Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kwani wale sodoma na gomora walisulubiwa na nani?.
hivi ushoga nao unataka mpaka mungu akupe adhabu ndo ujue KUWA ushoga ni mbaya?
Unajua kusoma kwa usahihi?Wapi nimesema kuwa mashoga wapewe Mungu ili ijulikane kuwa ushoga ni dhambi?Ulielewa point yangu?Point yangu ni kwamba kama ushoga ni dhambi mbaya sana kwa nini unakuwa na presha na kisukari kupanda wakati Mungu aliewaumba binadamu yupo hai?Mungu anaweza kumuumba binadamu halafu ashindwe kuwacontrol pale wanapokengeuka?Hii inathibitisha kuwa Mungu mnaemuhubiri hamna imani nae.Hamna imani nae kwa sababu hayupo na ndiyo maana mnataka kuingilia majukumu yake.
Ushoga ni KOSA hata ukitumia akili ya KAWAIDA tu.
Sio mpaka usubiri MUNGU atoe adhabu ndo ujue ushoga ni KOSA.
Kwanini ukubali mwanaume mwenzio akuingize uume wake?
Aisee tukisema nyinyi hamna akili hatuwadhumumu. Mwalimu wako anapo kupa mtihani ni kwamba hakupendi au anataka ajue ya kuwa umeelewa au vipi ?Hakuna mtihani ambao Allah anampa mja wake ambao mja huyo hawezi kufaulu:Inawezekana vipi Mungu mwenye upendo mkubwa kuliko bahari awape watu mitihani?
Hakushindwa ndiyo maana akatupa uhuru, maana ungeumbwa ufanye mema tu, ungelaumu na kusema hauko huru.Nilipoumbwa sikuachwa hivi hivi,bali nlipewa akili ya utambuzi,akili ya kujua jema na baya na nkapewa uwezo wa kuacha baya na kufanya mema:Huyo Allah mwenye kuweza yote na mwenye upendo sana alishindwaje kunipa akili ya kutenda mema peke yake?
Hakushindwa.Ninapofanya madhambi huwa nalazimishwa au nafanya kwa hiari yangu:Kwani huyo Allah tunaehubiriwa kuwa hashindwi kufanya chochote kile na ana upendo usiyo na kifani ameshindwa vipi kuniondolea hiyo hiari ya kufanya maovu?Yaani anifanye niwe mtenda mema tu?Alishindwa vipi wakati ana uwezo wa kufanya hivyo?
Mungu mwenye upendo mkubwa kuliko bahari pamoja na uwezo wa kufanya chochote kile na asieshindwa kitu ana haja gani ya kupima uelewa wangu badala ya kunifanya nielewe mara moja tena kwa asilimia mia moja?Mungu asieshindwa kitu anashindwaje kunijaza uelewa mpaka aje kunipa mtihani kunitest eti kama nimeelewa?(Mwisho wa siku utagundua wewe ndiye huna akili)Aisee tukisema nyinyi hamna akili hatuwadhumumu. Mwalimu wako anapo kupa mtihani ni kwamba hakupendi au anataka ajue ya kuwa umeelewa au vipi ?
Hakushindwa ndiyo maana akatupa uhuru, maana ungeumbwa ufanye mema tu, ungelaumu na kusema hauko huru.
Hakushindwa.
Sasa sijuwi ni kashinikizwa au laa mana jana kutwa nilitafakari sana juu ya hili. Wakatoliki wako wengi sana duniani na hii haita leta mpasuko huku Africa?Papa hapitii maandiko au? Hii statement yake kaitoa based on what? Hi I Papa hakumbuki enzi za Lut?? Daah hawa viongozi wanachanganya sana
"Excellence is never an accident. It is always the result of high intention, sincere effort, and intelligent execution; it represents the wise choice of many alternatives – choice, not chance, determines your destiny"
Aisee tukisema nyinyi hamna akili hatuwadhumumu. Mwalimu wako anapo kupa mtihani ni kwamba hakupendi au anataka ajue ya kuwa umeelewa au vipi ?
Hakushindwa ndiyo maana akatupa uhuru, maana ungeumbwa ufanye mema tu, ungelaumu na kusema hauko huru.
Hakushindwa.
Aisee tukisema nyinyi hamna akili hatuwadhumumu. Mwalimu wako anapo kupa mtihani ni kwamba hakupendi au anataka ajue ya kuwa umeelewa au vipi ?
Hakushindwa ndiyo maana akatupa uhuru, maana ungeumbwa ufanye mema tu, ungelaumu na kusema hauko huru.
Hakushindwa.
Kilicho kosa kwako kinaweza kikawa siyo kosa kwangu.Kwa mfano nchini India kula nyama ya ng'ombe ni kosa kubwa sana lakini Tanzania kula nyama ya ng'ombe ni fahari.Kwa waislam kula kitimoto ni kosa kubwa ila kwa wakatoliki ni mbuzi wao.Nchini marekani kuna jimbo moja mwanamke kuwa mzuri sana ni kosa ila hapa Tanzania mwanamke kuwa mzuri sana ni sifa.Wewe ni nani hadi useme kitu fulani ni kosa kwa kila mtu?!
Mungu pekee ndiye anaweza kuwa sahihi kusema kitu fulani ni kosa kwa binadamu wote na kitu fulani siyo kosa kwa sababu yeye ndiye kaumba wanadamu wote na ana mamlaka nao ndiyo maana mimi nampa kipaumbele kwenye hili la ushoga.
