Hizi stori tunza utasimulia wajukuu zako kama watakuwa vichwa boga kama wewe.ISIS, al Qaeda, Boko Haram, al shabab wanaofadhiliwa na Iran wameuwa watu wangapi?
Iran wametumia resources nyingi kufanya Islamic expansion inayogharimu maisha ya watu
Wanafiki hawawezi kuelewa hili, wamelishwa propaganda wamesahau USA hiyo hiyo imefadhili makundi ya kigaidi Syria kumpindua Al Assad ikiwemo ISIS, HTS, SDF, Al nussra.
Hii fundisho umelitoa wapi.
Unaelewa muktadha wa matumizi ya statement VICAR OF GOD ?.
Pia naomba kujua kama unauelewa wa hata kidogo wa lugha ya kilatini. (Sababu ndio lugha ya kanisa katoliki)
Nakukubali sana kwa mambo mengine. Ila kwenye kanisa katoliki naona unapotea tuu. Kubali hulijui kanisa katoliki huko utaharibu tuu.
Papa ana mtazamo wake ambao sio kila mkatoliki atauunga mkono
Sijataka kujua watu wengine wameandika na kueleza nini kuhusu VICAR OF GOD. Nimekuuliza hilo fundisho umelitoa wapi kwenye vyanzo vya mafundisho ya kanisa katoliki ?.View attachment 3572403View attachment 3572404
I'm a lawyer! Of course I have studied latin words and how to use them.
The word Vicar has a root in ancient Roman Law meaning "Agency"
That's why in the Law of Contract we have things like Vicarious Liability with rooting from the word Vicar. The notion of Vicarious Liability as rooted in the Mos Maiorum means that actions of the agent/servant/representative are imputed to the Master.
In this case now, the Vicar is the Representative of Heaven, being precise GOD himself. According to the Catholic Doctrine since the Middle-Ages, the words and works of the Pope are words and Works of the GOD.
Comprende ??????
Nimekuuliza hilo fundisho umelitoa wapi kwenye vyanzo vya mafundisho ya kanisa katoliki ?.
Vyanzo vya mafundisho ya kanisa katoliki vinajulikana.
Papa kaongea vizuri sana
sisi tunaojua mamlaka ya Papa tumemwelewa vizuri sana:
Bila D mbili utaambulia patupu:
Leo yuko Algeria anaswali msikitini
Naona, Hatuelewani.CHURCH FATHERS : The Epistle of Ignatius to the Magnesians
Yupo anapambana na maisha:Hivi yule ndugu yako Gavana yuko wapi siku hizi ?
Alikuwa anapenda sana kutishia kuchinja watu...
Humu hakuna ulichosema huko juu.CHURCH FATHERS : The Epistle of Ignatius to the Magnesians
Kauli ya papa ni kauli ya MUNGU ulimuona huyo MUNGU au unawajaza watu kwenye mfumo, acha uongoKauli ya Papa ni Kauli ya MUNGU,
Wewe unashindanaje na balozi (Vicar of GOD) mkuu wa MUNGU hapa duniani ???
Halafu nasikia Vatican wanatawala dunia, huyu Donald Trump wamemuweka wao wenyewe!
Mpwimbe , let the caged bird sings , Otorong'ong'o , Da'Vinci
Acha kumwita mwanadam MUNGU, utasulibiwaUnataka kubishana na kauli ya MUNGU sasa ???
Alihudhuria tu hakuambulia kituHapo katetea iran au kahimiza amani?!..
Huko seminary ulienda somea ujinga?!
Si tunaambiwa na Trump kwamba amechaguliwa kwa sababu ya uraia wake. Yaani: kwa sababu ya umarekani wake na si kwa sababu ya uweledi/umahiri wake. Ngoja tuone itakuwaje.inawezekana akawa ndo papa mbovu zaidi kuwahi kutokea
Iran na US WOTE wanafadhili ugaidiMakundi ya kigaidi ndio yana fadhiliwa na CIA,kuanzia Al Qaeda,ISIS,Taliban wote wapo kwenye Payroll ya CIA.Huu ugaidi ni koti linaloficha wizi wa mafuta na ubabe wa Myahudi wa kumega ardhi za watu. Hayo makundi yote muanzilishi ni US.
Iran analinda ardhi yake na maslahi ya nchi yake, huo Hurmoz ni mlango ulio chini yake so swala la kuamua ni swala lake kwani Iran ni nchi huru na ina maamuzi yake ambayo anayafanya kwa maslahi yake,kwa ajili ya taifa lake.