Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Huyo yesu wenu wa kiarabu aitwae issa sio yesu wa wakrsto wa kwenye biblia takatifu...!!Yesu hawezi kufanya mambo ya kijinga na kikafiri ya kuuza watu na ndugu yake Muhammad saw pia hawezi kufanya upuuzi wowote.
wakristo wa sasa mumekosa heshima sana na mitume wa Allah.
STORY ZA KUTUNGA ZA WAARABU.....SISI SIO WAJINGA KUAMINI HEKAYA ZA WAARABU......HIZI HADITHI KADANGANYANENI NYIE WATUMWA WA UTAMADUNI WA KIARABUQuran 4:11
Mwenyezi Mungu anakuusieni juu ya watoto wenu: Fungu la mwanamume ni kama fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wanawake zaidi ya wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho kiacha maiti. Lakini akiwa mtoto mwanamke ni mmoja, basi fungu lake ni nusu. Na wazazi wake wawili, kila mmoja wao apate sudusi ya alicho kiacha, ikiwa anaye mtoto. Akiwa hana mtoto, na wazazi wake wawili wamekuwa ndio warithi wake, basi mama yake atapata thuluthi moja. Na akiwa anao ndugu, basi mama yake atapata sudusi. Haya ni baada ya kutolewa alicho usia au kulipa deni. Baba zenu na watoto wenu, nyinyi hamjui ni nani baina yao aliye karibia zaidi kwenu kwa manufaa. Hiyo ni Sharia iliyo toka kwa Mwenyezi Mungu. Bila ya shaka Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye hikima.
Hayo mahesabu yaliyopo hapo ambayo Mtume Muhammad aliwafundisha waislam karine 6
Wewe jinsi ulivyo kilaza ukipewa Mbuzi 70 uwagawanye Kwa hayo maelezo hapo hauwezi
Hesabu za Alijebra ulizosoma shule msingi wake ndio upo hapo katika hiyo aya
Aliyeandika na kufundisha hizo hesabu alikuwa anaitwa ALLY JABIRi wazungu wakaziita hesabu za Aljebra Ili kuondoa chembechembe za uislam katika somo la hesabu Ili waendelee kuwadanganya vilaza kama wewe
Ndio maana nikakuita ww GAWESHI MTUMWA WA WAARABU KUANZIA AKILI MPAKA IMANI NA UTAMADUNI....pale Grenada na majimbo ya jirani hao waarabu na wamoors walivamia na kukaa karne gani na walikaa mda gani i mean kwa miaka mingapi.....kabla yakuondoshwa na wazungu?????Bologna ni zao la mwanzo la vyuo vya madrasa vya Spain.chuo kikuu cha mwanzo kitabaki hicho hicho cha Alqarawiyen. kilichoanza karne 3 nyuma.
UNESCO na guiness wamebaki na ukweli huo.
Hata wakibadili vigezo basi watafiti wa mifumo ya kielimu watabaki na Alqarawiyen kabla ya zile madrasa za Andalusia.
Kitu kimoja ukielewe kwamba Pythagoras na taarifa nyengine za kanuni za kimahesabu uwezekano wa kutambuliwa ni mdogo sana au zisingejulikana kabisa kama si uadilifu wa waislamu wa kuzitafsiri kuziingiza kiarabu halafu zikatafririwa na wao wenyewe waislamu kutoka kiarabu kuingizwa kilatin na lugha nyenginezo.
Muhimu hizo theorem zilikuwa chachu tu ya elimu ya mahesabu walichokifanya waislamu baada ya hapo hakuna mfano wake.
Waislamu walichanganya elimu za mashariki na magharibi na kutengeneza mamia kwa maelefu ya theorem na tofauti sana na za wagiriki.
JAMAA HANA USHAHIDI AFU ANATAKA TUAMINI STORY ZA KUDANGANYANA MSIKITINI 🤣🤣🤣Mimi tena nilete ushahidi? Wewe uliye leta madai kuwa pope kasoma Moroco ndiyo uweke hapa ushahidi usio na shaka. Acha kujitoa ufahamu
Unzungumzia hesabu zipi, 1+1 au logarithm, au intergrationMimi ni mmoja wa hao walimu wa madrasa na hesabu zipo kichwani.
WEWE LETA USHAHIDI.....ULISOMA MOROCCO NA HUYO PAPA.....WEKA USHAHIDI WA DHAHIRI BIN UHAKIKA????kwa vile umeshindwa kupinga kwa ushahidi ni dalili umekubali kuwa papa alisoma Morocco kwenye madrasa ya waislamu.
Umuhimu wake ni kuwa papa alijua thamani ya elimu kuliko akina nyinyi mpaka akaifuata kwa waislamu;
Umuhimu wa pili ni kuwa ujue kuwa waislamu ndio waalimu wa wazungu munaowaabudu.
Hivi hata kama alisoma wao inasaidia nini?JAMAA HANA USHAHIDI AFU ANATAKA TUAMINI STORY ZA KUDANGANYANA MSIKITINI 🤣🤣🤣
Labda Silvester wa mchongo......PALE MTAMBANI WAKISHAKUNYWA KAHAWA WAGA WANA STORY ZAO ZA KUWAPONDEA WAZUNGU NA KUWASIFU WAARABU.....WAKATI KILA KITU WANACHOTUMIA NI CHA MAKAFIR MPAKA SPIKA ZA MSIKITINI.Hivi hata kama alisoma wao inasaidia nini?
