zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Wanafiki hawawezi kuelewa hili, wamelishwa propaganda wamesahau USA hiyo hiyo imefadhili makundi ya kigaidi Syria kumpindua Al Assad ikiwemo ISIS, HTS, SDF, Al nussra.Makundi ya kigaidi ndio yana fadhiliwa na CIA,kuanzia Al Qaeda,ISIS,Taliban wote wapo kwenye Payroll ya CIA.Huu ugaidi ni koti linaloficha wizi wa mafuta na ubabe wa Myahudi wa kumega ardhi za watu. Hayo makundi yote muanzilishi ni US.
Iran analinda ardhi yake na maslahi ya nchi yake, huo Hurmoz ni mlango ulio chini yake so swala la kuamua ni swala lake kwani Iran ni nchi huru na ina maamuzi yake ambayo anayafanya kwa maslahi yake,kwa ajili ya taifa lake.
Bila shaka wewe msabatoThe stage is gradually set for World Governments through the UN resolution to ban all religions, soma Ufunuo 17; sababu kubwa itawafanya wafanye hivyo ni Dini kuhatarisha AMANI ya Ulimwengu. Inaelekea mambo haya yatatukia katika miaka hii tunapoelekea kuadhimisha 2000th anniversary hapo 2029 tangu messiah atokee. Kwa upande wa Waislamu kule Saudia stage is set already kwani Utawala wa Kifalme wameanza kuvunja vunja ngome za Muslim Brotherhood, Kule Iran Utawala wa Kiayatollah ndiyo huo unatokomezwa, Uingereza King Charles na Mwanae Prince William ( Head of State and Head of the Church of England)wamezingua kiasi kwamba Waingereza wanasema Monarchy iwe abolished. Aliyebaki alikuwa Pope wa Catholic Church tu, ambaye ndiyo huyo ameingia kwenye 18 za Trump
No way lazima mfadhili wa magaidi Iran apigwe na achakazweAcha propaganda Israel pia anafadhili magaidi. Unamuona huyo Rais wa Syria Al Sharaa anatokea kikundi cha kigaidi HTS inayofuangamana na Al Nussra front na Al qaeda ila kilipewa silaha na fedha na Israel ili kupigana na Al Assad. Hiyo sio kufadhili ugaidi.
Israel pia inafadhili PKK ya uturuki, SDF ya syria na YPG ya Iraq hao wamekua listed kama magaidi na CIA!! Ila kwa sababu Israel inawa support mpo kimya ila ingekua Iran mngepiga kelele kuwa ni wafadhili ugaidi.
Unajitambua kweli wewe? Iran ilipigana kuondoa Al Qaeda na ISIS huko Iraq na Syria. Hata geopolitics hujui, Iran ina support hezbollah, PMZ na Houthi sio haoIran ndo mfadhili wa makundi ya magaidi kama ISIS, al Qaeda, alshabab, Boko Haram n. K
Hizo sheria za kimataifa umezijua baada ya Iran kufunga mlango wa horumuz ila hizo sheria hujazijua kwa marekani kuishambulua Iran?Straight of Hormuz ipo kati ya Iran na Oman kijiogrofia
Hii ndo route muhimu ya kupitisha 20% ya mafuta kwenda kote duniani kutoka nchi za Ghuba
International laws zimeweka freedom ya njia zote za baharini kuwa free kupita
Iran kuzuia, kutoza Kodi na kuamua nani apite nani asipite ni ukorofi na ugaidi wake aliouzoea
Jibu swali kumfadhili Al Sharaa kupitia kundi lake la Al qaeda na HTS huko Syria sio kufadhili ugaidi?No way lazima mfadhili wa magaidi Iran apigwe na achakazwe
Unatafuta Chaka la kujifichaJibu swali kumfadhili Al Sharaa kupitia kundi lake la Al qaeda na HTS huko Syria sio kufadhili ugaidi?
Ugaidi wa Ayatollah ulifika mwisho wa kuvumiliwaHizo sheria za kimataifa umezijua baada ya Iran kufunga mlango wa horumuz ila hizo sheria hujazijua kwa marekani kuishambulua Iran?
