Papa Francisko amteua Askofu Ludovick Minde kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi

Papa Francisko amteua Askofu Ludovick Minde kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Moshi

akili ako inawaza siasa tu. mfumo wa kumchagua askofu ni wa roman empire system
Kwahiyo mabeberu mnapo wachukia hamjuagi ni mfumo wa EMPIRE?
fikiri nje ya Boksi?
Huko Lissu alipo, ubelgiji si nchi ya pili duniani kwa kutoa mapadre , JNa wewe na vibaraka wako mnawaita mabeberu , mnawachukia huku wao wao ndio wanawapangia mapadre na maaskofu, wanawapangia mpaka sala, nini muombe na nini msiombe, aisee mnahitaji ukombozi wa kifikra
 
Ni mfumo bora kabisa unaendeshwa na Kanisa Katoliki ndio maana hauwezi kusikia migogoro kama kwenye makanisa mengine wanaojichagulia viongozi,makanisa yemekaa kama vyama vya siasa bhana. Lidumu Katoliki Milele.
Achana nae sabato masalia huyo,kila mahali utakuta katia pua hata kama hapamuhusu.
 
Mabeberu wanatuamulia kiongozi, hii si sawa kabisa. Waafrika tufike mahali tuamue mambo yetu wenyewe.Hawa viongozi sisi ndio tunawajua.
Kuna uongozi mmoja tu katika dini ya Katoliki. Hakuna cha kusema 'wanatuamulia'. Wakina nani hao? Kanisa ni moja tu 'Takatifu, Katoliki na la Mitume'. Kiongozi wake mkuu ni Papa, mrithi wa Petro ambaye Kanisa lilikabidhiwa kwake na Yesu mwenyewe mwaka 33 AD. papa anasaidiwa na makardinali na maaskofu ambao wanaweza kuchaguliwa kuongoza dini po pote ulimwenguni kwa kuwa Kanisa ni hilo hilo moja ulimwenguni kote. Kwa mfano Papa wa sasa ni kutoka Argentina lakini, mbali na kuwa ndiye kiongozi wa kanisa zima duniani kote, yeye ndiyo Askofu wa Roma. Wataliano hawawezi kubisha eti kwa nini asiye Mtaliano awe kiongozi nchini kwao. Hata sisi tuna Kardinali Rugambwa, Mhaya, ambaye ni mkuu wa idara ya uenezi wa dini hapo Vatican. Mabalozi wa papa wanachaguliwa kutoka po pote kwenda po pote ulimwenguni kwa kuwa Kanisa ni moja tu. Balozi wa sasa Afrika Kusini ni Mmarekani.
 
umesema vyema ila bado unaruka ruka kama mahindi ya bisi, unakwepa ukweli kwamba sisi wakatoliki tunaamuliwa cha kuabudu na papa, yani beberu
 
Unafiki!! majungu !!!rohombaya!!!uchonganishi vinalitafuna kanisa!! wakatoliki tubadirike!!!
Kwa mipango alokuwa nayo kahama kulikuwa hakuna sababu ya kumuhamisha!!!
Hebu fafanua vizuri mkuu
 
Hahahahhaaaaa askofu wa Tanganyika anateuliwa na barua toka italia!
Kanisa Katoliki Ni taasisi imara namba moja duniani Ina Sheria moja tu
Hata ibada za jumapil zipo kikalenda mtu aliye Tanzania na Mimi niliye German ibada ya Misa hufanana 100%
 
Tunawachukia kwa kupenda kujisifia bila fact. Nimekwambia wamissionari walibase zaidi moshi na kagera ndio maana kuna mapadri wengi sana maaaeneo. Mim nalijua kanisa katoliki kushinda ukoo wenu wote
Mbona povu? Kwani Kuna ubaya gani tukijisifia? Si tuna maendeleo? Na wewe sifia kule kwenu ludewa hujakatazwa
 
Ni wacha Mungu pia au ni mapadri wa mshahara tu!!?
Ni wacha Mungu ndio maana wameaminika dunia nzima,mwaka jana nilikuwa Melbourne Australia niliwakuta wengi mno,kule ufaransa mji wa st Etienne vile vile,ukija hapa ujerumani ndio balaa, Italy nako wapo shazi ,USA usipime
 
Kwahiyo mabeberu mnapo wachukia hamjuagi ni mfumo wa EMPIRE?
fikiri nje ya Boksi?
Huko Lissu alipo, ubelgiji si nchi ya pili duniani kwa kutoa mapadre , JNa wewe na vibaraka wako mnawaita mabeberu , mnawachukia huku wao wao ndio wanawapangia mapadre na maaskofu, wanawapangia mpaka sala, nini muombe na nini msiombe, aisee mnahitaji ukombozi wa kifikra

NA WEWE UNAWAZA SIASA TU. STORY ZA LISSU NA UASKOFU WAPI NA WAPI NDUGU YANGU. HEBU JIFUNZE HAPA JINSI HUU MFUMO ULIVYO PERFECT How Bishops Are Appointed. KWANZA NI GHARAMA NDOGO ALAFU UNATOA LAWAMA. YAANI WALALAMIKAJI WA HUU MFUMO NI WAUMINI WA DINI NYINGINE NA SIYO WAROMA. PIA MFUMO HUU UNAONDOA MAZINGIRA YA UDIKTETA.ASKOFU ANAPEWA JUKUMU KUBWA SANA NA ANAKBIDHIWA MIRADI YA MABILLIONI YA KUISIMAMIA. UKITUMIKA MFUMO MBOVU KAMA HUU WA KICCM NI RAHISI KUJILIMBIKIZIA MALI. LAKINI MFUMO HUU WA KUMTUMIA POPE HAWEZI NA ATHUBUTU KUFANYA CHOCHOTE KUATHIRI UCHUMI WA JIMBO HUSIKA.
 
Hapa ni Kijiji Cha Kibosho Moshi vijijin ukiona kwa haraka haraka si unaweza sema ni Amsterdam ?
FB_IMG_15755750529514181.jpeg
 
Back
Top Bottom