Nani kakuambiwa waarabu na waafrika ni sawa.Kutangulia si kitu, bali tunaangalia mwisho, leo mataifa ya Ulaya wako mbali sana, waarabu na waafrika ni sawa tu ila wanatuzidi tu kitu kimoja upendo wa wao kwa wao, sisi Africa huku asilimia kubwa tunashirikishina matatizo na changamoto lakini kwenye fursa mnageukana, ndo maana unakuta kwenye familia kuna tajiri mmoja lakini waliobaki wote ni maskini au unakuta mtu mmoja kasoma na kufanikiwa lakini hawezi kuwapa mwanga wa chini yake, mtakuja kutafuta na pesa ziliisha au akistaafu ndio ataanza kutambulisha familia yake kwa ndugu ili wakujuane vizuri.
Unasikitisha sanaj na sijui kipi kinakuumaWEWE LETA USHAHIDI.....ULISOMA MOROCCO NA HUYO PAPA.....WEKA USHAHIDI WA DHAHIRI BIN UHAKIKA????
Soma surat nisai kwanza utakuta hesabu za fraction na ndio mwanzo wa hesabu zote unazozijua wewe kupitia Mohammed Alkhwarizm na AlkindyTunashukuru ukitutajia hesabu za kwenye Qur'an zinapatikana kwenye aya gani nasi tufanye mrejesho.
Papa Sylvester II amefariki mwaka 1003, wakati Uislam uliingia Morocco kupitia uvamozi wa Wastabu mwaka 1100-1200.Chuo kikuu kikongwe zaidi duniani ambacho kinaendelea kutoa elimu ni kile kilichopo barani Afrika, nchini Morocco na ambacho kilianza msikitini(masjid) na kuendeshwa kwa mfumo wa madrasa.
Chuo kikuu hicho kilijengwa na bi Fatma kikiambatana na msikiti wakati wa ukhalifa wa Abbasiya ambao ulitawala mashariki ya kati, Ulaya na Afrika. Ukhalifa huo na watangulizi wao walitilia umuhimu mkubwa masuala ya elimu na hivyo kurithisha fikra hizo kwa kila watu wa eneo fulani.
Miongoni mwa wanafunzi wa chuo hicho ni papa Sylevester (2).Somo lililomvutia zaidi ni hesabu wakati huo Ulaya ikiwa haijui hata kuhesabu machungwa.
Mfumo wa kuhesabu hasa kwa kutumia kifaa cha Abacus alichojifunzo kutoka walimu wa chuo cha Alqarawiyen ulimfanya aonekane kama ni mchawi na hiyo ikawa ndiyo sababu ya Ulaya nzima kujifunzo na kuanza kuhesabu kutoka kanisani kwake.
Mahesabu mengine magumu na elimu ya astronomy alichukua kutoka dola ya kiislamu ya Andalasia.
Kwanini mnapenda kupindisha ukweli.Papa Sylvester II amefariki mwaka 1003, wakati Uislam uliingia Morocco kupitia uvamozi wa Wastabu mwaka 1100-1200.
Au una maanisha pamoja na kwamba alikufa, ila alipoona Chuo alififuka akaenda Morocco ili akasome hesabiu?
Kwa kukusaidia, Pope Sylvester hakuwahi kwenda Morocco, shule yake aliisomea Barcelona, ni kawaida kwa Wakatoliki kusoma kila aina ya elimu. Pale Spain kulikuwa na na moja ya Intellectual centres kubwa kabisa barani ulaya kwa wakati ule, humo kulikuwa na Maktaba zenye machapisho ya elimu mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali duniani ikiwemo ya kiarabu na hapo ndiyo akaamua kusoma Mathematics ma alichosoma ni Hindu-Arabic numeral system
Msipende kupotosha, kupitia upotoshaji huo ndiyo baadaye mnasnza kulalamila kuonewa kumbe miska yote mlikua mkiishi na kulishana uongo in the name of ‘Takbir’
Acha kudanganya watu wewe. Usifikiri wote humu ni watu wa kulishwa upepo.Kwanini mnapenda kupindisha ukweli.
Uislamu uliingia Morocco wakati Mtume saw yuko hai na mara baada yake wafuasi wake waliingia kwa wingi.Hiyo ni miaka ya 700.
Unapozungumzia Spain na maendeleo ya kielimu unajua kuwa hilo lilikuwa dola la kiislamu kwa karne nyingi sana na hayo maendeleo unayosema yote yalitokana na dola hiyo iliyoanzia Baghdad na kutambaa mataifa ya kaskazini ya Afrika halafu kuingia dola ya Andalusi kwenye miji ya Cordova na mingine mingi.
Kwa hivyo hata ukisema alisoma Spain basi alisoma madrasa.Kwa ujumla hujasoma historia ya papa Sylvester kikamilifu kwa sababu hata aliyemshawishi aende kusoma alimshawishi kwa kumwambia aende kwa waislamu kwani elimu yao iko juu baada ya kumuona anapenda sasa mambo ya kielimu na tamaduni za waislamu.