Israel sio WakristoPapa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki
Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa.
Kiongozi huyo akaendelea kusema kuwa kila siku anapata habari za kuumiza juu ya vifo vya watu wa Gaza mpaka wanaokuwa kwenye maeneo ya ibada.
Pope Francis deplores Israeli killings of civilians at Gaza church
View attachment 2845351
Sasa kwanini wakiristo wa jf wanawashabikia Isreal?Israel sio Wakristo
Pope hajitambui. Anafikiri hao Waislam anaowatetea wana urafiki na Wakiristo wake?Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki
Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa.
Kiongozi huyo akaendelea kusema kuwa kila siku anapata habari za kuumiza juu ya vifo vya watu wa Gaza mpaka wanaokuwa kwenye maeneo ya ibada.
Pope Francis deplores Israeli killings of civilians at Gaza church
View attachment 2845351
Kumbe vita vya kidini?Pope hajitambui. Anafikiri hao Waislam anaowatetea wana urafiki na Wakiristo wake?
Wewe ngoja his days are numbered
Umesoma Hamas Charter of 1988Kumbe vita vya kidini?
Kumbe vita vya kidini hivi?Umesoma Hamas Charter of 1988
1. Introduction
2. Article 7
3. Articles 11 na 13
Vita haichagui dini ukabila wa itikadi za siasa.Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki
Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa.
Kiongozi huyo akaendelea kusema kuwa kila siku anapata habari za kuumiza juu ya vifo vya watu wa Gaza mpaka wanaokuwa kwenye maeneo ya ibada.
Pope Francis deplores Israeli killings of civilians at Gaza church
View attachment 2845351
Na Bado mtasemaaaPapa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki
Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa.
Kiongozi huyo akaendelea kusema kuwa kila siku anapata habari za kuumiza juu ya vifo vya watu wa Gaza mpaka wanaokuwa kwenye maeneo ya ibada.
Pope Francis deplores Israeli killings of civilians at Gaza church
View attachment 2845351
Yaani wewe kwahilo unaona unajitambua [emoji3]Pope hajitambui. Anafikiri hao Waislam anaowatetea wana urafiki na Wakiristo wake?
Wewe ngoja his days are numbered
Huyo hapo mtakatifu wenu amesema ,sasa ww ni nani mpaka upinge maneno ya kiongozi yenu?Nyinyi watu musiwe wajinga (kwa maana ya kukosa elimu sahih) kiasi hicho. Ingia tu mtandaoni ujionee mwenyewe Waislam wa Palestine walivyowakandamiza wakiristo na hivyo kufanya namba ya wakiristo kupungua kila mwaka. Kule Gaza nafikiri wamebaki tune ya 1000 tu.
Wakati Israel Kuna uhuru wa kuabudu kuanzia wakiristo, Druze, Waislam na bahai
Kwasababu nyie Waislam mnashabikia magaidi wa HamasSasa kwanini wakiristo wa jf wanawashabikia Isreal?
Chanzo chako cha habari kinakudanganya. Hakuna sehemu ngumu ya kuabudu waislam na wakristo kama israeli. Wayahudi fake waliopo israeli wanawapiga na kuwasema maneneo hovyo sana watu wa dini tofauti tena afadhali waislam kidogo wakristo ndio kabisa wanawatemea mpaka mate wakiwaona wanapita ingawa wapo wachache.Nyinyi watu musiwe wajinga (kwa maana ya kukosa elimu sahih) kiasi hicho. Ingia tu mtandaoni ujionee mwenyewe Waislam wa Palestine walivyowakandamiza wakiristo na hivyo kufanya namba ya wakiristo kupungua kila mwaka. Kule Gaza nafikiri wamebaki tune ya 1000 tu.
Wakati Israel Kuna uhuru wa kuabudu kuanzia wakiristo, Druze, Waislam na bahai
Unajuwa sisi wengi tunaendeshwa kwa chuki hatuchambui mambo wenyewe. Huwa hatujiulizi kwanini wanagombana kila siku, je wanagombania dini zao au wanagombania ardhi? Kuna kitu ukiwasikiliza wayahudi na nawakubali kuwa wa kweli, huwa wanasema wazi kabisa hata ukienda Youtube utawakuta. wao hawamuamini yoyote sio Yesu wa Mohamed wao ni Musa basi na kabla ya Musa. Wanasema tutayavunja wanaoabudu masanamu hapo wakimaanisha RC na zile sanamu za makanisani wanaita masanamu tu. Wanasema yesu alikuwa muhibiri mzuri tu lakini sio Messiah, kwani Messiah bado hajaja. Islam wanasema dini fake, kikubwa wao wanaamini agano la kale basi. Sasa agano la kale na quraan kuna mambo mengi yanafanana ndio maana utakuta vitu kama nguruwe, kutahiriwa mpaka wanavyozika kuna kufanana na waislamu ila wako mbali sana na RC. Wale jamaa wanadharau sana wakristo. Hivi leo itokee RC dunia nzima waseme sisi Yesu kazaliwa Bethlehem sijui huyu ni mwokozi wetu tunaitaka hii sehemu maana ni yetu iwe makao makuu ya RC sio Vatican unadhani itatokea nini?Sasa kwanini wakiristo wa jf wanawashabikia Isreal?
Tuanze na masuala simple tu. Wayahudi waliokuwa maeneo mbali mbali ya dunia ikiwa na nchi za Kiarabu. Leo hii Kuna wayahudi wangapi Bethlehem, Saudia, Egypt, Iran, Morocco, Yemen na Algeria? Vipi wakiristo hata wale walioenda kama expatriates wanaruhusiwa kuabudu KWA UHURU huko Saudia, Iran, Yemeni na Iraq?Chanzo chako cha habari kinakudanganya. Hakuna sehemu ngumu ya kuabudu waislam na wakristo kama israeli. Wayahudi fake waliopo israeli wanawapiga na kuwasema maneneo hovyo sana watu wa dini tofauti tena afadhali waislam kidogo wakristo ndio kabisa wanawatemea mpaka mate wakiwaona wanapita ingawa wapo wachache.
Sent using Jamii Forums mobile app