luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Askofu amani yupo jimbo kuu ArushaAskofu Amani?
Good to know .... Sijaenda church muda kidogoAskofu amani yupo jimbo kuu Arusha
Non sense,najua una chuki kwa vile tu ni mchagaKatoliki hamna askofu kijana? Ni vikongwe tu.Kazaliwa 1952 Sasa hivi Ana miaka 67 aiseeee
Hahaha wale haters wanazidi kubaki Domo wazi wanapoona Moshi ikizidi kuinuliwa na MunguNashangaa Pope hajateua Msukuma kuwa Askofu huko Moshi. Nakata rufaa kwa baraza la makadrinali wa Vatican. Moshi lazima apelekwe askofu toka Chato
Hahaha wale haters wanazidi kupaPilipili ya shamba yakuwashia nini mkuuView attachment 1279512
Hahaha Asante kwa kumpa jibuNyaisonga wa jimbo la mbeya atakuwa under 50s.
Sisi katoliki uaskofu haujipi mwenyewe km Gwajima au mama rwakatare
Naam maana kahama kaleta maendeleo Sana since 2001 yupo KahamaMinde akili kubwa sana atawaletea maendeleo moshi
Huyo ni mchagga aliyezaliwa huko kibosho moshi mwaka 1952. Jina lisikutishe. Kasome story vizuri. Ila kama ni kabila lingine ila kwa miaka aliyoishi kibosho na wazazi wake jua damu imeshabadilikana kuwa ya kichaga hiyo mkuu. HahahaExperience inaonesha kwamba Jimbo la Moshi huwa gumu sana kwa WASIO WAZAWA>>>
Non sense,najua una chuki kwa vile tu ni mchaga
Napenda kukufahamisha kuwa katika maaskofu Katoliki nchini ambao wapo jumla 34, maaskofu wachaga pekee ni 11 Sawa na 34% pasuka sasa
Pia kwa mapadre wa jimbo,jimbo Katoliki moshi ndio lenye mapadre wengi kuliko majimbo yote Tanzania,Kama hiyo haitoshi mapadre wa jimbo la Moshi ndio walio wengi nje ya nchi(diaspora) kuliko jimbo lolote
Mkuu mengine hayatuhusu tuwaachie mabeberu wenyeweMabeberu wanatuamulia kiongozi, hii si sawa kabisa. Waafrika tufike mahali tuamue mambo yetu wenyewe.Hawa viongozi sisi ndio tunawajua.
Ni mfumo bora kabisa unaendeshwa na Kanisa Katoliki ndio maana hauwezi kusikia migogoro kama kwenye makanisa mengine wanaojichagulia viongozi,makanisa yemekaa kama vyama vya siasa bhana. Lidumu Katoliki Milele.Mabeberu wanatuamulia kiongozi, hii si sawa kabisa. Waafrika tufike mahali tuamue mambo yetu wenyewe.Hawa viongozi sisi ndio tunawajua.
Ni lini liliongozwa na mgeni?Experience inaonesha kwamba Jimbo la Moshi huwa gumu sana kwa WASIO WAZAWA>>>
Kile mzee anachokiana akiwa amekaa kijana hawezi kukiona hata akiwa amesimama.Katoliki hamna askofu kijana? Ni vikongwe tu.Kazaliwa 1952 Sasa hivi Ana miaka 67 aiseeee