Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kwahiyo mabeberu mnapo wachukia hamjuagi ni mfumo wa EMPIRE?akili ako inawaza siasa tu. mfumo wa kumchagua askofu ni wa roman empire system
Achana nae sabato masalia huyo,kila mahali utakuta katia pua hata kama hapamuhusu.Ni mfumo bora kabisa unaendeshwa na Kanisa Katoliki ndio maana hauwezi kusikia migogoro kama kwenye makanisa mengine wanaojichagulia viongozi,makanisa yemekaa kama vyama vya siasa bhana. Lidumu Katoliki Milele.
Kuna uongozi mmoja tu katika dini ya Katoliki. Hakuna cha kusema 'wanatuamulia'. Wakina nani hao? Kanisa ni moja tu 'Takatifu, Katoliki na la Mitume'. Kiongozi wake mkuu ni Papa, mrithi wa Petro ambaye Kanisa lilikabidhiwa kwake na Yesu mwenyewe mwaka 33 AD. papa anasaidiwa na makardinali na maaskofu ambao wanaweza kuchaguliwa kuongoza dini po pote ulimwenguni kwa kuwa Kanisa ni hilo hilo moja ulimwenguni kote. Kwa mfano Papa wa sasa ni kutoka Argentina lakini, mbali na kuwa ndiye kiongozi wa kanisa zima duniani kote, yeye ndiyo Askofu wa Roma. Wataliano hawawezi kubisha eti kwa nini asiye Mtaliano awe kiongozi nchini kwao. Hata sisi tuna Kardinali Rugambwa, Mhaya, ambaye ni mkuu wa idara ya uenezi wa dini hapo Vatican. Mabalozi wa papa wanachaguliwa kutoka po pote kwenda po pote ulimwenguni kwa kuwa Kanisa ni moja tu. Balozi wa sasa Afrika Kusini ni Mmarekani.Mabeberu wanatuamulia kiongozi, hii si sawa kabisa. Waafrika tufike mahali tuamue mambo yetu wenyewe.Hawa viongozi sisi ndio tunawajua.
umesema vyema ila bado unaruka ruka kama mahindi ya bisi, unakwepa ukweli kwamba sisi wakatoliki tunaamuliwa cha kuabudu na papa, yani beberuKuna uongozi mmoja tu katika dini ya Katoliki. Hakuna cha kusema 'wanatuamulia'. Wakina nani hao? Kanisa ni moja tu 'Takatifu, Katoliki na la Mitume'. Kiongozi wake mkuu ni Papa, mrithi wa Petro ambaye Kanisa lilikabidhiwa kwake na Yesu mwenyewe mwaka 33 AD. papa anasaidiwa na makardinali na maaskofu ambao wanaweza kuchaguliwa kuongoza dini po pote ulimwenguni kwa kuwa Kanisa ni hilo hilo moja ulimwenguni kote. Kwa mfano Papa wa sasa ni kutoka Argentina lakini, mbali na kuwa ndiye kiongozi wa kanisa zima duniani kote, yeye ndiyo Askofu wa Roma. Wataliano hawawezi kubisha eti kwa nini asiye Mtaliano awe kiongozi nchini kwao. Hata sisi tuna Kardinali Rugambwa, Mhaya, ambaye ni mkuu wa idara ya uenezi wa dini hapo Vatican. Mabalozi wa papa wanachaguliwa kutoka po pote kwenda po pote ulimwenguni kwa kuwa Kanisa ni moja tu. Balozi wa sasa Afrika Kusini ni Mmarekani.
Kwann hawakukaa kwenu?Acha sifa za kijinga, wamissionari walikaa sana moshi ndio maan wapo wengi
Hebu fafanua vizuri mkuuUnafiki!! majungu !!!rohombaya!!!uchonganishi vinalitafuna kanisa!! wakatoliki tubadirike!!!
Kwa mipango alokuwa nayo kahama kulikuwa hakuna sababu ya kumuhamisha!!!
Kanisa Katoliki Ni taasisi imara namba moja duniani Ina Sheria moja tuHahahahhaaaaa askofu wa Tanganyika anateuliwa na barua toka italia!
Mbona povu? Kwani Kuna ubaya gani tukijisifia? Si tuna maendeleo? Na wewe sifia kule kwenu ludewa hujakatazwaTunawachukia kwa kupenda kujisifia bila fact. Nimekwambia wamissionari walibase zaidi moshi na kagera ndio maana kuna mapadri wengi sana maaaeneo. Mim nalijua kanisa katoliki kushinda ukoo wenu wote
Ni wacha Mungu ndio maana wameaminika dunia nzima,mwaka jana nilikuwa Melbourne Australia niliwakuta wengi mno,kule ufaransa mji wa st Etienne vile vile,ukija hapa ujerumani ndio balaa, Italy nako wapo shazi ,USA usipimeNi wacha Mungu pia au ni mapadri wa mshahara tu!!?
Kwahiyo mabeberu mnapo wachukia hamjuagi ni mfumo wa EMPIRE?
fikiri nje ya Boksi?
Huko Lissu alipo, ubelgiji si nchi ya pili duniani kwa kutoa mapadre , JNa wewe na vibaraka wako mnawaita mabeberu , mnawachukia huku wao wao ndio wanawapangia mapadre na maaskofu, wanawapangia mpaka sala, nini muombe na nini msiombe, aisee mnahitaji ukombozi wa kifikra
Siku moshi likiwa jiji kuna watu watalala barabarani uchiMbona povu? Kwani Kuna ubaya gani tukijisifia? Si tuna maendeleo? Na wewe sifia kule kwenu ludewa hujakatazwa