Kwa styles hyo utajifunza Imani za dini ngapi..?,mana Tanzania tuna Imani zaidi ya kumi.Sasa kama sina imani na dini ya kiislam nisipojifunza juu ya mafundisho yao nitaishije nao katika jamii?
Mfano juzi nilitaka kwenda kula kitimoto na nilipofika kwenye kituo cha bodaboda ilibidi nitafute bodaboda ambae siyo mwislam ili anitafutie sehemu yenye kitimoto.Huoni kama ningekuwa sina mafunzo juu ya dini ya kiislam ningeenda tu na kumwambia bodaboda yeyote anipeleke kwenye kitimoto na pengine ningekumbana huko na bodaboda ambae ni mwislam ningemkwaza sana na pengine ungekuwa ni ugomvi mkubwa?
Kwa styles hyo utajifunza Imani za dini ngapi..?,mana Tanzania tuna Imani zaidi ya kumi.
Dereva wa bodaboda yupo Kwenye majukumu yake ya kikazi,kukupeleka wewe bar au sehemu ya kula kitimoto kama abiria kwake hilimuathiri ata kdogo....
Labda kama ulitaka uumpe offer ya kula hyo nyama au akakununulie,apo sawa....Napo ktk hilo si tu Imani ya kiislamu,uharamu wa nyama ya ngurue na pombee unagusa Imani nying.
Haujasoma nilichoandika?Nimekuwekea hadi mifano ila bado hujaelewa?!Nimekuambia kuwa kilicho kosa kwa mtu mmoja siyo kosa kwa mtu mwingine kwa hiyo muamuzi sahihi wa kipi ni kosa kwa watu wote ni Mungu tu wala siyo binadamu.Hakuna mtu mwenye mamlaka juu ya mwili wangu isipokuwa Mungu tu.Kama haujui mwanaume mwenzio akuingize uume wake ni KOSA basi una matatizo
Our greatest power is a capacity to choose...Narudia rudia maswali kwa sababu hujayajibu.Hujayajibu kwa sababu huna majibu yake.Huna majibu yake kwa sababu Allah unaemuhubiri ana walakini.Ana walakini kwa sababu hayupo.
Ninapofanya madhambi huwa nalazimishwa au nafanya kwa hiari yangu:Kwani huyo Allah tunaehubiriwa kuwa hashindwi kufanya chochote kile na ana upendo usiyo na kifani ameshindwa vipi kuniondolea hiyo hiari ya kufanya maovu?Yaani anifanye niwe mtenda mema tu?Alishindwa vipi wakati ana uwezo wa kufanya hivyo?
Nilipoumbwa sikuachwa hivi hivi,bali nlipewa akili ya utambuzi,akili ya kujua jema na baya na nkapewa uwezo wa kuacha baya na kufanya mema:Huyo Allah mwenye kuweza yote na mwenye upendo sana alishindwaje kunipa akili ya kutenda mema peke yake?
Hakuna mtihani ambao Allah anampa mja wake ambao mja huyo hawezi kufaulu:Inawezekana vipi Mungu mwenye upendo mkubwa kuliko bahari awape watu mitihani?
Sijui kama unanielewa .Upendooo kwa mashoga? hakuna ushahidi, wowote Yesu alizungumzia mashoga, maana ni mambo ambayo ata mnyamaa asie, na ufahamu, awezi fanya
Our greatest power is a capacity to choose...
Allah ametupa options za kuchagua ktk maisha yetu either ushukuru au ukufuru...
Swala la kuteseka au kuteleza ata mitume wake wamepitia hii process...na ndomana tukapewa mlango wa toba.
Si kwamba Allah ameshindwa kukupa akili au Hali ya kufanya mema tu na usifanye maovu....uwezo huo anao tena mkubwa sana,na huo uwezo wa kutaenda mema tu wamepewa malaika tuu.
Mtihani tumepewa ili tupate kufaulu au kufeli...apo ndo penye dhumuni kubwa la kuumbwa kwako.
Haujasoma nilichoandika?Nimekuwekea hadi mifano ila bado hujaelewa?!Nimekuambia kuwa kilicho kosa kwa mtu mmoja siyo kosa kwa mtu mwingine kwa hiyo muamuzi sahihi wa kipi ni kosa kwa watu wote ni Mungu tu wala siyo binadamu.Hakuna mtu mwenye mamlaka juu ya mwili wangu isipokuwa Mungu tu.
Madhara tena?Wewe unadiscuss nini?!Hapa tunazungumzia na kupima kauli ya papa ina ukweli au uongo kiasi gani halafu wewe unakuja na mada mpya?Uhuru una mipaka yake mzee.
Aliumbwa Adam na hawa sio ADAM NA ADAM.
Usisubiri mpaka adhabu ikukute ndo ujue KUWA Hilo Jambo sio sahihi..
Licha ya hivyo ushoga una madhara makubwa kiafya.
Ulishawahi kumuona mtu aliyepasuliwa na kuwekewa bomba kwenye uume?
Madhara tena?Wewe unadiscuss nini?!Hapa tunazungumzia na kupima kauli ya papa ina ukweli au uongo kiasi gani halafu wewe unakuja na mada mpya?