Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani

Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani

Wakristo hawataki vita.

Waislamu hawataki vita.

Papa kasema ni wenda kuzimu tu wenye kutaka vita.

"Ninyi ni wagonjwa wahini mirembe!" -- Papa Francis.
Wewe jifiche tu kwenye kichaka cha Pope. Gaza mmechakazwa, Lebanon mnachakazwa na mabwana zenu Ayatollah regime ya Iran inaenda kufutiliwa mbali
 
Ushawishi wa Papa ulishapungua mno dunian baada ya kujichanganya kuruhusu ndoa za mashogha kwa dhehebu lake
 
Ushawishi wa Papa ulishapungua mno dunian baada ya kujichanganya kuruhusu ndoa za mashogha kwa dhehebu lake
Tuisha mgundua huyu muabudu wa shetan allah, strategy yake ni kutaka sisi tuanze mshambulia pope, ili aelekeze attention zetu kwa wakatoliki. Sisi tunachojua ni kuwa hata kama katoliki itakuwa na mapungufu, bado Wakatoliki siyo tishio la AMANI YA DUNIA. TISHIO LA AMANI YA DUNIA NI ISLAM NA SHETAN WAO ALLAH. WAO WANAMJUA KUWA NI MUNGU LAKINI YEYE MWENYEWE ANAJUA KUWA BIBLIA INAMTAMBULISHA KUWA NI SHETANI
Screenshot_20240830-144344_Chrome.jpg

Screenshot_20240601-195510_Chrome.jpg
 
Papa anahusika vipi kwenye bandiko lako uchwara hili?

Si ndiyo maana vibandiko vyako uchwara vinafutwa na kufichwa huko, left right and center, halafu unaanza kulia lia?

Bure kabisa!

NB: hakuna vita vya kidini Gaza na wanaojua hivyo ni pamoja na Papa Francis!
Hakuna Ila umesikia alichoongea Iran. Adui namba moja wa waislamu alimahanisha nini?.
 
Hakuna Ila umesikia alichoongea Iran. Adui namba moja wa waislamu alimahanisha nini?.

Ni jambo jema kuona andiko like ni nje ya mada na ni upuuzi mtupu.

Asiyetaka suluhu wewe unaona ni rafiki?

Asiyetaka suluhu si ndiyo "war monger" anayeongelewa hapa na Papa kama mwenda kuzimu kama mwingine yeyote.
 
Tuisha mgundua huyu muabudu wa shetan allah, strategy yake ni kutaka sisi tuanze mshambulia pope, ili aelekeze attention zetu kwa wakatoliki. Sisi tunachojua ni kuwa hata kama katoliki itakuwa na mapungufu, bado Wakatoliki siyo tishio la AMANI YA DUNIA. TISHIO LA AMANI YA DUNIA NI ISLAM NA SHETAN WAO ALLAH. WAO WANAMJUA KUWA NI MUNGU LAKINI YEYE MWENYEWE ANAJUA KUWA BIBLIA INAMTAMBULISHA KUWA NI SHETANI
View attachment 3118099
View attachment 3118098

Dalili za kukosa hoja.

Pole lakini.
 
Back
Top Bottom