Papa Francis, Lissu, machampioni halisi wa haki, usawa na uhuru duniani

Tulizana ndugu, hii mbombombo si saizi yako. Kuna nyuzi za kula kimasikhara huko kwa ajili yenu. Huku mtaungulia nyongo bure.
 
Tulizana ndugu, hii mbombombo si saizi yako. Kuna nyuzi za kula kimasikhara huko kwa ajili yenu. Huku mtaungulia nyongo bure.
Akili huna kujikuta mjanja una uelewa wa mambo mengi kumbe hayawani wajanja tumekaa tunakuangalia unavopuyanga
 
Nenda kwa Juma Duni Haji akakufundishe ni nini maana ya haki.

Utadai vipi kitu ambacho hukifahamu?
 
Wizo hujawahi kupoaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda kwa Juma Duni Haji akakufundishe ni nini maana ya haki.

Utadai vipi kitu ambacho hukifahamu?

1. Na hao ndiyo wako njema kuliko baadhi ya viongozi vyamani.

2. Hawana wanachokiamini; hawana misimamo inayojulikana.

3. Ila kimachale machale, kiujanja ujanja nk wanategemea kuchukua nchi.
 
Wasipo kuelewa hapa, hawata elewa tenaa.
 
Akili huna kujikuta mjanja una uelewa wa mambo mengi kumbe hayawani wajanja tumekaa tunakuangalia unavopuyanga

Wewe si unazo? Si ukae nazo taabu gani? Huo si uhuru wako kama was wale wa LGBTQ tu? Kwani shida gani ndugu?
 
TUNDU na PAPA wote wanasapoti mambo ya kipuuzi ya kuingziana matango!!!! "UJINGA M2PU!!
 
TUNDU na PAPA wote wanasapoti mambo ya kipuuzi ya kuingziana matango!!!! "UJINGA M2PU!!

Kuwapiga dongo wenye CV zao bila ya yako kufahamika hutokea hutokea uswahilini kwenye vijiwe vya kahawa ambako wenye busara kuliko hata kina Mandela ni wa kumwaga.
 
Papa amezingua

Ukiwa muumini wa haki, usawa, uhuru na demokrasia hilo haliwezi kuwa tatizo lako kama halina cha kufanya nawe.

Mtu na "engine" yake anataka kukalia moto, wewe inakuhusu nini, kama haja kuomba ukalie au akukalie yeye kama ndiyo yanayompendeza yeye huko chumbani kwake?
 
Naona hapo kwenye namba saba na nane ndipo kwenye kiini cha hoja yangu ya mwanzo.

Hasa pale nilipozungumzia upimaji wetu wa haki na kuzidai tunaufanya kwa kutazama kipimo cha either itikadi zetu au imani zetu, bado hatujawa na uwezo wa kusimama na kudai haki zetu, hata kwa wale wa nje ambao nao wanapigania haki zao.

Inapofikia hatua hiyo tunaanza kutazama interest zetu kwa wanaodai haki, au wanaowanyima wengine haki zao.

Hapa kuna wakati utakuta sababu zinazotumiwa na wengi ili kukwepesha kundi fulani la watu kupata haki zao hazina mashiko, tena wakati mwingine hufika mbali mpaka kutengeneza picha za uongo ilimradi kutimiza malengo yao, unajiuliza hii yote maana yake nini?

Kwanini tunakuwa wagumu wa kukiri fulani yuko hivi au vile, kama hatuwezi kukiri hilo ambalo kwangu ni sawa na ule msemo wa boriti na kibanzi jichoni, hivi tutakaa kweli tuje kujikomboa hapa tulipo na haya madai yetu ya kila wakati?!

I doubt.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Nenda kwa Juma Duni Haji akakufundishe ni nini maana ya haki.

Utadai vipi kitu ambacho hukifahamu?
Sihitaji hilo somo, nachotaka hao wanaodai haki wajue kuzitofautisha na kuzipigania kwa wote bila kujali imani zao au itikadi zao, naamini umenielewa bibi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Sihitaji hilo somo, nachotaka hao wanaodai haki wajue kuzitofautisha na kuzipigania kwa wote bila kujali imani zao au itikadi zao, naamini umenielewa bibi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Papa Francis haki ya ushoga? Huyo Lissu umechomekea tu hapo, hamjifichi wa rangi rangi.
 
Papa Francis haki ya ushoga? Huyo Lissu umechomekea tu hapo, hamjifichi wa rangi rangi.
Papa ile akili kubwa sana bibi, mtu wa sampuli yako kumuelewa kwanza utoke nje ya box ulilomo, ukiwa na akili za kuchinjana Papa lazima ushindwe kumuelewa.

Kwani Lissu hayupo kwenye title ya mada? au tatizo lako kutokuwekwa Hamas ndio chanzo cha yote?! basi mwambie mleta mada awaweke usiteseke bibi!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…