Papa Leo: Siogopi utawala wa Trump. Nazungumzia Injili, mimi si mwanasiasa

Knight of Malta ndio waasisi wa FBI na CIA na mashrika ya ujasusi yenye herufi tatu.

Chini ya Mashirika hayo ndiyo chanzo cha kutokutulia kwa dunia hadi sasa

Wanajua wanachokifanya.
ISIS, al Qaeda, Boko Haram, al shabab wanaofadhiliwa na Iran wameuwa watu wangapi?
Iran wametumia resources nyingi kufanya Islamic expansion inayogharimu maisha ya watu
 
Hormuz ni njia iachwe huru bila masharti na ubabe
Iran anapambana kuleta mambo ya ugaidi
Iran laZima achakazwe Dunia itulie
Iran na makundi yake ya magaidi amesumbua mno amani ya Dunia
Njia iko kwa nani?
 
Mapapa ya sasa very liberal
 
Papa ndiye mrithi halali wa Petro ambaye ni Mwamba.....​
 
Wewe siyo Mkatoliki.
Wakatoliki wana utiii wa kipofu kwa viongozi wao.
Hata viongozi wakifanya jambo la ajabu-ajabu wao huwa hawaoni.
​
Papa ana mtazamo wake ambao sio kila mkatoliki atauunga mkono
 
Njia ya majini ina mtu?
Njia za majini ni free path
Ndo masharti ya kimataifa.
Hata wakoloni waliachiana njia za majini ziwe free
Nadhani kuna umbali toka nchi wani husika kwenda deep.waywrs. huko unakuta maji ya dunia wote! Sasa Hormuz nayo iko katika kindi hilo?
 
😯😯🤪 Umeenda chaka. Umeongea hivyo sababu una chuki binafsi dhidi ya Iran.

Marekani ikidhibitiwa ndiyo itakuwa mwanzo wa paradiso Mpya. Hakutakuwa na fujo tena hapa duniani.
Nakubaliana na wewe katika mambo mengi lakini vita duniani haiwezi kuisha binaadamu ni wabinafsi sana hawawezi kuishi bila vita kitakacho tokea ni kupungua Kwa vita na sio kuisha kabisa
 
Nadhani kuna umbali toka nchi wani husika kwenda deep.waywrs. huko unakuta maji ya dunia wote! Sasa Hormuz nayo iko katika kindi hilo?
Straight of Hormuz ipo kati ya Iran na Oman kijiogrofia
Hii ndo route muhimu ya kupitisha 20% ya mafuta kwenda kote duniani kutoka nchi za Ghuba
International laws zimeweka freedom ya njia zote za baharini kuwa free kupita

Iran kuzuia, kutoza Kodi na kuamua nani apite nani asipite ni ukorofi na ugaidi wake aliouzoea
 
Alichokisema Donald, ndiyo ukweli uliofichwa kwa miaka mingi, kabla ya kuchaguliwa huyu Papa, Trump aliweka Picha yake kwenye Miranda yake ya kijamii akiwa na mavazi ya Papa,pia kuprove hilo kwanini Papa mwenye asili ya Africa hajawahi kupatikana? Pamoja na mapungufu ya Trump ila mambo mengi ya siri yeye anajiropokea tu😀
 
Papa kazingua
Iran anafadhili makundi ya magaidi, udikteta na mauaji
laZima adhibitiwe
Iran anafunga vipi lango la Hormuz na aamue nani apite au asipite
Acha propaganda Israel pia anafadhili magaidi. Unamuona huyo Rais wa Syria Al Sharaa anatokea kikundi cha kigaidi HTS inayofuangamana na Al Nussra front na Al qaeda ila kilipewa silaha na fedha na Israel ili kupigana na Al Assad. Hiyo sio kufadhili ugaidi.

Israel pia inafadhili PKK ya uturuki, SDF ya syria na YPG ya Iraq hao wamekua listed kama magaidi na CIA!! Ila kwa sababu Israel inawa support mpo kimya ila ingekua Iran mngepiga kelele kuwa ni wafadhili ugaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…