Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki
Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa.
Kiongozi huyo akaendelea kusema kuwa kila siku anapata habari za kuumiza juu ya vifo vya watu wa Gaza mpaka wanaokuwa kwenye maeneo ya ibada.