenye haki ya kumwaga damu bila kuhojiwa ni Waislamu tuu?
Imeandikwa amebarikiwa aibarikiaye ISRAEL na amelaaniwa ailainiaye ISRAEL papa ni mdogo tu lakini ISRAEL ndio YEHOVA aliposhukia na kuungana na wake na kujidhihirisha nguvu zake kwao KWA KUWAFUFUA WAFU WALIOKUFA kubariki mikate na kuwa mingi mingi watu kula mpaka kusaza SIFA KWAKO YEHOVA SIFA KWAKO TAIFA LA ISRAELWanaukumbi.
NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."
"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na milipuko ya mabomu na risasi. Mama na binti yake waliuawa na wavamizi wa Israel walipokuwa wakienda chooni. Ni ugaidi."
View: https://x.com/bricsinfo/status/1824470915104526615?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Imeandikwa wapi?Imeandikwa amebarikiwa aibarikiaye ISRAEL na amelaaniwa ailainiaye ISRAEL papa ni mdogo tu lakini ISRAEL ndio YEHOVA aliposhukia na kuungana na wake na kujidhihirisha nguvu zake kwao KWA KUWAFUFUA WAFU WALIOKUFA kubariki mikate na kuwa mingi mingi watu kula mpaka kusaza SIFA KWAKO YEHOVA SIFA KWAKO TAIFA LA ISRAEL