Imani ni shambulio la akiliNi heikima za Allah za kukuzindua akina wewe.
Ni kweli hakujua kusoma wala kuandika lakini kwenye Qur'an kuna mahesabu ambayo hata walimu wake lazima wapewe semina kwanza kuweza kuzielewa
Hizo hesabu ndizo zilizofanyiwa kazi na waislamu na kugundua mambo mengi ya kisayansi mpaka yakamfikia akina Papa Sylvester.
Statement yako inafikirisha sana, kwamba hawakupata watu wa kuandika mahesabu ya kodij isipokuwa watu wa madrasa...hii inamaanisha kuwa kulikuwa na watu wa aina mbili au zaidi, je ni watu gani hao ukiwaondoa watu wa madrasa? Hizi dini jamani.Wajerumani walipoingia Tanganyika hawakupata watu wa kuandika mahesabu ya kodij isipokuwa watu wa madrasa.
Nini kilitokea huko kwenye madrasa zenu mbona sasa hivi hakuna hesabu kwenye masomo ya madrasa zenuWajerumani walipoingia Tanganyika hawakupata watu wa kuandika mahesabu ya kodij isipokuwa watu wa madrasa.
Hesabu mzee wangu mpaka za chuo kikuu ni uvumbuzi wa waislamu.Pure propaganda.
Kama kuna wajinga wa hesabu basi madrasa ndio kisima cha hao wajinga. Yaani mtoto akishaanza kupenda madrasa na hesabu huenda zitamkaa maisha yake yote. Kwanini? Watoto kule madrasa huwa wanaenda kukaririshwa nukuu za kiarabu zilizopo kwenye msahafu, wakati hesabu haikaririwi.
Zikafia wapi hizo hesabu kwenye madrasa maana sasa hivi tunaona tu maustaadhi wakiwa na viboko wakikarorisha watoto aya za kuruani tu za kiarabuHesabu unazozijua wewe zimeanza madrasa na papa naye alijifunza huko huko
Mimi ni mmoja wa hao walimu wa madrasa na hesabu zipo kichwani.Nioneshe mwalimu wa madrasa anayejua hesabu nami nitakuonyesha maelfu ya watoto wa kiislamu wanaotandika F kwa kwenda mbele kwenye mtihani wa hesabu wa kidato cha nne.
Madrasa za leo hakuna hesabu hazipo Acha uongoNani kakwambia hazipo.
Na nimekwambia wajerumani walipoingia Tanganyika walikuta watu wa madrasa peke yao ndio wanajua mahesabu na kuandika
Hakuna sehemu yoyote huyu pope aliwahi kwenda Moroco kujifunza hisabati za kihindu-Arabic.Chuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa.
Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao ulitawala mashariki ya kati, Ulaya na Afrika. Ukhalifa huo na watangulizi wao walitilia umuhimu mkubwa masuala ya elimu na hivyo kurithisha fikra hizo kwa kila watu wa eneo fulani.
Miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho ni papa Sylevester (2).Somo lililomvutia zaidi ni hesabu wakati huo Ulaya ikiwa haijui hata kuhesabu machungwa.
Mfumo wa kuhesabu hasa kwa kutumia kifaa cha Abacus alichojifunzo kutoka walimu wa chuo cha Alqarawiyen ulimfanya aonekane kama ni mchawi na hiyo ikawa ndiyo sababu ya Ulaya nzima kujifunzo na kuanza kuhesabu kutoka kanisani kwake.
Mahesabu mengine magumu na elimu ya astronomy alichukua kutoka dola ya kiislamu ya Andalasia.
Mimi namkumbuka Alhwarizm ambaye ndiye muanzilishi wa quadratic equation na ambaye matumizi yote ya aljebra kwenye hesabu yametokana na jina la hesabu zake.Enzi zipi hizo unazokumbuka wewe? Kwenye fani uliyosoma unamkumbuka Mwislam yupi ambaye ulijifunza principles zake?