Au sheria za kimataifa zinaruhusu nchi moja kuivamia nchi nyingine kwa nasilahi yake?
Hata hiyo Sabato iko in line kwenye dini zitakazopigwa marufuku. Just imagine vile ambavyo Wasabato huwa wanapingana na mipango ya maendeleo ya serikali! Na wao pia ni kikwazo. Waislamu ndiyo duu usiseme wakifuatiwa na wakatoliki. Kule India unakuta Dini ya Hinduism pia ni tatizo kwa Amani. Ila sasa Sheria ambavyo huwa zinatungwa kunakuwa hakuna exemption.Bila shaka wewe msabato
Jibu swali Israel kufadhili haya makundi sio UGAIDI?Unatafuta Chaka la kujificha
Nishakwambia gaidi kama Ayatollah na serikali yake ilifika mwisho wa kuvumiliwa.
Leo hao magaidi wanafunga njia muhimu ya bahari halafu eti kaka mkuu wa Dunia amtazame tu
Dictator? Hivi hizo nchi za gulf kama Saudi Arabia au Oman hazina madikteta? Mbona yanakandamiza haki za binadamu hawasemi kitu? Zinduka bwana mdogo Acha propaganda za kitotoUgaidi wa Ayatollah ulifika mwisho wa kuvumiliwa
laZima tumpongeze Marekani Kwa kuitoa hilo dictator na liuaji
Leo wamefunga Hormuz na hii wiki haitaisha mtakuja kuwatilia huruma hao magaidi
Iran amesumbua DuniaDictator? Hivi hizo nchi za gulf kama Saudi Arabia au Oman hazina madikteta? Mbona yanakandamiza haki za binadamu hawasemi kitu? Zinduka bwana mdogo Acha propaganda za kitoto
Mzee Church ( Cerci/ Kirk ) ndio kikundi namba moja cha uhalifu kuwahi kutokea.ISIS, al Qaeda, Boko Haram, al shabab wanaofadhiliwa na Iran wameuwa watu wangapi?
Iran wametumia resources nyingi kufanya Islamic expansion inayogharimu maisha ya watu
Nakukubali sana kwa mambo mengine. Ila kwenye kanisa katoliki naona unapotea tuu. Kubali hulijui kanisa katoliki huko utaharibu tuu.Wewe siyo Mkatoliki.
Wakatoliki wana utiii wa kipofu kwa viongozi wao.
Hata viongozi wakifanya jambo la ajabu-ajabu wao huwa hawaoni.
Hii fundisho umelitoa wapi.Kauli ya Papa ni Kauli ya MUNGU,
Hizo Ni tabiri zangu. Na naamini itakuja kuwa hivyo.Nakubaliana na wewe katika mambo mengi lakini vita duniani haiwezi kuisha binaadamu ni wabinafsi sana hawawezi kuishi bila vita kitakacho tokea ni kupungua Kwa vita na sio kuisha kabisa
"3 Na mataifa mengi watakwenda na kusema, Njoni, twende juu mlimani kwa Bwana, nyumbani kwa Mungu wa Yakobo, naye atatufundisha njia zake, nasi tutakwenda katika mapito yake maana katika Sayuni itatoka sheria, na neno la Bwana katika Yerusalemu. [I]Isaya 2:3[/I][I]4 Naye atafanya hukumu katika mataifa mengi, atawakemea watu wa kabila nyingi; nao watafua panga zao ziwe majembe, na mikuki yao iwe miundu; taifa halitainua upanga juu ya taifa lingine, wala hawatajifunza vita tena kamwe. [/I][I]Isaya 2:4[/I][I]"[/I]Marekani ndiye mfadhili wao. Umesahahu ya Al-shababu na Boko haramu ambapo kuna WAmarekani na bahadhi ya watu wa ulaya walikuwemo katika makundi hayo. Kwa hiyo, si kila makundi ya watenda maovu basi ni completely waislam. Kuna bahadhi wasio waislam lakini wamejiunga katika makundi hayo.Wale wanaowasilimisha watu kwa mapanga na risasi watakuwa wameenda wapi?