Papa Francis asema Israel ni magaidi walioua wafuasi wake ndani ya kanisa Gaza

Papa Francis asema Israel ni magaidi walioua wafuasi wake ndani ya kanisa Gaza

Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki
Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa.
Kiongozi huyo akaendelea kusema kuwa kila siku anapata habari za kuumiza juu ya vifo vya watu wa Gaza mpaka wanaokuwa kwenye maeneo ya ibada.

Pope Francis deplores Israeli killings of civilians at Gaza church

View attachment 2845351
wakristo wa bongo watakuambia taifa teule
 
Tuanze na masuala simple tu. Wayahudi waliokuwa maeneo mbali mbali ya dunia ikiwa na nchi za Kiarabu. Leo hii Kuna wayahudi wangapi Bethlehem, Saudia, Egypt, Iran, Morocco, Yemen na Algeria? Vipi wakiristo hata wale walioenda kama expatriates wanaruhusiwa kuabudu KWA UHURU huko Saudia, Iran, Yemeni na Iraq?
Vipi uhuru wa kuabudu wa Coptic Christians huko Egypt? Vipi Sharia za Kiislam za Kishetani zinatoa uhuru sawa sawa wa kuchagua Imani ya dini kwa raia wakiamua katika nchi za kiislam?
Acha ushabiki wa Kishetani mliodanganywa na yule SHETANI MWENYEWE-ALLAH.
HUYU ALLAH ktk Sahih Al-Bukhari 4950 anatambulishwa moja kwa moja kuwa ni SHETANI
Aidha, majina 5 kati ya majina 99 ya Allah yanaonyesha yeye ndiye yule SHETANI MKUBWA kabisa
View attachment 2845910
bila shaka uko katika ndoa ya jinsia mona umeolewa
 
bila shaka uko katika ndoa ya jinsia mona umeolewa
Screenshot_20240806-110104_Chrome.jpg
Screenshot_20240701-192505_Chrome.jpg
Screenshot_20240624-150440_Chrome.jpg
 
Unajuwa sisi wengi tunaendeshwa kwa chuki hatuchambui mambo wenyewe. Huwa hatujiulizi kwanini wanagombana kila siku, je wanagombania dini zao au wanagombania ardhi? Kuna kitu ukiwasikiliza wayahudi na nawakubali kuwa wa kweli, huwa wanasema wazi kabisa hata ukienda Youtube utawakuta. wao hawamuamini yoyote sio Yesu wa Mohamed wao ni Musa basi na kabla ya Musa. Wanasema tutayavunja wanaoabudu masanamu hapo wakimaanisha RC na zile sanamu za makanisani wanaita masanamu tu. Wanasema yesu alikuwa muhibiri mzuri tu lakini sio Messiah, kwani Messiah bado hajaja. Islam wanasema dini fake, kikubwa wao wanaamini agano la kale basi. Sasa agano la kale na quraan kuna mambo mengi yanafanana ndio maana utakuta vitu kama nguruwe, kutahiriwa mpaka wanavyozika kuna kufanana na waislamu ila wako mbali sana na RC. Wale jamaa wanadharau sana wakristo. Hivi leo itokee RC dunia nzima waseme sisi Yesu kazaliwa Bethlehem sijui huyu ni mwokozi wetu tunaitaka hii sehemu maana ni yetu iwe makao makuu ya RC sio Vatican unadhani itatokea nini?
Upo sahihi, nilisoma mahali inasema waisrael hawakubali chochote katika agano jipya.
 
YOU KNOW NOTHING OF ALLAH, AND YOU KNOW NOTHING ABOUT ISLAM. UJINGA WAKO WA KUTAFSIRI SISISI KWA KUTUMIA GOOGLE HAUWEZI KUKUSAIDIA CHOCHOTE
Kwani uislam ni Siri tena sikuhizi? siku hizi uislam upo uchi wa mnyama.. full iblisi quran is a stupid book katika kusoma vitabu nilivyokutana navyo...

Wewe ndio utakuwa huujui Uislam.. hebu tuambie kuna chochote kizuri katika uislam au kuna Aya ya Quran isiyo ya kipuuzi?
 
Hata nikikuambia hautanisadiki, na nikikuuliza suala haitanijibu
 
Kwani uislam ni Siri tena sikuhizi? siku hizi uislam upo uchi wa mnyama.. full iblisi quran is a stupid book katika kusoma vitabu nilivyokutana navyo...

Wewe ndio utakuwa huujui Uislam.. hebu tuambie kuna chochote kizuri katika uislam au kuna Aya ya Quran isiyo ya kipuuzi?
Hizi hapa nyingine za kishenzi kabisa. Hapo ALLAH (SHETANI) anatambulishwa kwa pronoun WE na ktk Ayat inayofuata anajitambulisha na I, akisema I swear to the Lord, hii inamaana Shetani wao waislamu yuko na Lord ambaye ni mkubwa kuliko yeye
Screenshot_20240801-204016_Chrome.jpg

u r nothing but imbecile. u wouldn't know anything about Quran
 
Hizi hapa nyingine za kishenzi kabisa. Hapo ALLAH (SHETANI) anatambulishwa kwa pronoun WE na ktk Ayat inayofuata anajitambulisha na I, akisema I swear to the Lord, hii inamaana Shetani wao waislamu yuko na Lord ambaye ni mkubwa kuliko yeye
View attachment 3075218View attachment 3075218
Nyie Makafiri mtapata tabu sana , mnatafsiri quran kwa Google kama vile kitabu cha Shigongo
 
Pope hajitambui. Anafikiri hao Waislam anaowatetea wana urafiki na Wakiristo wake?
Wewe ngoja his days are numbered
Israel hawahusiani na wakristo msihupaze shingo
 
Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki
Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa.
Kiongozi huyo akaendelea kusema kuwa kila siku anapata habari za kuumiza juu ya vifo vya watu wa Gaza mpaka wanaokuwa kwenye maeneo ya ibada.

Pope Francis deplores Israeli killings of civilians at Gaza church

View attachment 2845351
Tunashangaa nini wakati Wayahudi WALIMUUA YESU KRISTO?!
 
Back
Top Bottom