Hesabu zilizanzia Misri ya kale miaka mingi sana kabla Yesu hajazaliwa na kabla Mtume hajafikiriwa kuwepo. Hesabu zilizkuwepo mianka mingi sana kablka ya Ukristo na uislamu. Yale Ma-Piramid yalijengwa miaka mingi sana kabla ya uislamu na ukristo na hesabu zilitumika kufanya calculation.Hesabu unazozijua wewe zimeanza madrasa na papa naye alijifunza huko huko
Ikawaje sasa wazungu wakaja kuwazid waarabu na mpaka leoChuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa.
Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao ulitawala mashariki ya kati, Ulaya na Afrika. Ukhalifa huo na watangulizi wao walitilia umuhimu mkubwa masuala ya elimu na hivyo kurithisha fikra hizo kwa kila watu wa eneo fulani.
Miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho ni papa Sylevester (2).Somo lililomvutia zaidi ni hesabu wakati huo Ulaya ikiwa haijui hata kuhesabu machungwa.
Mfumo wa kuhesabu hasa kwa kutumia kifaa cha Abacus alichojifunzo kutoka walimu wa chuo cha Alqarawiyen ulimfanya aonekane kama ni mchawi na hiyo ikawa ndiyo sababu ya Ulaya nzima kujifunzo na kuanza kuhesabu kutoka kanisani kwake.
Mahesabu mengine magumu na elimu ya astronomy alichukua kutoka dola ya kiislamu ya Andalasia.
Quran 4:11[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] maana hata muanzilishi wa dini hakujua kusoma wala kuandika,hivyo vingine unajitungia tu kujifurahisha
Ni kweli kabisa.Hesabu zilizanzia Misri ya kale miaka mingi sana kabla Yesu hajazaliwa na kabla Mtume hajafikiriwa kuwepo. Hesabu zilizkuwepo mianka mingi sana kablka ya Ukristo na uislamu. Yale Ma-Piramid yalijengwa miaka mingi sana kabla ya uislamu na ukristo na hesabu zilitumika kufanya calculation.
Hakuna walipozidiwa.walizubaa kidogo na wakazubaishwa.Ikawaje sasa wazungu wakaja kuwazid waarabu na mpaka leo
Si ndio huo uzubaifu. Huwez ukasoma elimu ahera ukamzid aliyesoma elimu Dunia utatawaliwa tu. Iran mwenyewe ananunua teknolijia urusi na North KoreaHakuna walipozidiwa.walizubaa kidogo na wakazubaishwa.
Iran pekee ndio kaamka na anajuwa thamani ya elimu ya waislamu.
Huwezi kumzuia kumiliki chochote wakati wavumbuzi wake wote wametokea maeneo yake na jirani mfano Baghdad
Hili la kuwa alikwenda Morocco bado kuna mjadala.Na uwezekano upo mkubwaHakuna sehemu yoyote huyu pope aliwahi kwenda Moroco kujifunza hisabati za kihindu-Arabic.
Huyu alisoma Spain na hakuwahi kwenda huko madrassa. Kama una ushahudi kuwa aliwahi kwenda Moroco tuwekee hapa.
Tunashukuru ukitutajia hesabu za kwenye Qur'an zinapatikana kwenye aya gani nasi tufanye mrejesho.Ni heikima za Allah za kukuzindua akina wewe.
Ni kweli hakujua kusoma wala kuandika lakini kwenye Qur'an kuna mahesabu ambayo hata walimu wake lazima wapewe semina kwanza kuweza kuzielewa
Hizo hesabu ndizo zilizofanyiwa kazi na waislamu na kugundua mambo mengi ya kisayansi mpaka yakamfikia akina Papa Sylvester.
Usiruhusu dini ikaongoza akili yako. Badala yake akili yako ndo iongoze dini.Ni kweli kabisa.
Muhimu hata hizo habari za Pyramid na maajabu yake zilianza kuelezwa na waislamu ndipo akina nyie mkaelewa.
Na kumbuka kuwa uislamu haukuanza na Muhammad saw.Twataraji hata hao wamisri wa kale walikuwa waislamu.
Mtu wa mwanzo kuzichambua kumbukumbu hizo za kale ni Ibn Yussuf.
Ukiacha hilo.Hesabu za wamisri wa Kale zimefanyiwa ukarabati na waislamu na tukapata hizi zinazotumika leo dunia nzima na ndizo alizosoma papa Sylvester na kuwapelekea wakristo wa Ulaya.