Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Unanisemea mimi mkatoliki?Huyu papa wa sasa wakatoliki hawana hamu kwa vituko vyakeππππππππ
Nakazia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dini ni ulaibu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ofcourse,huyo mwanamitindo yuko bomba!!Papa ame like papa nyenzieπππ
Wewe unaongoza akaunti ya papa kiongozi mkubwa duniani halafu una like picha za uchi za wanamitindo, unadhani unajiwakilisha wewe au uko badala ya papa.Hiyo account una uhakika papa mwenyewe ndio anaisimamia ama kuitumia ? Kuna watu wa media wa ofc ya papa ndio wanahusika na vitu hivyo !
Viongozi wengi wa kisiasa , wasanii wakubwa kuna watu behind wanamiliki/wanaziongoza account zao za mitandao !!!
Wanawake ni viumbe vilivyoumbwa Mungu,sasa kupenda kitu kizuri alichoumba Mungu kuna ubaya ganiKimsingi chunga sana imani yako kwa Mungu wako..Mana dini nyingi kwa sasa zimebaki majina tu..ila ndani ni uozo.
Zaidi tusihukumu ili tusije nadi kuhukumiwa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hana tafauti na GwajimaHuyu papa wa sasa wakatoliki hawana hamu kwa vituko vyakeππππππππ
Papa anatakiwa awe mfano kwa jamii na wanachama wakeUsikimbilie kuhukumu alichofanya. Papa ana vyeo nane na kila kimoja kina nafasi yake... Inatakiwa ujiulize hiyo like kaitoa kama Jorge Mario Bergoglio au kama papa Fransis.
Akiwa chumbani kwake au mambo yake ya faragha hayahusiani na upapa wake. Kutumia mitandao obvious anatumia muda wake wa mapumziko so anafanya vitu vyake binafsi
Akiwa chumbani vyeo anakua Jorge Mario Bergoglio so angalia una MuAccuss nani
Wacha mathenge ushahidi uko wp!!?Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto kutoka Marekani.
Katika hatua ya kushtua wadau walianza kumuandama #PapaFrancis mitandaoni, Jambo lililopelekea Kanisa Katoliki ku-Unlike picha hiyo iliyopostiwa na Mwanamitindo huyo.
Mrembo huyo anayetumia jina la @nataagataa amekuwa akiposti picha za nusu uchi jambo ambalo limeleta tafsiri tofauti tofauti kwa kiongozi huyo mkubwa duniani.
Watu wa kwanza kuona 'LIKE' hiyo ni @barstoolsports na baada ya kuona 'Like' hiyo walimtafuta Natalia kwa njia ya #twitter na kumuuliza anajisikiaje?
Natalia akajibu, "Najiona nimefika Peponi".
Sometimes mistake huwa zinatokea mkuuWewe unaongoza akaunti ya papa kiongozi mkubwa duniani halafu una like picha za uchi za wanamitindo, unadhani unajiwakilisha wewe au uko badala ya papa.
Walio "unlike" ndiyo hao hao walio "like" in the first place. Logical.Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto kutoka Marekani.
Katika hatua ya kushtua wadau walianza kumuandama #PapaFrancis mitandaoni, Jambo lililopelekea Kanisa Katoliki ku-Unlike picha hiyo iliyopostiwa na Mwanamitindo huyo.
Mrembo huyo anayetumia jina la @nataagataa amekuwa akiposti picha za nusu uchi jambo ambalo limeleta tafsiri tofauti tofauti kwa kiongozi huyo mkubwa duniani.
Watu wa kwanza kuona 'LIKE' hiyo ni @barstoolsports na baada ya kuona 'Like' hiyo walimtafuta Natalia kwa njia ya #twitter na kumuuliza anajisikiaje?
Natalia akajibu, "Najiona nimefika Peponi".
Safi sana Papa
Ulitaka awe anapiga picha na Malaika tu basi?Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto kutoka Marekani.
Katika hatua ya kushtua wadau walianza kumuandama #PapaFrancis mitandaoni, Jambo lililopelekea Kanisa Katoliki ku-Unlike picha hiyo iliyopostiwa na Mwanamitindo huyo.
Mrembo huyo anayetumia jina la @nataagataa amekuwa akiposti picha za nusu uchi jambo ambalo limeleta tafsiri tofauti tofauti kwa kiongozi huyo mkubwa duniani.
Watu wa kwanza kuona 'LIKE' hiyo ni @barstoolsports na baada ya kuona 'Like' hiyo walimtafuta Natalia kwa njia ya #twitter na kumuuliza anajisikiaje?
Natalia akajibu, "Najiona nimefika Peponi".
Ni Trump wa WakatolikiHuyu papa wa sasa wakatoliki hawana hamu kwa vituko vyake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]